Waziri wa Elimu kama kazi imemshinda ajiuzulu, walimu shule binafsi wanalipwa mishahara finyu na hasemi chochote

Kuna ulazima wa wizara hii kujitafakari pamoja na taasisi zake. Binafsi namuomba mheshimiwa Rais asuke upya hii wizara. Sioni hata ile miaka mitano iliyopita ni kipi cha kijivunia. Naandika nikiwa na akili timamu na pia ni msomi mubobezi wa shahada ya juu juu zaidi. Tuweke siasa pembeni, hii wizara namuomba mheshimiwa Rais aitizame upya kabisa kabisa kabisa. Naamini wadau wa elimu wakiulizwa wana mengi ya kuzungumza.
 
Ndalichako mnamwonea bure. Hana ubavu wa kuwapangia mishahara shule binafsi.

Kashindwa kutoa ajira huko serikalini Hawa watu binafsi wanamsaidia kutoa ajira.

Kwa kuwa walimu waanohitaji kazi ni wengi, kwann nimlipe mtu mshahara mkubwa wakati Kuna mwingine anatamani afundishe kwa laki moja?

Huyu mleta mada kwani kalazimishwa?

Mm nawalipa elfu kumi kwa wiki na wamejaa kibao. Siwaruhusu hata kula, achilia mbali kwenda chooni.
Usiwe na mawazo ya kijinga namna hii. Kama halikuathiri wewe linamuathiri nduguyo. Ni muhimu sheria ya ajira ifuatwe, kama wamiliki hawawezi , basi wasianzishe hizo shule. Sio kuwageuza watanzania wenzao watumwa.
 
Sio kuwageuza watanzania wenzao watumwa.
Utumwa huu unaendelezwa na sera mbovu za serikali ya ccm. Kama yenyewe imewatelekeza unataka mm watu binafsi wafanyeje? Wewe chukia, foka ama tukana lkn huu ndiyo ukweli.
 
Hata hajui unyanyasaji unaofanya na waajiri shule binafsi na she doesn't bother kujua yeye kutoa matamko tu yasiyotekelezwa.

Walimu wanalipwa laki moja au mbili huko private na wanafanyishwa kazi mchana na usiku na hawaruhusiwi kabisa kuoa au kuolewa. Ukioa tu umejifukuzisha kazi.

Simu huruhusiwi kutumia na ukienda chooni unahesabiwa dakika.

Yeye bado yuko ofisini tu haoni chochote na haraki kujua private kuna nini.

Prof Ndalichako jiuzulu wengine wanaojua wakureprace elimu inaharibika dremendously.

Shule hazifundishwi tena na proffesional twachers bali wahsibu na engineers waliokosa kazi
Kama ipo ivyo acha iyo kazi mkuu lakini sio kuja na agenda ya kumuondoa waziri wa elimu ofisini.
 
Ungeweka na mfano wa shule ingekuwa vema.

Hivi vyama vya wafanyakazi ndio vyakulaumiwa, vimekaa kimya wakati wanachama wake wananyanyasika.

Waziri unamlaumu bure.
Walimu wengi wanaofanya kazi shule za private hukataa kujiunga na vyama vya wafanya kazi kwaio.if am not mistaken watakua sio member wa chama Cha walimu
 
Kuna shule zimefunga mfumo wa CCVT! Ukionekana unaongea na simu au unachati muda wa kazi unatimuliwa! Hata kama hukuwa kwenye kipindi muda huo!! Wakati wa likizo kuna baadhi ya shule hazilipi mshahara!! Huko private kuna utumwa!! Mshahara mdogo lakini pia huupati kwa wakati! na unaupata kwa mafungu mafungu!! Japo ni kweli pia kuwa kuna shule chachè zinazolipa vizuri sana kuliko serikali!!!
Kwenye issue za simu me nafikiri ukipewa ajira kila sehemu Ina utaratibu wake Kama hawataki uchat inabidi ukubali .tujikite kwenye swala la maslahi tu
 
Kwanza pole sana. Ila najiuliza tu, kwa uandishi huu na maneno haya ambayo labda ni kiingereza’ “Reprace, dremendously, twachers”, wewe unadhani mtu atakulipa Sh. ngapi ili ufundishe watoto wa watu.

Hayo mengine ya kubaniwa kwenda chooni yanaeleweka.
Shule nyingi za private zinamlipa mwalimu kulingana na uwezo wake kwenye delivery ya materials kwa wanafunzi ukiwa jembe hawawezi kukulipa kizembe.unafundisha SoMo lako linafanya vizuri kwenye mitihani ya Taifa wakulipe Tsh150,000/= haiwezekani Ila ukiwa mwalimu mzembe wanakulipa kizembe.
 
Ok. Look! The issue is the assaults of the so called owners of equities in favour of their liquid investments to dignify themselves and impose unaaceptable duties which are incapacitated on employees. Actually i want you to use youur audible senses to curb this hollible situation which dwimdles and erodes our moralities.

The situation is alarming which therefore needs people like u to entervine by letting the minister concerned to inhibit this impeddment.

It starts with you!!
Corrections:
1. Entervene[×] Intervene[√]
2. Dwimdle[×] Dwindle [√]

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Hata hajui unyanyasaji unaofanya na waajiri shule binafsi na she doesn't bother kujua yeye kutoa matamko tu yasiyotekelezwa.

Walimu wanalipwa laki moja au mbili huko private na wanafanyishwa kazi mchana na usiku na hawaruhusiwi kabisa kuoa au kuolewa. Ukioa tu umejifukuzisha kazi.

Simu huruhusiwi kutumia na ukienda chooni unahesabiwa dakika.

Yeye bado yuko ofisini tu haoni chochote na haraki kujua private kuna nini.

Prof Ndalichako jiuzulu wengine wanaojua wakureprace elimu inaharibika dremendously.

Shule hazifundishwi tena na proffesional twachers bali wahsibu na engineers waliokosa kazi
Ni kweli manyanyaso ni mengi mno.
Ila kuhusu kuoa au kuolewa mmekubali wenyewe.Oeni watoto wao au muwaoe wao.
 
Back
Top Bottom