Mchengerwa aelekeza Uteuzi wa Kaimu Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kagera kutenguliwa

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,616
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed O. Mchengerwa amemuelekeza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Adolf Ndunguru kutengua uteuzi wa Kaimu Mganga Mkuu
wa Mkoa wa Kagera Dr. Issesanda Kaniki na kupangiwa kazi nyingine

Maelekezo hayo ni baada ya kupokea malalamiko ya Wananchi kuhusu ukosefu wa huduma bora za Afya kwenye baadhi ya Vituo vya kutolea huduma pamoja na kauli zisizoridhisha kutoka kwa baadhi ya watoa huduma za Afya

Mnamo Novemba 27, 2023 Mwananchi alilalamikia Kituo cha Afya cha Zamzam katika Manispaa ya Bukoba akidai hakina huduma nzuri kwa Wajawazito, Wahudumu kutojali wenye uhitaji, kuwapuuzia na kuwajibu vibaya na baadhi ya Watumishi kutengeneza mazingira ya Rushwa ili kutoa huduma ya haraka kwa Wanufaika wa Bima ya NHIF

Malalamiko ya Mdau >>>>> DOKEZO - Kituo cha Afya Zamzam (Bukoba) kuna huduma mbovu, Watumishi wanatengeneza mazingira ya Rushwa
 
Mchengelwa, nenda hatua moja mbele zaidi. Wafute kazi wote ambao kwa ushahidi usio na mashka wanafanya uovu huo! Au to be on the saf side wastaafishe kwa manufaa ya uMMA na kuwafutia vyeti vyao. LAKINI USHAHIDI USIO NA MASHAKA
 
Mganga mkuu kaonewa kama malalamiko hayakufika kwake angejuaje?

Kwa hiyo Kila siku awe anapita Kila kituo Cha afya na kushinda huko kuangalia kama huduma ziko vizuri? Aliyetakiwa kusimamishwa kazi ni huyo Daktari wa kituo husika sio mganga mkuu

Ni uonezi wa Hali ya juu mno
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed O. Mchengerwa amemuelekeza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Adolf Ndunguru kutengua uteuzi wa Kaimu Mganga Mkuu
wa Mkoa wa Kagera Dr. Issesanda Kaniki na kupangiwa kazi nyingine

Maelekezo hayo ni baada ya kupokea malalamiko ya Wananchi kuhusu ukosefu wa huduma bora za Afya kwenye baadhi ya Vituo vya kutolea huduma pamoja na kauli zisizoridhisha kutoka kwa baadhi ya watoa huduma za Afya

Mnamo Novemba 27, 2023 Mwananchi alilalamikia Kituo cha Afya cha Zamzam katika Manispaa ya Bukoba akidai hakina huduma nzuri kwa Wajawazito, Wahudumu kutojali wenye uhitaji, kuwapuuzia na kuwajibu vibaya na baadhi ya Watumishi kutengeneza mazingira ya Rushwa ili kutoa huduma ya haraka kwa Wanufaika wa Bima ya NHIF

Malalamiko ya Mdau >>>>> DOKEZO - Kituo cha Afya Zamzam (Bukoba) kuna huduma mbovu, Watumishi wanatengeneza mazingira ya Rushwa
Upuuzi mwingine huu.....huyu bwana ameolewa kulee hana confidence ana demka tuuu....hajui anachofanya...Ndenge stars mmepatikana ile jeuri yeni kwishaa....mtoto mdogo amewadhaulishaa
 
Mganga mkuu kaonewa kama malalamiko hayakufika kwake angejuaje?

Kwa hiyo Kila siku awe anapita Kila kituo Cha afya na kushinda huko kuangalia kama huduma ziko vizuri? Aliyetakiwa kusimamishwa kazi ni huyo Daktari wa kituo husika sio mganga mkuu

Ni uonezi wa Hali ya juu mno
yeye ni overall in charge ya vituo hivyo,ni wajibu wake kuweka utaratibu wa kujua nini kinafanyika
 
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed O. Mchengerwa amemuelekeza Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Adolf Ndunguru kutengua uteuzi wa Kaimu Mganga Mkuu
wa Mkoa wa Kagera Dr. Issesanda Kaniki na kupangiwa kazi nyingine

