Waziri wa zamani wa Mafuta Nigeria afunguliwa Kesi ya rushwa London kwa tuhuma za Maisha ya kifahari

Waziri wa zamani wa Mafuta Nigeria afunguliwa Kesi ya rushwa London kwa tuhuma za Maisha ya kifahari

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Aliyekuwa Waziri wa Rasilimali za Mafuta wa Nigeria, Diezani Alison-Madueke, amefikishwa mahakamani jijini London akikabiliwa na tuhuma za kupokea rushwa zenye thamani ya mamilioni ya pauni kwa njia ya fedha taslimu, mali za kifahari na matumizi ya majengo ya gharama kubwa kutoka kwa wafanyabiashara wa sekta ya mafuta waliokuwa wakitafuta mikataba nono na mashirika ya mafuta ya serikali ya Nigeria.

Waendesha mashtaka wa Uingereza waliiambia Mahakama ya Southwark Crown kuwa Alison-Madueke, mwenye umri wa miaka 65, aliishi “maisha ya kifahari nchini Uingereza” yaliyodaiwa kufadhiliwa na watu waliokuwa na maslahi ya kupata au kuendeleza mikataba ya mafuta na gesi kati ya mwaka 2011 na 2015. Katika kipindi hicho, alikuwa Waziri wa Mafuta chini ya Rais wa zamani Goodluck Jonathan na pia aliwahi kuwa Rais wa Jumuiya ya Nchi Zinazozalisha Mafuta (OPEC), akiwa mwanamke wa kwanza kushika nafasi hizo.

Alison-Madueke anakabiliwa na mashtaka matano ya kupokea rushwa na shtaka moja la kula njama ya kupokea rushwa, ambayo yote ameyakana. Amekuwa nje kwa dhamana tangu alipokamatwa London Oktoba 2015 na alishtakiwa rasmi mwaka 2023.

Kwa mujibu wa mwendesha mashtaka Alexandra Healy KC, Alison-Madueke alidaiwa kupokea “faida kubwa za kifedha na nyinginezo” zikiwemo matumizi ya majengo ya thamani ya mamilioni ya pauni, gari lenye dereva binafsi, safari za ndege binafsi na pauni 100,000 taslimu. Mahakama ilielezwa pia kuwa zaidi ya pauni milioni 2 zilitumika kununua bidhaa kwa niaba yake katika duka la kifahari la Harrods, kupitia kadi za malipo za mfanyabiashara wa Nigeria Kolawole Aluko na kampuni yake, Tenka Limited.

Majaji waliambiwa kuwa Alison-Madueke alikuwa na mnunuzi wake binafsi (personal shopper) katika Harrods, huduma inayopatikana kwa wateja wachache wanaotumia zaidi ya pauni 10,000 kwa mwaka. Faida nyingine anazodaiwa kupata ni pamoja na matumizi ya zaidi ya pauni milioni 4.6 katika ukarabati wa nyumba jijini London na Buckinghamshire, pamoja na gharama za wafanyakazi wa majumbani kama wasaidizi wa kazi, nannies na bustani.

Mahakama ilielezwa kuwa mara kadhaa Alison-Madueke aliishi katika jumba la kifahari lililopo Gerrard’s Cross, Buckinghamshire, linalojulikana kama The Falls, lililonunuliwa mwaka 2010 na mfanyabiashara Olajide Omokore wa kampuni ya Atlantic Energy. Kuanzia mwishoni mwa mwaka 2011, inadaiwa alikuwa akilitumia kwa ukamilifu, likiwa na chumba cha sinema, na alikaa humo kwa muda mrefu ikiwemo wiki sita akiandika kitabu kuhusu Rais wa Nigeria. Gharama za ukarabati wa takribani pauni 300,000 na matumizi mengine zinasemekana kulipwa na Tenka Limited.

