Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

Lipumba hajitambui. Yeye pamoja na elimu yake kubwa chama kimemfia mikononi. Alichukua chama kikiwa imara na kikiwa namba 2 baada ya ccm. Sasa ni kama hakipo. Viongozi wake wamebakia porojo kama hizi za kutathmini vyeti vya wenzao. Na wengine wameona bora wafanye kazi na ccm ili waishi. If u can't fight them join them. Nani alijua hili laweza kutendeka la cuf kushirikiana na ccm? Haya yote ni kwa kuwa prof. Ameshindwa kuongoza chama. Cuf kwisha kabisa. 2015 ndo kabisa hata wabunge 7 hawatawapata labda wawatoe pemba tu. Sasa basi nauliza elimu isio na matunda kwa mtanzania ina faida gani? Mbona mbowe elimu finyu lakini chama chake charuka juu kama ndege na kuifanya ccm iingie kiwewe? Ngoja 2015 kama hawataibiwa kura zao uone watavyoingia ikulu kilaini.
 
Now you're talking JokaKuu,
Now tell me; kwanini utoe reference ya CV mzuri za mawaziri wa fedha wa nje badala ya kutoa reference CV mzuri ya mawaziri wa ndani ili tujiridhishe kwamba wasomi hapa nyumbani? Don't you think there's something wrong hapo? Kwa sababu, ikiwa una-defend hoja yako kwa kuonesha mawaziri wasomi wa nje badala ya reference kuwa mawaziri wasomi wa ndani basi simple conclusion hapo ni kwamba kumbe tatizo la mawaziri/watendaji wetu si elimu bali something else. Look Wizara ya Elimu, Waziri ni Doctor(PhD), Katibu Mkuu Professor na baadhi ya Wakurugenzi nao ni madaktari/maprofesa. Nenda pale Wizara ya Kilimo uone Madaktari walivyojazana...what do they do? Tuna wazomi kila idara na taasisi lakini performance ni poor as compared to private sector ambako majority ni first degree holders....WHY? Does it require university degree or a piece of research to know kwamba tatizo kubwa la nchi hii ni uwajibikaji na wala si issue kama za huyu mama?

Let me conclude by telling you this. Hao uliowatolewa mfano kama wana mafanikio basi mafanikio hayo yanachangiwa na mambo makubwa mawili; UWAJIBIKAJI NA UADILIFU, hayo ndiyo mambo makubwa ambayo tumeyakosa nchi hii.
NasDaz,

..the best case scenario ni waziri msomi, mwenye uzoefu wa kitaalamu wa kutosha, mwadilifu, na mwajibikiaji.

..the worst case scenario ni waziri asiye na elimu na uzoefu, aliyekosa maadili, na asiye mwajibikaji.

..pia kuna a number of cases in between the best and the worst case scenarios.

..mapendekezo yangu ni kwamba ili tuwe na nafasi nzuri ya kufanikiwa ktk kuendesha uchumi wetu basi Raisi anapofanya uteuzi wa waziri wa fedha anapaswa kulenga ktk best case scenario niliyoieleza hapo juu.

..nakubaliana na wewe kwamba kuna sekta mbalimbali hapa nchi ambazo zimeathirika kutokana na ukosefu wa maadili wa wale waliopewa dhamana. umetoa mifano mizuri tu. mfano mzuri zaidi ni ufisadi ambao umekuwa ukitokea ktk taasisi kama Benki Kuu. Lakini pamoja na hayo Maraisi wote wameendelea kuteua magavana wenye elimu na uzoefu wa kutosha kuongoza taasisi hiyo nyeti.

..kuhusu wizara ya elimu, naomba kutofautiana na mtizamo wako. kwa maoni yangu matatizo ya sekta ya elimu kwa kiwango kikubwa yanatokana na kutozingatia utaalamu ktk maamuzi yetu. tumetumbukiza siasa ktk sekta hii na watawala wamegoma kujifunza frm our past failures and experiences.

