Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,395
Rangi ya mikono ya Mama Mshumbuz inaonekana ni tofauti ni uso wake... Ebu mshauri shemeji yako aongeze bidii ya kunywa maji ili awe mweupe mwili mzimaNi lazima tukubali uharaka wa kusahihisha kosa hili unatia moyo; hakuna hata kuacha giza liingie. Ingekuwa ni madhara makubwa kama angeachwa kuendelea huko. Lakini kama suala ni la uraia hili halipaswi kuishia kwenye nafasi yake huku alikotengeliwa; vipi huko kwingine? Kuna maswali yanahitaji majibu na yajibiwe haraka vile vile kwa usahihi.