Aidha, kati ya Mei 2011 na Januari 2014, takribani pauni 500,000 zililipwa kama kodi ya nyumba mbili katikati ya jiji la London alikoishi Alison-Madueke pamoja na mama yake, huku nyaraka zikionyesha malipo hayo yalifanywa na kampuni hiyo.

Ingawa waendesha mashtaka walisema hakuna ushahidi kuwa Alison-Madueke alitoa mikataba kwa watu wasiostahili, walisisitiza kuwa ilikuwa ni kinyume cha maadili kwa kiongozi wa juu wa serikali kupokea faida kutoka kwa watu na makampuni yaliyokuwa yakifanya biashara na taasisi za serikali.

Katika kesi hiyo, Alison-Madueke yuko kizimbani pamoja na mtendaji wa sekta ya mafuta, Olatimbo Ayinde (54), anayekabiliwa na shtaka moja la kutoa rushwa kuhusiana na yeye na shtaka jingine la kutoa rushwa kwa kiongozi wa umma wa kigeni. Ayinde pia anatuhumiwa kumhonga aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Mafuta la Nigeria (NNPC), Emmanuel Ibe Kachikwu, mwaka 2015 ili kuhakikisha rafiki yake anaendelea kufanya kazi ndani ya shirika hilo baada ya mabadiliko ya uongozi wa kisiasa. Ayinde amekanusha mashtaka yote.

Ndugu wa Alison-Madueke, Doye Agama (69), naye anakabiliwa na shtaka la kula njama ya kupokea rushwa na anafuatilia kesi hiyo kwa njia ya video kutokana na sababu za kiafya. Yeye pia amekana mashtaka yanayomkabili.

Waendesha mashtaka waliieleza mahakama kuwa ingawa tuhuma hizo zinahusu sekta ya mafuta ya Nigeria, kesi inasikilizwa Uingereza kwa sababu washitakiwa wote walikuwa na uhusiano mkubwa na nchi hiyo. Walisema rushwa hudhoofisha masoko ya kimataifa na ni muhimu kuzuia vitendo vinavyofanyika Uingereza kuchochea ufisadi katika nchi nyingine.

Nigeria ni mzalishaji mkubwa wa mafuta barani Afrika na mmoja wa wakubwa duniani, ikizalisha takribani mapipa milioni 1.53 kwa siku. Hata hivyo, ufisadi na usimamizi mbovu vimetajwa kuwa sababu kuu zinazoifanya utajiri wa mafuta kushindwa kunufaisha wananchi wengi.

Kesi hiyo inatarajiwa kuchukua takribani wiki 12 na inaendelea kusikilizwa.

1769602307737.png

=========

Alison-Madueke was minister of petroleum resources between 2010 and 2015 under then-President Goodluck Jonathan.

Jurors were told that over £2m was spent on behalf of Alison-Madueke at Harrods using the payment cards of Nigerian businessman Kolawole Aluko and the debit card of his company Tenka Limited.
The defendant had her own personal shopper at the store, only available to Harrods Rewards Black Tier members who must spend over £10,000 a year, the court heard.
Jurors were also told she lived some of the time in the UK where she was provided with a housekeeper, nanny, gardener and window cleaner.

The salaries and other running costs were paid for by the owners of energy companies who had lucrative contracts with the state-owned Nigerian National Petroleum Corporation, the court was told.
"This case is about bribery in relation to the oil and gas industry in Nigeria during the period 2011 to 2015," said Alexandra Healy KC, prosecuting.

"During that time those who were interested in the award and retention of lucrative oil and gas contracts with the state-owned Nigerian National Petroleum Corporation or its subsidiaries the Nigerian Petroleum Development Company and the Pipelines Product Marketing Company, provided significant financial or other advantages to Alison-Madueke."

Healy added: "It might seem strange to be dealing here in the UK with a case that concerns bribery in relation to the Nigerian oil and gas industry.