Maelekezo hayo ni baada ya kupokea malalamiko ya Wananchi kuhusu ukosefu wa huduma bora za Afya kwenye baadhi ya Vituo vya kutolea huduma pamoja na kauli zisizoridhisha kutoka kwa baadhi ya watoa huduma za Afya

Mnamo Novemba 27, 2023 Mwananchi alilalamikia Kituo cha Afya cha Zamzam katika Manispaa ya Bukoba akidai hakina huduma nzuri kwa Wajawazito, Wahudumu kutojali wenye uhitaji, kuwapuuzia na kuwajibu vibaya na baadhi ya Watumishi kutengeneza mazingira ya Rushwa ili kutoa huduma ya haraka kwa Wanufaika wa Bima ya NHIF

Malalamiko ya Mdau >>>>> DOKEZO - Kituo cha Afya Zamzam (Bukoba) kuna huduma mbovu, Watumishi wanatengeneza mazingira ya Rushwa
Sasa unamtenguaje kaim Mganga mkuu wa Mkoa , na kumuacha Mganga mkuu wa manispaa, (DMO) huyu si ndo msimazi mkuu wa afya katika Manispaa akiwa chini ya Mkurugenzi, kama ndivyo mkurugenzi unamuachaje ofisin,

Mganga mkuu wa mkoa hawezi simamia vituo vyote katika mkoa ndo maana wapo watu ambao wamekashimishiwa madaraka ili mambo yaende sawa wakiwepo MaDMO,

kwa sababu alizozitoa ndugu Waziri kwangu naona ni matumizi mabaya ya cheo chake bila kutojua Mfumo wa afya unafanyaje kazi, huku ni kuangushiana jumba bovu, kama sio kuleta siasa kwenye mambo Muhim
 
Mganga mkuu kaonewa kama malalamiko hayakufika kwake angejuaje?

Kwa hiyo Kila siku awe anapita Kila kituo Cha afya na kushinda huko kuangalia kama huduma ziko vizuri? Aliyetakiwa kusimamishwa kazi ni huyo Daktari wa kituo husika sio mganga mkuu

Ni uonezi wa Hali ya juu mno
Yeye ndiye msimamizi wa huduma za Afya ngazi ya Mkoa, anapaswa kujua ni jukumu lake, kama hajui yanayoendelea ina maana hatoshi.
Kwa nafasi yake anapaswa kujua, kama ana shinda tu Ofisini hana njia za kufuatilia upatikanaji wa huduma basi alipaswa ajue.
Anawajibika kwa nafasi yake.
 
Dirt Politics at its peak.

Kama wahudumu wanatoa lugha chafu kwa wagonjwa, Je, kwa nini wasiwajibishwe hao wahudumu wenyewe ambao wametoa lugha chafu??
Kama kituo cha Afya kinatoa huduma mbovu, Je, kwa nini asiwajibishwe Mganga Mkuu wa Kituo au Hospitali husika au Mganga Mfawidhi wa Wilaya husika badala ya kumwajibisha Mganga wa Mkoa???
Endapo kama atateuliwa Mganga mwingine wa Mkoa huo, na hao Wahudumu wanaotoa lugha chafu kwa wahonjwa wataendelea na hiyo tabia yao, na endapo kama tatizo la ubovu wa huduma ktk hispitali hiyo litaendelea kuwepo, Je, huyo Mganga wa Mkoa mpya uteuzi wake nao utatenguliwa?
 
yeye ni overall in charge ya vituo hivyo,ni wajibu wake kuweka utaratibu wa kujua nini kinafanyika
Mambo hayaendi au kufanyika namna ufikiliavyo, afya sio idara za kisisa , kila kitu kinaenda kwenye utaratibu wake,

Ndo maana zipo zahanati na wafawidhi, pamoja kamati za Afya hivyo hivyo katika vituo vya afya mpaka kwenye hospitali za wilaya,
Lakini wapo wanganga wakuu wa wilaya MADMO

Sasa mganga mkuu wa mkoa anawezaje kufaham matatizo katika kila kituo cha kutolea huduma ndani ya mkoa mzima , bila kutofikishiwa taarifa katika chanel iliyo sahii, matokeo yake watu kuwa na majungu ya kisiasa,

