Dar_Millionaire
JF-Expert Member
- Aug 6, 2008
- 227
- 89
Watanzania mpotezeeni huyo juha.
Hiyo comment ya Mr. Kamau ni ya kijinga. Ni comment ya mtu ambaye hajasoma demand-and-supply. Ukweli ni kwamba bandari ya Dar hata ifanyeje haiwezi kuiua Mombasa. Na ya Mombasa haiwezi kuua ya Dar.
Kila bandari ilimradi ipo itapata wateja. Kwa kuwa kuna urahisi kwa wakenya kutumia bandari ya Mombasa kutokana na ukaribu na watanzania kutumia ya Dar kutokana na ukaribu. Wachache wanaweza kutumia bandari ya huku na kule, lakini haiwezekani mfano wakenya wote wakatumia bandari za Tanzania hata zingekuwa na ufanisi kiasi gani.
Kingine ni kwamba bandari ya Dar hivi sasa imebanwa na eneo hata uchapakazi ukiwa mzuri vipi bado kunakuwa na foleni za meli na mizigo kutokana na eneo. Ndio maana inajengwa ya Bagamoyo ambayo itaboresha mambo.