"We live in a global society. Bribery and corruption undermine the proper functioning of the global market.
"There is an important public interest in ensuring that conduct in our country does not further corruption in another country."

Jurors were also shown photographs inside a property called The Falls in Gerrard's Cross, Buckinghamshire, which was bought in 2010 by Nigerian businessman Olajide Omokore, owner of a company called Atlantic Energy.
From late 2011 Alison-Madueke allegedly had exclusive use of the house which has a cinema room. The court heard she stayed there three or four times over two years, and spent six weeks at the property writing a book about the president of Nigeria.

She was assisted by a chef and the driver of car whose role included dropping off shopping for Alison-Madueke, whom he knew as "HM" - short for honourable minister.

It was said that this, along with £300,000 worth of refurbishment, was paid for by Tenka Limited. The court was told Aluko also had contracts with state-owned entities that were in the process of securing new oil contracts.
The court heard that between May 2011 and January 2014, £500,000 was also paid in rent for two flats in a block in central London where Alison-Madueke and her mother lived.

Records seized at the Tenka offices in Nigeria show the company settled the bill, it was claimed.
Alison-Madueke sat in the dock besides oil industry executive Olatimbo Ayinde, 54, who is charged with one count of bribery relating to Alison-Madueke and a separate count of bribery of a foreign public official.
Alison-Madueke's brother, former archbishop Doye Agama, 69, is charged with conspiracy to commit bribery and joined the trial by video link for medical reasons.
Ayinde and Agama also deny the charges against them.

The trial – expected to last about 12 weeks - continues.
Oil plays a significant role in Nigeria's economy, but the population at large has not seen the benefits.
It is one of the 13 members of the Organisation of Petroleum Exporting Countries (Opec), set up to deal with the worldwide supply of oil and its price.

Source: BBC & Reuters
 
ndo shida ya madali yakafanikisha anunue nyumba eneo hilo ,Gérard cross bimagham maarifu FALLS

Falls wasomi inasimamaaje eneo hilo ,ukiwa mwizi gvt hilo eneo usiishi
 
Binadamu bwana akishaiba anajishau anaanza maisha ya anasa. Wauza madawa ya kulevya wakisha yauza wanaanza maisha ya kianasaa, lazima maswali yataanza kujitokeza.
 
Ameula Uteuzi ndiyo Mafisadi, hawa ndiyo role model ya machawa wa chama dola kongwe kama CCM.
This is the story of Diezani Alison-Madueke Scandal, an alleged misappropriation of crude oil funds allegedly robbed Nigeria of about $28 billion, and counting. The Biggest Fraud In Nigeria’s History

View: https://m.youtube.com/watch?v=tl2hGBbtUqk
Simulizi wa ndoto kwa wateuliwa katika serikali za kiafrika ni kama hii:

The Tokoloshe

400 years ago Africa might as well been another planet in our solar system.

We were living in peace in our thatch huts. The 10 piece of cattle were grazing under the African sky. The head of the family sat in the shade of a tree drinking beer, the wives were working the land and the kids were making clay oxen to play with.

Every man’s dream, even to this day, no matter where on this planet you might come from. It sounds like the African version of the Playboy mansion. You sit in the shade and your multiple wives work for you.

Then the Europeans arrived and laughed at our people who had no education and thought our way of life was savagery. We had to fight them with spears to survive and ultimately lost the battle. They took our land and made us their slaves. They sold us to America and we became a trading commodity.

That is, what it is. We can’t change the past. So now 400 years later, what now?

We had to learn through bloodshed that we were not a planet of another solar system. We are part of this world and in this world there are certain rules that can’t be broken if you want to have food. Whether we like these rules or not, they are a reality. We can fight them like Mugabe does but it would only result in hunger.

Too many Africans are yearning for life as we knew it back then…but they just love the white man’s BMW and Lear Jet. The donkey cart is way too primitive for their liking and the cow hides that once covered our loins are not as “cool” as a Hugo Boss suit. We are a race that conveniently wants to fall back on our traditions when it suits us.

