bahati mbaya
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 578
- 193
Kuwa na Baba masikini iko nje ya uwezo wako, Kuwa na mkwe masikini ni utashi wako.
Siku hizi hata wanaume wameacha kutamani wanatafuta hifadhi!
Kiporo hakihitaji moto mwingi........
My waif tubii wasema Kiboro kinahitaji nini vile?
hii quotes ni hatari..
Kulia na kucheka zote ni kelele!