Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,432
- 746
- Thread starter
- #41
msimu wa Embe Ngedele hakondi
Haha!akikonda mgonjwa huyo!
msimu wa Embe Ngedele hakondi
mlango wa gunia hauwekwi komeo...
nyama mbichi haionjwi...
Asante.
Missing U.
Kiporo hakihitaji moto mwingi........
mpenzi wako akizingua achana nae akiuliza vipi mpenzi mwambie bora kung'oa jino kuliko kukaa na jino bovu......!
Kaa ukijua Maji ya Ugali hayaonjwi