Not everybody has the ability to be as black and white as I am, and I mean that in more than one sense. I accept and acknowledge that. But I had to ask myself where do I fit in? Do I want to go back to my ancestral land in Dundee and demand this land be given back to me so I can acquire a few wives and create my own Playboy Mansion or do I like it here in Sandton with a Blackberry?

You would be horrified if you read all the messages I get on Facebook of people swearing at me, calling me a traitor, a disgrace to all black people in South Africa and that whites are paying me to blog my views.

What they don’t know is that I have been very blessed to come from a long line of fighters that have fought from the days of the spear right up to the AK47. They fought for my freedom and as sure as this sun is going to come up tomorrow, I am not going to mess up all they have fought for.

I have to address this cultural jail that stands between my people and true freedom.

Let us look at the Tokoloshe first.

You slept with your bed raised up on a few bricks so that when the Tokoloshe comes at night, he could move freely around your room without knocking his head against any object. For those that know this superstition will know it is a small mystical hairy thing that looks like a psychotic angry little bear and catches you at night. But if he knocks his head against your bed, you are going to get this menace all over you and he has a temper like no other on earth. Stop laughing, I’m dead serious!

I haven’t seen him yet. I badly wanted to see him when I was small because while others feared him, I thought he sounded cool and wanted to befriend him. My grandmother would look at me in absolute horror when I wanted to see the Tokoloshe. She would tell my mother “Eish this child scares me”.

When my Grandfather returned from exile, he brought me a Teddy Bear from London. I looked at the Teddy and instantly knew this was the Tokoloshe I always wanted to meet. So my bear got named Tokoloshe. I got smacked a few times because I would jump on my Grandmother when she takes her afternoon nap and scare her with Tokoloshe.

But the modern new reborn Tokoloshes sit in Parliament.

Parliament…hmmmm… let us discuss running this country, being an example to the citizens and our traditions.

In a new African landscape how practical is it having multiple wives? Nice idea, being a man. Come on you guys reading this, admit it!

But 20 children? Not so good because if I see what my university education and all the sundry trimmings are costing my father I would hate to think he had to make 20 of us. He would need to join the bank robbers to keep us at university.

My mother didn’t come cheap either, so he would have had to start stealing cattle from the white farmers if he wanted more wives. She cost him 40 head of cattle back in the 80’s. But wow, was she worth every cow! You should see her today in her Chanel dress …but 5 of them?

That is the humorous side of our tradition, but the more serious side is the following reality. There are only two of us and not twenty. So from my first breath my father has been there every step of my way thus far. We are his life and the reason he works this hard. He has spent every moment available guiding me into manhood (without sending me to a bush so some traditional butcher can slaughter my stuff beyond repair) How, as a father will you possibly find the time to devout this kind of attention to 20 kids? I don’t even want to think what life would have been like without my father. Unthinkable.

But what would I have been, if my father happily cavorted around claiming it is his culture and tradition?

I probably would have been marching with Malema on the road to nowhere and my father would have been dead by now. I would be visiting a graveyard and trying to find life’s answers from a stone. Back in the 80’s when he married my mother us blacks haven’t heard of HIV/Aids and those enlightened ones that did know about it, thought it was a homosexual disease.

So unbeknown to us we were killing ourselves. Merrily living out the principles of our tradition, not knowing we are committing suicide and resulting in 2 Million orphans just in South Africa alone, let alone the rest of Africa.

Wouldn’t this be a far more worthy cause to march about than march to get stuff you deliriously think should be given to you for free?

Imagine what must be going through the mind of a 4 year old kid, who is left all alone tonight, with nobody to take care of him or her? None of these orphaned kids asked to be here, so imagine how a child has to try and make sense of all of this?

