Waziri wa fedha Mahututi

Kuna watu humu jamvini ni wadogo zake izraeli!....God Forbid, chimwekeneeeeeeeee
 
Tunazungumzia uzima/uhai wake mkuu, hii ni tofauti kabisa na UCCM au mapungufu yake ya Kikazi.

me nazungumzia kupelekwa kwake SA while watanzania wenzie pale muhimbili na hata jimbon kwake ni wagonjwa na hawana tiba
 
Malipo huwa yanaanza
hapa hapa duniani.Wametuonea mno Watanzania,ngoja nao wapate joto ya
jiwe.Kwanza wapiga kura wake hata dawa hawawezi kununua,wengine wanakufa hata bila kufika vituo vya afya.
 
Hawa wasengerema wa ccm wakiumwa wanakwenda sauz afrika, njooni na nyie malazwe mwananyamala mjue utamu wa tumbaku ni popoooo!! Puuuuuuuuuuuuuuuu!
 
Muwe nnaweka na pic jama wengine hatumfahamu
 
RIP in advance
Una moyo.....!!!
Kuna mtu alimcheka mgonjwa mahututi kuwa wa leo wa kesho.
Alipokuwa anatoka hospitali kumwona gonjwa huyo akapata ajali na kurudisha uhai kwa Muumba pale pale.
Mambo haya hayadhihakiwi.
 
Reactions: awp
Uhai wa waziri huyu ni muhimu sana kuliko wa_tz wote walio mahututi hapa tz. so msishangae kwann yupo south.
 
Hawa wasengerema wa ccm wakiumwa wanakwenda sauz afrika, njooni na nyie malazwe mwananyamala mjue utamu wa tumbaku ni popoooo!! Puuuuuuuuuuuuuuuu!
Usipate taabu , mbona wengine bado tunaenda huku kwa mzee wa kikombe...........

 
Wao Wanafia ng'ambo,halafu wapiga kura wanalala chini muhimbili

Kufa ni kufa tu dada Victoire Ingabire, haijalishi umefia kwenye sakafu Muhimbili au sijui wapi kule wanakotibiwa wakubwa. Hivi dada Victoire raisi Paul Kagame ameshakuachia kutoka lupango? Au huko lupango PK kakuwekea mawasiliano ya internet?
 
Zito yuko vizuri anaweza imudu hiyo nafasi so hold on next week JK atampatia ubunge maalumu na uwaziri
 
pole kwa maumivu waziri wetu. tunakuombea upone haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…