Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu atengua Uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi wa NSSF

kISAIRO

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,796
654
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenister Mhagama ametengua uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Dkt. Carina Wangwe uliotangazwa leo Dar es salaam.

Taarifa iliyotolewa usiku huu imeeleza kuwa uteuzi huo umetenguliwa kutokana na kutokamilika kwa baadhi ya taratibu, uteuzi mpya kwa mujibu wa mamlaka na sheria utakapofanyika taarifa zitatolewa kwa wananchi.
 
Hawa mawaziri kwa kukurupuka wako vizuri sana.... Anyway nafkiri ni kwa sababu Mama huyo ni Mganda na sio Mtanzania halisi, japo kaolewa na Mtanzania...
 
Attachments

  • 1457035585231.jpg
    1457035585231.jpg
    39.6 KB · Views: 122
Mhh, inawezekanaje haya? Yaani Waziri anafanya try and error kwenye masuala muhumui kama haya? Hivi inawezekana Serikali kutokuwa na taarifa za kutosha za mteuliwa kabla ya uteuzi? Nachoka kabisa!

Anyway, heri nusu shari kuliko shari kamili.
 
Maamuzi ya kukurupuka. Naona kuna tatizo la kimfumo. Ina maana siku hizi hakuna vetting ? This is shame . Whoever is concerned should be responsible . Imagine the embarrassment caused to the appointed and family at large ? This finishes the image of our president , tafadhali SANA jamani , we have faith with our president . Msimhujumu
 
Total mess.

Mama is an illegal immigrant from Uganda.

Mama is an IT expert, with no executive experience in retirement fund area.

Mama's appointment contravened regulatory bodies laws which preclude appointments of executives to institutions they previously oversaw. NSSF is regulated by SSRA.
 
Katika hali isiyotarajiwa ITV imeripoti kutenguliwa kwa uteuzi wa dr Carine Wangwe aliyeteuliwa jana kuwa mkurugenzi mkuu wa NSSF.
 
Maamuzi ya kukurupuka. Naona kuna tatizo la kimfumo. Ina maana siku hizi hakuna vetting ? This is shame . Whoever is concerned should be responsible . Imagine the embarrassment caused to the appointed and family at large ? This finishes the image of our president , tafadhali SANA jamani , we have faith with our president . Msimhujumu
Waziri anaweza kuchagua Kaimu , lakini Mkurugenzi anachaguliwa na Rais miungoni mwa majina matatu yaliyopendekezwa na bodi
 
Maamuzi ya kukurupuka. Naona kuna tatizo la kimfumo. Ina maana siku hizi hakuna vetting ? This is shame . Whoever is concerned should be responsible . Imagine the embarrassment caused to the appointed and family at large ? This finishes the image of our president , tafadhali SANA jamani , we have faith with our president . Msimhujumu

Hawamhujumu bali wanafuata nyayo zake za kukurupuka.
Yule wa awamau ya nne alikuwa mbadhirifu na wa chini yake walifuata nyanyo zake vizuri sana.
Huyu wa awamu ya tano yuko against ubadhirifu lakini mkurupukaji mzuri, na wa chini yake wanajaribu kufuata hizo nyanyo.
Welcome to Bongoland!
 
Back
Top Bottom