So why do I still have my parents? Because my father knew he can’t run around making babies that he can’t provide for. He had to think soberly about life with a new millennium looming. He had us because he wanted us. We were to become his legacy. We weren’t conceived in a moment of uncontrolled lust or in the name of an outdated tradition.

We won’t discuss the merits of the social grant for mothers with kids and absent fathers but alarmingly condoms are still very unpopular accessories amongst the population of Africa. Until recently we had that scary old Bat as a minister of health. Tokolosh personified. Beetroot juice and cabbage leaves will cure the disease, while the Chief would shower after a bit of inyama.

What did my father do 7 years ago when I reached puberty? He sat me down and told me the facts and how it all happens. Every time I leave the house he jokingly says he will draw blood when I return and have me tested. He jokes, but it has sunk in so deep now, I think about the consequences every time I see a gorgeous girl.

What do my people do? Until recently it was better swept under the table than discuss the matter. It became unlawful to state a person has died of AIDS on his death certificate. How big is this denial?

Please don’t make a comment after you have read this and tell me this disease was invented by the Apartheid rulers to wipe us out. I’m not even going to discuss that old stale story! And speaking about Apartheid, get over it. It has no relevance in 2011. Dead, gone, born 31-05-1961 and was executed on 27-04-1994. Our ultimate justification for everything that we do wrong can’t come back so we can stone it.

The most bizarre superstition was invented to “cure” the disease. Rape a girl and it goes away. By girl, I mean little ones that had to helpless have their lives taken from them without their consent. Grown men believing in rubbish like this. How in the name of God can you possibly justify this, no matter what your traditions or beliefs are?

We have now for far too long shrugged our shoulders and hid behind our traditions on the one hand and on the other we want to sit at the UN and pretend we have the wisdom to help decide the fate of other countries. In this world we need to merge with, you have:

1. One wife. You sleep around, you die.

2. You have more kids than you can provide for, they starve and when they grow up they will steal to survive because you didn’t have enough money to send them to a decent school. The government schools are a complete waste of time because the teachers are never in class.

3. You can’t sell or trade with your daughters. They are not consumer goods.

4. You study or qualify as an artisan so you can earn your own keep and build your own house. There isn’t enough money going around building 40 Million free houses. You can wait until the sun burns itself out, it is not going to happen. So live with it.

5. Forget the white man’s wealth. It has long gone been transferred to Sydney. There isn’t any left here. Create your own. Forget about redistribution. Use your logic. The wealth of 5 Million whites was never going to send 45 Million blacks into a blissful retirement. The white wealth Malema cries about daily, was only in the hands of a few whites.

So until we move ourselves forward and merge ourselves with the world, we will remain primitive. 17 Years after independence you don’t dance from Beyers Naude to the stock exchange and have foreign journalists film your insanity in the name of freedom. We were freed 17 years ago, embrace it and use your freedom to trade with the world, not crash your own stock market.

We can march up to the Union Buildings until the cows come home. We are not going to move ourselves forward until we free ourselves from ourselves
 
Cc @RRONDO @Black Sniper @Teknocrat
Tatizo la hawa wajinga wanadhani majiji makubwa kama London unaweza kutamba kwa £ million kadhaa na kununua majumba

Watu weusi ni shida sana wakipata hela
Eti ana personal Shopper wake wa kumnunulia bidhaa Harrods si ujinga huo
Kwa UK wanakubali Mega riches ambao wana hela ndefu sana kama Russian Oligarchs ambao wanapoamua kuleta hela zao UK basi wanapokelewa kama wafalme

Unajua kuna wakati walipewa UK Passports haraka sana wakiita fast track na Bunge likiwa wapiga debe wakubwa na kupitisha sheria

Kwa nini?
Kwa sababu moja tu hela walizonazo ni kufuru

Sasa huyu Waziri wa zamani ni kapuku tu aliejionyesha ana hela na kwa Usalama wa nchi hafai na vijisenti vyake
😂😂
 
Back
Top Bottom