Waziri wa Ujenzi, Innocent L. Bashungwa (Mb) akiwasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma,

Waziri wa Ujenzi, Innocent L. Bashungwa (Mb) akiwasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma,

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
726
Reaction score
953
Waziri wa Ujenzi, Innocent L. Bashungwa (Mb) akiwasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, ambapo atawasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa Mwaka wa Fedha 2024/25, Leo tarehe 29 Mei 2024.
IMG-20240529-WA0013.jpg
IMG-20240529-WA0019.jpg
IMG-20240529-WA0015.jpg
IMG-20240529-WA0017.jpg
IMG-20240529-WA0021.jpg
 
Kila la kheri mh Bashungwa na Wizara yake.
Naamini barabara na madaraja yote yaliyosombwa na mvua za El Nino yatajengwa tena kupitia bajeti hii.
 
Huyu mwamba serikali iendelee kumuamini ni kichwa sana
 
Back
Top Bottom