..Uadilifu peke yake hauwezi kutatua matatizo yanayoishambulia nchi yetu. Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alikuwa mtu mwadilifu sana aliyeweka mbele maslahi ya nchi wakati wote. Pamoja na hayo, kutokana na kukosa utaalamu wa kuendesha uchumi, alichukua uamuzi wa kutaifisha mashamba ya mkonge. Sote tunajua matokeo mabaya ya uamuzi huo, na hata yeye mwenyewe alikiri kwamba alifanya kosa la kitaalamu ktk uamuzi wake ule.

cc Nguruvi3, Mchambuzi, Mdondoaji
 
Wabongo tuna mambo ya ajabu sana,hata km hana elimu mnamtakia nini??kashasema anafanya PhD sasa utafanyaje digree ya tatu bila kuanza na ya pili na ya tatu??achane upuuzi wenu huo nanyinyi mwambieni Rais akuchagueni na nyinyi
 
Naunga mkono hoja ya JokaKuu kuwa hatuna upungufu wa wasomi wenye maadili.
Tunaupungufu wa vetting ya kuwapata watu wa namna hiyo.

Waziri wa fedha ni senior minister katika nchi yoyote. Ukweli ni kuwa yeye ni mtu muhimu sana katika maamuzi muhimu ya uchumi wa nchi na impact yake katika maisha ya watu.
Ni mtu atakayefanya kazi na kila wizara zikiwemo taasisi kama Benki Kuu, mashirika ya kimataifa n.k.

Marekani walipotaka kumbadilisha Treasurer masoko ya mitaji yalipoteza thamani.

Maana yake ni kuwa wawekezaji na wenye mitaji hawakuwa na uhakika na mtu ajaye.

Ilipotangazwa mmoja wa watu anafikiriwa masoko yakapoteza point zaidi kwasababu walimjua mtu huyo na uwezo wake. Alipotajwa aliyepo masoko yakapata points

Wakati wa serikali ya Mwinyi, Paris club ilikataa ku negotiate hadi mzee CD awepo.

Ugomvi wa Nyerere na Mtei akiwa waziri wa fedha hadi leo tunauongelea kwasababu ulikuwa na impact kubwa sana katika sera za uchumi wa nchi kwa mtizamo wowote.

Lakini muhimu ni kuwa huyu waziri ndiye atakayekaa na wenzake ambao uwezo wao ni mkubwa, je nchi itawakilishwa kwa upana na masilahi yake au ndio kubaki msikilizaji.

Wakati tunaelekea EAC na SADC masuala ya uchumi yanahitaji umakini na mtu mwenye sifa na uzoefu. Siamini kama Saada yupo katika nafasi hiyo hata kidogo.

Na mwisho hebu tujiulize kama Rais alilazimika kumchagua profesa awe gavana wa benki, hivi hakuna mantiki kwa watu watakaofanya naye kazi kuwa katika viwango karibia au kufanana kwa sifa na uzoefu?

Watetezi wa Saada Mkuya hawaelezi sifa na uzoefu wake, wanachoeleza ni kuhusu jinsia yake na hata baadhi ya majuha kuhusisha na imani yake.

Hatuwezi kupiga hatua kwa teuzi za namna hii, lazima kuwe na umakini.

wizara kama hii nyeti siyo mahali pa kufanyia majaribio! So akishaboronga ndo tuanze kuhoji!! Hii ni sawa na mtu amezama kwenye baharini alafu unamleta muokoaji asiyejua kuogelea! Hiv ni nini kitatokea hapo? Jibu unalo

Hivi wakati Kawambwa anateuliwa kwa mara ya kwanza kabisi mbona watu kama nyie hamkulalamika. Baada ya kuboronga ndiyo mnakuja kulalamika. Mulijua kuwa kwa sababu ni pHds holder basi kazi itakwenda! Ndiyo maana nasema tuwe na subira ili tupate muda wa kumujudge huyu dada yetu. Mkuu umesema ushikaji sijui una maana gani hapo? Naomba unijulishe.
Hapo kwenye redi mbona unakwepa?
 
Kumbuka huyu ni waziri wa fedha! Maamuzi yake yanakugusa moja kwa moja kuliko ya wizara ya akina mama na watoto.

Eti tusubiri! Sumu haijaribiwi kwa kuonja!

Wakati wenzetu wanchanja mbuga sisi tutakuwa tunaangalia wapi tumejikwaa.
Hii ni nafasi nyeti sana katika uchumi wa nchi na mustakabali wa taifa.
 
