Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,005
- 6,314
Hili suala haliwahusu Wapinzani bali linahusu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Na ndiyo maana Jiwe wakati wa uhai wake alijiimarisha pekee badala ya kuimarisha mifumo. Hii ni kutokana na kugundua kuwa waliomzunguka wengi wao wana mawazo finyu kama ulivyo wewe.Yaani wapinzani kulalamika ni jadi yao! Mnadhani kuna kupumua hapa? Magu spirit will prevail