Mmelewa madaraka na udikteta tendeni hakiMswada huo unaounda bodi ya mawakili na kuua sheria ya chama cha mawakili, ni mswada muhimu sana. Utaleta nidhamu ya uwakili ktk nchi hii.Maana kwa sasa fani ya uwakili imetekwa na wanasiasa, na kuondoa lemgo msingi la fani hii.
OMBI:Mheshimiwa waziri/AG aulete mswada huo bungeni Novemba ikibi kwa hati ya dharula. Standing orders za bunge za mwaka 2016 zinaruhusu utaratibu huo. We want clean air in the legal profession.
Ni mwanasheria wa CDM,Mbunge, Raisi wa TLS nk. Uroho huu wa madaraka ni elements za dikteta halisi.Lisu Tundu ni dikteta halisi.
Huijui tasnia ya sheria wewe! Acheni kuingiza siasa zenu kwenye profession za watu.Mswada huo unaounda bodi ya mawakili na kuua sheria ya chama cha mawakili, ni mswada muhimu sana. Utaleta nidhamu ya uwakili ktk nchi hii.Maana kwa sasa fani ya uwakili imetekwa na wanasiasa, na kuondoa lemgo msingi la fani hii.
OMBI:Mheshimiwa waziri/AG aulete mswada huo bungeni Novemba ikibi kwa hati ya dharula. Standing orders za bunge za mwaka 2016 zinaruhusu utaratibu huo. We want clean air in the legal profession.
TLS inaruhusu, na ndivyo ilivyo, raisi wake kuwa na kazi nyingine zaidi ya uwakili tu.Ni mwanasheria wa CDM,Mbunge, Raisi wa TLS nk. Uroho huu wa madaraka ni elements za dikteta halisi.
Wee acha zako. Mimi ni mwanasheria tena kwa level ya PhD. Kajifiche kwenye zizi la panya na ka LLB kako uchwara.Huijui tasnia ya sheria wewe! Acheni kuingiza siasa zenu kwenye profession za watu.
Wee acha zako. Mimi ni mwanasheria tena kwa level ya PhD. Kajifiche kwenye zizi la panya na ka LLB kako uchwara.
inatungwa sheria kwa ajili ya mtu mmoja NA VIWANDA TUTAJENGA USIKU???Ni mwanasheria wa CDM,Mbunge, Raisi wa TLS nk. Uroho huu wa madaraka ni elements za dikteta halisi.
Mswada huo unaounda bodi ya mawakili na kuua sheria ya chama cha mawakili, ni mswada muhimu sana. Utaleta nidhamu ya uwakili ktk nchi hii.Maana kwa sasa fani ya uwakili imetekwa na wanasiasa, na kuondoa lemgo msingi la fani hii.
OMBI:Mheshimiwa waziri/AG aulete mswada huo bungeni Novemba ikibi kwa hati ya dharula. Standing orders za bunge za mwaka 2016 zinaruhusu utaratibu huo. We want clean air in the legal profession.
mwanasheria hata wa diploma anajulikana. wewe sheria utabaki kuisikia tu.Wee acha zako. Mimi ni mwanasheria tena kwa level ya PhD. Kajifiche kwenye zizi la panya na ka LLB kako uchwara.
Mh !Mswada huo unaounda bodi ya mawakili na kuua sheria ya chama cha mawakili, ni mswada muhimu sana. Utaleta nidhamu ya uwakili ktk nchi hii.Maana kwa sasa fani ya uwakili imetekwa na wanasiasa, na kuondoa lemgo msingi la fani hii.
OMBI:Mheshimiwa waziri/AG aulete mswada huo bungeni Novemba ikibi kwa hati ya dharula. Standing orders za bunge za mwaka 2016 zinaruhusu utaratibu huo. We want clean air in the legal profession.
Siwezi bishara na mtu ambaye ni legal officer hata Law School of Tz haijui iko wapi. Kapike.mwanasheria hata wa diploma anajulikana. wewe sheria utabaki kuisikia tu.
Law school hii ya Juzi? Hujui hata law school ilianzishwa kwa misingi ipi, ndio maana unatapatapaSiwezi bishara na mtu ambaye ni legal officer hata Law School of Tz haijui iko wapi. Kapike.
wenzako tumepikwa Law School of Tz na akina prof.Majamba(legal drafting),Edward Chuwa (commercial), Taisamo(probate,civil) nk. Na tukatoboa. Wewe je? Lione.Mkuu naona umeumia sana baada ya kuona TLS inajitegemea, sali na kuomba sana miungu iliyopo ili ufanikishe wazo lako kwa sababu huyo waziri unaemuomba siyo mwanasiasa
Sent using Jamii Forums mobile app
.wenzako tumepikwa Law School of Tz na akina prof.Majamba(legal drafting),Edward Chuwa (commercial), Taisamo(probate,civil) nk. Na tukatoboa. Wewe je? Lione.