Now you're talking JokaKuu,
Now tell me; kwanini utoe reference ya CV mzuri za mawaziri wa fedha wa nje badala ya kutoa reference CV mzuri ya mawaziri wa ndani ili tujiridhishe kwamba wasomi hapa nyumbani? Don't you think there's something wrong hapo? Kwa sababu, ikiwa una-defend hoja yako kwa kuonesha mawaziri wasomi wa nje badala ya reference kuwa mawaziri wasomi wa ndani basi simple conclusion hapo ni kwamba kumbe tatizo la mawaziri/watendaji wetu si elimu bali something else. Look Wizara ya Elimu, Waziri ni Doctor(PhD), Katibu Mkuu Professor na baadhi ya Wakurugenzi nao ni madaktari/maprofesa. Nenda pale Wizara ya Kilimo uone Madaktari walivyojazana...what do they do? Tuna wazomi kila idara na taasisi lakini performance ni poor as compared to private sector ambako majority ni first degree holders....WHY? Does it require university degree or a piece of research to know kwamba tatizo kubwa la nchi hii ni uwajibikaji na wala si issue kama za huyu mama?

Let me conclude by telling you this. Hao uliowatolewa mfano kama wana mafanikio basi mafanikio hayo yanachangiwa na mambo makubwa mawili; UWAJIBIKAJI NA UADILIFU, hayo ndiyo mambo makubwa ambayo tumeyakosa nchi hii.

Kama ni "uwajibikaji na uadilifu", ungeanzia kwa Kikwete aliyemteua Waziri wa Fedha amabye ni clearly mediocre in every professional respect. It begs the question kama Kikwete nia yake ni Muislamu Mwanamke kushika nafasi nyeti kama hii, is this the best he could come up with? Matter of fact uteuzi huu unaweza ku-reinforce bigoted notions dhidi ya Waislamu kuwa ni mediocre kwenye elimu. Mtu una diploma ya OUT na Stamford University of Malaysia halafu unadai umesoma unheard of university in Scotland? Kweli? Hata kama alikuwa anamaanisha Heriot-Watt university iliyo Edinburgh, Scotland, its still a mediocre institution iliyo na nafasi ya 349 kati ya 400 in the the Times World University rankings. Kama ni "overachiever", labda ni kwa kiwango cha hukohuko kwao Zanzibar lakini kwa Tanzania bara, hafai!!!
 
Hivi TZ ni nchi mawaziri bado wanasoma unategemea ufanisi upi ktk kazi??? ipo siku hata rais atakuwa anasoma masters au PHD, shame on the minister and very shameful to the appointing authority
 
Ningalikuwa raisi ningempatia/kumuweka lipumba walau kwenye taasisi moja ya fedha ni jambo la kushangaza sana kuona kwamba m.nchemba ni naibu waziri wa fedha na lipumba ni mpinzani tu wa kawaida.
 
Hivi TZ ni nchi mawaziri bado wanasoma unategemea ufanisi upi ktk kazi??? ipo siku hata rais atakuwa anasoma masters au PHD, shame on the minister and very shameful to the appointing authority

mkuu usizungukezunguke,mtu wa kulaumiwa ni kikwete shameful to him y ndo mwenye mamlaka ya mwisho ya kuteua.
 
Usitudanganye! Mabadiliko aliyofanya Mwinyi alianzia Zanzibar ambako aliibadilisha kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu huku akiiacha Tanzania Bara nyuma kabisa kiuchumi.
Ni kujidanganya kuwa mabadiliko ya uchumi yaliletwa na mshauri (Lipumba). Hivyo angekuwa na uwezo huo angeachwa kwenye mataa hadi kuokotwa na Seif?

Nadhani ingekuwa vema ungekanusha kwamba Lipumba hakuwa mshauri wa mambo ya uchumi kipindi cha uongozi wa Mwinyi, vinginevyo unajenga utetezi usiojitosheleza.
 
Hebu tupe data na maelezo ya kutosha, kwa kipindi cha miezi 18 Mwinyi alibadilishaje uchumi na kuiacha Tanzania bara mbaaali sana. Hatuhitaji hadithi tunataka vielelezo.
 
NO and big NO Minister huyu anaexperience ya miaka mingapi?!! We don't test our country! Halafu worse still deputy ministers Mwigulu Nchemba na Kighoma Malima!! no big no!! kama kuna agenda nyingine tuambizane!! Hivi huu mwaka mmoja ndio wa kumpa uzoefu huyu!! siyo kweli!! Kuna agenda nyingine!!!!!!

Kikwete ni kioja na mawaziri vioja. Huyu ni sawa na Zakia Megji siku zile. Eti naye alipewa wizara ya fedha kujaribiwa!

