Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,432
- 746
Usimpoteze akupendae kwa ajili ya unae mtamani. Kwa sababu unaemtamani anamuwaza ampendae....
Si kila asemae nakupenda anamaanisha hivyo!wengi humaanisha nakutamani
Ni kweli wapi wanaosema na kumaanisha ila wengi hawamaanishi:behindsofa:Mama timmy:ila wapo wasemao na kupenda na kumaanisha hivyo?
Ni kweli wapi wanaosema na kumaanisha ila wengi hawamaanishi:behindsofa:
Usimpoteze akupendae kwa ajili ya unae mtamani. Kwa sababu unaemtamani anamuwaza ampendae....
Tatizo ni hapo kwenye kutofautisha kupenda na kutamani
Usimpoteze akupendae kwa ajili ya unae mtamani. Kwa sababu unaemtamani anamuwaza ampendae....
usiteme Big G kwa karanga za kuonjeshwa
Usiache mbachao kwa msala upitao
usiteme Big G kwa karanga za kuonjeshwa
Usiache mbachao kwa msala upitao