Mkuu hujatumia lugha ya kungwana, kusema rais wenu? Means ww unarais wako, unaserikal yako, unajeshi lako, unamahakama yako... kuwa msaha kwa nchi yako.. rais john magufuri ni rais wa tz, na amiri jeshi mkuu wa mjeshi ya ulinzi na usalama, kazi hyo hajajipa yy, kapewa na wtz m8s ili awafanyie kazi.. wewe unasema rais wenu, aseee unapaswa kuchunguzwa akili vzr,Umakini wake uko wapi hapo,Leo hili mnaona do go kesho watatangaza raisi wenu kafa kwakukurupuka
Sababu sio raisi nilie mchagua na hskuchaguliwa na watanzania pia kura za milioni nane ni kura za ccm hata wao wanalijua hilo unanilazimisha upumbavu hambao haupo!!!!!kura million name alizisema mtoto was kikwete wtashinda ccm hats kbla ya kura kupigwa huyo raisi wenu ccm sio raisi was jamuhuriMkuu hujatumia lugha ya kungwana, kusema rais wenu? Means ww unarais wako, unaserikal yako, unajeshi lako, unamahakama yako... kuwa msaha kwa nchi yako.. rais john magufuri ni rais wa tz, na amiri jeshi mkuu wa mjeshi ya ulinzi na usalama, kazi hyo hajajipa yy, kapewa na wtz m8s ili awafanyie kazi.. wewe unasema rais wenu, aseee unapaswa kuchunguzwa akili vzr,
Umakini wake uko wapi hapo,Leo hili mnaona do go kesho watatangaza raisi wenu kafa kwakukurupuka
dhambi ya kibaguzi!
Mama Wangwe (ndio jina maarufu tulizoea kumwita pale UCLAS enzi hizo) anayo tofauti gani na wale wanyasa na wamakonde waliolowea miaka ileee leo wanajidai leo hii ni wazawa?