Ukiwa na Rais aliyebahatisha elimu ni tatizo. Haoni umuhimu wa shule nzuri.
 
Hivi wakati Kawambwa anateuliwa kwa mara ya kwanza kabisi mbona watu kama nyie hamkulalamika. Baada ya kuboronga ndiyo mnakuja kulalamika. Mulijua kuwa kwa sababu ni pHds holder basi kazi itakwenda! Ndiyo maana nasema tuwe na subira ili tupate muda wa kumujudge huyu dada yetu. Mkuu umesema ushikaji sijui una maana gani hapo? Naomba unijulishe.
Hapo kwenye redi mbona unakwepa?

pHds ni kitu gani?? Ni wale wale. Jamani JF, mod watu kama hawa waondolewe Jf. Hawa ndo wanaishia kutukana au kuleta maudhi na kutusababishia ban. Mtu mwenye uelewa mdogo kama huu lazima atetee uchafu wa serikali na utakuwa ni mjumbe au mwenyekiti wa chama tawala.

huko wako weeeengi! Hawajui kusoma wala kuandika ndani ya chama kinachoitwa kikongwe.
 
Watanzania wenzangu hebu aamukeni mujiuliza huyu mama pamoja na vyeti vyake vya kuunga unga aliwezaje kufika hapo alipo katika mazingira ya upandaji vyeo katika idara ya kodi Zanzibar mwaka 2003 inaonyesha aliajiriwa kama Officer ingawa haijaonyesha officer wa kufanya nini, 2006 yaani miaka mitatu baada ya kuajiriwa akawa Administrative Officer na baada ya miaka mitano yaani 2011 akawa Commissioner of Finance yaani kutoka Administrative Officer kapanda cheo mpaka Commissioner of Finance na mwaka mmoja tuu baada ya kuchukua cheo cha Commissioner of Finance kilaza mwenzake rais dhaifu anayependa kuchagua wadhaifu zaidi yake akampa cheo cha Naibu Waziri wa Fedha, MAKUBWA JAMANI baada ya kama mwaka mmoja na ushee hivi DHAIFU TENA akamuona udhaifu wake unafaa sana kuendeleza nchi kuwa dhaifu akampa FULL MINISTER OF FINANCE..........DUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU :angry:
 
pHds ni kitu gani?? Ni wale wale. Jamani JF, mod watu kama hawa waondolewe Jf. Hawa ndo wanaishia kutukana au kuleta maudhi na kutusababishia ban. Mtu mwenye uelewa mdogo kama huu lazima atetee uchafu wa serikali na utakuwa ni mjumbe au mwenyekiti wa chama tawala.

huko wako weeeengi! Hawajui kusoma wala kuandika ndani ya chama kinachoitwa kikongwe.

Kama uelewi kawaulize wanunua vyeti wenzako! Ninakuelewa kwani hujui unachokizungumza! Haya tuone kama huyo mama atashindwa! Nyie watu mna matatizo gani? Kumbuka mimi siyo mwana CCM au mwana CDM etc ila ninajaribu kuangalia hali halisi. Ninarudia lazima tuwe fair katika kuwaongelea watu. Wengine wana chuki binafsi, eti mini nina vyeti zaidi ya huyu mama kwa nini nisingepewa mimi!!!!! Ninarudia tumpe muda afanye kazi yake.
 
Nadhani ingekuwa vema ungekanusha kwamba Lipumba hakuwa mshauri wa mambo ya uchumi kipindi cha uongozi wa Mwinyi, vinginevyo unajenga utetezi usiojitosheleza.

Ninachosema ni kuwa aliyoyafanya Mwinyi kwa Tanzania Bara alikwishayafanya kabla alipokuwa Zanzibar, sasa utanielezaje kuwa kuna mtu mwengine ambaye yy ndie anaestahili sifa!
 
Hebu tupe data na maelezo ya kutosha, kwa kipindi cha miezi 18 Mwinyi alibadilishaje uchumi na kuiacha Tanzania bara mbaaali sana. Hatuhitaji hadithi tunataka vielelezo.

Kwa kawaida ripoti husomwa bungeni sisi humu hujadili kwa maelezo machache na iwapo hukujaaliwa kuwepo wakati huo basi si vizuri kungangana na kubisha bali kudadisi taratibu!
 
Back
Top Bottom