MchunguZI
Platinum Member
- Jun 14, 2008
- 4,047
- 2,239
Kama uelewi kawaulize wanunua vyeti wenzako! Ninakuelewa kwani hujui unachokizungumza! Haya tuone kama huyo mama atashindwa! Nyie watu mna matatizo gani? Kumbuka mimi siyo mwana CCM au mwana CDM etc ila ninajaribu kuangalia hali halisi. Ninarudia lazima tuwe fair katika kuwaongelea watu. Wengine wana chuki binafsi, eti mini nina vyeti zaidi ya huyu mama kwa nini nisingepewa mimi!!!!! Ninarudia tumpe muda afanye kazi yake.
Walioelimika siyo kwamba walizaliwa tofauti na wewe, wanapenda kujifunza kila wakati. Ulipoulizwa pHds ni nini ungejiuliza kwa nini unaulizwa na hapo ndo ungetafuta maana ya hayo maneno. Sasa wewe unakomaa na makosa yako kwamba uko sahihi.
Umeshaulizwa kwa nini apewe muda wa kujaribiwa? Yeye ni nani? Rais kwa akili yake ameshindwa kuweka mtu asiyehitaji majaribio? Kuna watu wameshaonyesha mafanikio ktk utendaji wao na hao ndo wanatakiwa wawekwe nafasi za juu ili watusaidie. Hatuhitaji watu wanaojaribiwa.
Zakia Megji alifika wapi? Hapa siyo udini mbona Mustafa Mukulo hakulalamikiwa mpaka alipovuruga kwa tamaa yake mwenyewe.
Unatetea mtu mwenye diploma za Malaysia! Eti unalinganisha na pHds. Sasa naomba kuanzia leo andika Ph.D. Duniani hatuna kitu kiitwacho pHds. Au ulitaka kusema pH? Elimu haikutoshi kubishana na watu hapa JF.