Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu atengua Uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi wa NSSF

Taarifa za ndani sana ni kuwa JPM amegundua ujanja alofanya Mhagama kwa kumuweka mtu wake asiyeweza kumdhuru swahiba wake Dau
Dau anatumia rasilimali fedha kuwarubuni watu ili wamlinde kwa ufisadi uliopitiliza kuwahi kutokea nchini tangu kabla na baada ua uhuru ila ujanja wake na mhagama wake magufuli keshaujua.

Stay turned
 
Kwa taratibu zilizopo Waziri hana mamlaka ya kumteua CEO wa shirika kubwa kama NSSF madaraka hayo yapo kwa Raisi, nadhani alikurupuka wanafanya kazi kwa mzuka!!!!(nimeazima msemo wa Sugu)

Naona sugu alisema ukweli na unauma kweli kweli.
 
Total mess.

Mama is an illegal immigrant from Uganda.

Mama is an IT expert, with no executive experience in retirement fund area.

Mama's appointment contravened regulatory bodies laws which preclude appointments of executives to institutions they previously oversaw. NSSF is regulated by SSRA.
Hiyo point ya mwisho ina maana kubwa sana...
Huwezi kumteua mtu aliyekuwa na post kubwa kwenye regulatory authority...
Maana tayari ana network zake huko atokako ambazo zitafanya SSRA ishindwe kuiwajibisha NSSF...

Hili kosa lipo hata kwa wastaafu wa ngazi za juu serikalini kupewa kazi na private sector ili wawe ma lobbyist wao...
Nchi za wenzetu wana sharia kali juu ya hilo...
Ukistaafu lazima ukae miaka mitano nje ya ajira ili mizizi yako iwe imepotea ...
 
Waislam wa nssf hawataki kuongozwa na mkristo?
Huyo Dr.aliyetumbuliwa nasikia walikuwa wanamsifia ni mkristo mwenye msimamo thabiti. Dau mtu wa watu hizo nyingine chuki tu na roho mbaya.mbona mkiambiwa mlete ushahidi hamna?
 
Ni lazima tukubali uharaka wa kusahihisha kosa hili unatia moyo; hakuna hata kuacha giza liingie. Ingekuwa ni madhara makubwa kama angeachwa kuendelea huko. Lakini kama suala ni la uraia hili halipaswi kuishia kwenye nafasi yake huku alikotengeliwa; vipi huko kwingine? Kuna maswali yanahitaji majibu na yajibiwe haraka vile vile kwa usahihi.
Siku hizi umejivika miwani ya mbao....Unatetea kila kitu kama wale ambao wakati wa "Mabadiliko" walikuwa hawasikii lolote
 
[QUOTE="


Angalizo. Nasema hivi...Dr Ramadhani Dau hakuzaliwa ili afanye kazi na azeekee NSSF. Lakini kama anakosolewa basi akosolewe kwa kuangalia track record yake na sio maadui zake kumtuhumu bila ushaidi kuwa ni mdini (anapendelea waislam) pasipo ushaidi wowote ule.

Nitarudi baada ya dakika kumi naona bando yangu inaisha punde tuuu....[/QUOTE]

Alizaliwa aende UMRA? atapewa ubalozi huko huko Saudia!!!! Ila daaaah aliamini atafia NSSF
 
Maamuzi ya kukurupuka. Naona kuna tatizo la kimfumo. Ina maana siku hizi hakuna vetting ? This is shame . Whoever is concerned should be responsible . Imagine the embarrassment caused to the appointed and family at large ? This finishes the image of our president , tafadhali SANA jamani , we have faith with our president . Msimhujumu
ungeongea swahili mwanzo mwisho ungeeleweka zaidi.
 
Ni huyu huyu Mh. waziri aliyeteua ndiye aliyesimama kidete kumuandama Mh. Sugu afute kauli bungeni aliposema mawaziri wanafanya kazi kwa mizuka.
 
Nilikuwa naelekea kuamini ulichoandika lakini kwenye red kumeonesha kama majungu ya kijinga kabisa. Tangu lini nafasi ya KUKAIMU ikatangazwa au mtu akatuma maombi ya kukaimu ukurugenzi? Ni bodi ya shirika gani ilishakaa kuthibitisha uteuzi wa mtu wa KUKAIMU nafasi? Uko wapi ushahidi kwamba Dr Carine hajawahi kuomba uraia?
Umeongea vizuri sana Hekima Kwanza , tuache majungu na kujadili watu na tujadili hoja
 
Mimi nina maswali mawili tu kijana.
1. Ina maana kabla hata hujamaliza kuandika na ku post hii kitu tayari watu walishaanza kukuuliza maswali na kukujazia inbox yako?

2. Hivi bundle inapokaribia kuisha huwa inatoa alert (alarm)?

Maswali yangu ni hayo tu.

number 2 its true bunlde kama linaisha linakupa taarifa
ie kama Tigo huwa wanasema umebaki na MB 50, then umebaki na MB5, MB 2
 
Hawamhujumu bali wanafuata nyayo zake za kukurupuka.
Yule wa awamau ya nne alikuwa mbadhirifu na wa chini yake walifuata nyanyo zake vizuri sana.
Huyu wa awamu ya tano yuko against ubadhirifu lakini mkurupukaji mzuri, na wa chini yake wanajaribu kufuata hizo nyanyo.
Welcome to Bongoland!
Nimekubali. Watendaji hufuata mzuka wa kiongozi wao. Enzi ya mkwere ilikuwa ni acha liende liendavyo. Kwa sass ni hatua kwa haraka kimzuka mzuka. Sasa ngoja tuone ipi inalipa.
 
But yuko kwenye Public service kwa miaka 19 now na mwaka 2011 alichaguliwa kuwa Head wa Department SSRA why haya yote ya uraia na mengineyo yanatokea wapi?au kuna nini?
Kuna wahamiaji haramu wengi tu walio ktk utumishi wa umma bila kujulikana. Mara nyingi hujulikana wanapoingia siasa au kupata vyeo vikubwa. Ushauri. Wahamiaji haramu rizikeni na vyeo vyenu vya chini.
 
Back
Top Bottom