Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,432
- 746
msimu wa Embe Ngedele hakondi
busha halivaliwi modo...
@St.Paka Mweusi:Ati.We ukishachoka kufanya siri tu.............
kushadadia jambo usilolijuwa ni sawa na kuingiza vocha bila kuikwangua...
ukizaliwa nyota yako ni Mbwa
Basi usishangae kuja kuwa mlinzi mpaka siku ya kufa
kula ni bahati...kunya ni lazima