Kwamba Mchengelwa hili nalo halijui, kwamba ofisi ya Mganga Mkuu Mkoa ipo pale kuchakata taarifa zilizokosa ufumbuzi uko chini na kutafuta utatuzi wake kwa kushirikiana na mamlaka zingine zilizojuu yake na zilizo ndani ya uwezo wake,

Wizara kama TAMISEM inataka sana utulivu
 
Sasa unamtenguaje kaim Mganga mkuu wa Mkoa , na kumuacha Mganga mkuu wa manispaa, (DMO) huyu si ndo msimazi mkuu wa afya katika Manispaa akiwa chini ya Mkurugenzi, kama ndivyo mkurugenzi unamuachaje ofisin,

Mganga mkuu wa mkoa hawezi simamia vituo vyote katika mkoa ndo maana wapo watu ambao wamekashimishiwa madaraka ili mambo yaende sawa wakiwepo MaDMO,

kwa sababu alizozitoa ndugu Waziri kwangu naona ni matumizi mabaya ya cheo chake bila kutojua Mfumo wa afya unafanyaje kazi, huku ni kuangushiana jumba bovu, kama sio kuleta siasa kwenye mambo Muhim

Inawezekana amefikishiwa malalamiko akapuuza
 
Ilo ni jambo lingine na ingekua ni Moja ya hoja ya Bwana Waziri kuitoa kama sababu ya kumtengua , ila sio sababu nyepesi alizo sema,

Rais Mwenyewe hawezi jua matatizo yote ndani ya nchi ndo maana anawakamishisha madaraka wateule wake ili wamsaidie.

Sasa shida ya baadhi ya wateule wake ndo hivyo kutaka jitafutia umarufu kupitia watu walio chini yao, wakati mwingine ikionekana ni uonevu wa waziwazi,
 
Mganga mkuu kaonewa kama malalamiko hayakufika kwake angejuaje?

Kwa hiyo Kila siku awe anapita Kila kituo Cha afya na kushinda huko kuangalia kama huduma ziko vizuri? Aliyetakiwa kusimamishwa kazi ni huyo Daktari wa kituo husika sio mganga mkuu

Ni uonezi wa Hali ya juu mno
Hizo nafasi zina wenyewe. Lazima zikaliwe na watoto wa familia zenye majina
 
Dirt Politics at its peak.

Kama wahudumu wanatoa lugha chafu kwa wagonjwa, Je, kwa nini wasiwajibishwe hao wahudumu wenyewe ambao wametoa lugha chafu??
Kama kituo cha Afya kinatoa huduma mbovu, Je, kwa nini asiwajibishwe Mganga Mkuu wa Kituo au Hospitali husika au Mganga Mfawidhi wa Wilaya husika badala ya kumwajibisha Mganga wa Mkoa???
Hii ndo hoja mkuu
 
Kiki tu,hapo Mihimbili tu unaweza kusota siku kadhaa hujapata huduma ya vipimo muhimu na huduma zao mbovu na rushwa imejaa mbona wametulia?!!
 
Ukisema Overall unamwachaje Waziri wa Afya?
Nafikili kwa haya ifike mda Afya waoneshe makali sasa vinginevyo wataanza chezewa kama walim,

Afya hata Magufuli aliogopa na kuwakanya wanasiasa ambao walikua wameanza kuwapanda kichwani, acheni siasa kwenye afya ,

Waziri Chengelwa anatakiwa kuelewa wizara ipo na watu ambao bado wanaweza kuwa wanampa ushauri ,sio unaamuka tu na kutoa maelekezo au maamuzi flani kisa ni waziri
 
Binafsi nilidhani hiyo Chain ilitakiwa ishuke na kule Wilayani kwa DMO.

Maana kiProtocal DMO anaripoti kwa RMO, sasa iwaje madudu yaonekane Kule Wilayani alafu aje aadhibiwe RMO badala ya DMO aliyeko kule Site?

Labda kama sijaelewa.

Yaani Mtu aliyeko Mkoani anatakiwa kwenda kutatua tatizo la Wilayani wakati kule Wilayani hawajaripoti kushindwa kushughulikia hilo tatizo kwa RMO, huyo RMO atajuaje?
 
Back
Top Bottom