Waziri wa CUF aiporomoshea CHADEMA matusi!

Status
Not open for further replies.
Ukipitia hiyo makala na hasa muda na akili aliyotumia huyu mwandishi kuhalalisha ushirikiano wa CUF na CCM kwnye serikali ya umoja wa kitaifa ya Zanzinba huwezi kushindwa kuona jinsi hili suala la UCCM B linavyowauma na kuwakosesha raha CUF. Au hii inatokana na ile dhana ya "ukweli unauma".
 
Lugha na mifano alootumia JDH ni ile utakayoisikia kwa makuli ukitembelea bandarini au jela kwa mahabusu na wafungwa. Commando Salmini aliwajua hawa.

Ni kweli mkuu huyu jamaa siyo type ya kuwa kiongozi anafaa kuwa KULI
 
Ukipitia hiyo makala na hasa muda na akili aliyotumia huyu mwandishi kuhalalisha ushirikiano wa CUF na CCM kwnye serikali ya umoja wa kitaifa ya Zanzinba huwezi kushindwa kuona jinsi hili suala la UCCM B linavyowauma na kuwakosesha raha CUF. Au hii inatokana na ile dhana ya "ukweli unauma".

Mkuu ukweli ni ukweli tu hata ukiusemea shimoni utatokeza peupe.
 
...mmm!...kama huyu(duni) ndo waziri wa afya wa Wazanzibar,basi afya za wazanzibar ziko hatarin...
 
Madhumuni ya Chama cha wananchi CUF kama yalivyo katika Katiba yake kifungu cha, 6 (8) Katiba ya CUF uk.13) ni “kushika hatamu za dola ili dola au serikali itekeleze vizuri itikadi na sera za chama na ustawi wa taifa letu”.

Ama kweli dhamira yenu imetimia kwa kushika hilo dola kupitia ndoa takatifu na CCM......VERY DUNI INDEED
 
Molemo,
Nimepitia hiyo makala Juma Duni, kawaeleza ukweli Chadema wala hakuna hata tusi moja, ngumu kumeza hiyo ndio faida ya vita vyenu mwisho wa siku wote mtaolewa na CCM.

Ridhwani(Ritz)@work
 
Last edited by a moderator:
Hamadi Rashid Mohamed aliwezaje kuwavumilia watu kama hawa muda wote huu? Mtu ambaye hawezi kutofautisha uteuzi wa mtu na chama. Anashindwa kuelewa kilichounda ile inayoitwa serikali ya umoja wa kitaifa kule Zanzibar ni CUF na CCM na sio Maalim Seif na Dr Shein!
 
Aiseee babaangu caf ni ccm b halina ubishi,,aiwezekani mume na mke wakiwa chumbani wepeane mahaba lakini wakitoka nje ya nyumba wapigane mapanga huo ni unafki na uzandiki caf ni ccm b
 
Hiki chama cha kafu ndo maana kinajifia maana haiwezekani waziri ukawa na hoja za kitoto kama hizi. Siku hizi mahakama na mwanasheria ni mali ya CCM. Mishahara wanayolipwa, magari, na marupurupu mengineyo inatokana na kodi za CCM?. Huyu waziri au kibaka fulani tu!!!!
 
Hamadi Rashid Mohamed aliwezaje kuwavumilia watu kama hawa muda wote huu? Mtu ambaye hawezi kutofautisha uteuzi wa mtu na chama. Anashindwa kuelewa kilichounda ile inayoitwa serikali ya umoja wa kitaifa kule Zanzibar ni CUF na CCM na sio Maalim Seif na Dr Shein!

Mkuu wangu bado nakubaliana na hoja yako kwamba huyu bwana alipata mtikisiko wa ubongo alipokuwa jela.
 
Yaonyesha waziri wa afya, anampenda sana mumewe ccm. Wenye wivu wajinyonge wenyewe.
 
Hiki chama cha kafu ndo maana kinajifia maana haiwezekani waziri ukawa na hoja za kitoto kama hizi. Siku hizi mahakama na mwanasheria ni mali ya CCM. Mishahara wanayolipwa, magari, na marupurupu mengineyo inatokana na kodi za CCM?. Huyu waziri au kibaka fulani tu!!!!

Mkuu wangu umemaliza kila kitu.
 
Huyo Duni anaongelea Tanzania ipi? Huo umoja anaimba ni upi wakati chama chake kinamuita Makamu wa pili wa Rais (Balozi Seif) Balozi mkaazi wa Tanganyika Zanzibar? Na sijui ni unafiki au ni kujisahau, lakini kwenye red kuna tatizo. Duni amesahau amuaji yaliyotokea Zanzibar? Leo hii anapata wapi moral authority ya kuuliza harakati za CHADEMA?

Na kama kawaida, Mwl Nyerere hakuachwa anatupiwa lawama as if muungano wa 1964 uliasisiwa na mtu mmoja!

Inakuwaje waziri mzima anakaa chini na kuandika mambo ya kipuuzi kwa kiwango hicho?
[/LEFT]
[/CENTER]

Mkuu FJM,
I am shocked. Na huyu ni Waziri, jee itakuwaje kwa mvuta bangi wa mtaani akitoa makala yake? Jamii ya kina Lusinde inazidi kuwa pana. Na mbaya zaidi ni pale wanapokuwa ni viongozi wetu. So sad.
 
Mkuu wangu ni Aibu kubwa hii.Kaidhalilisha sana serikali ya SMZ.
 
Ukisoma haya matusi huwezi kuamini kama yametolewa na mtu mwenye akili timamu.

tena bado anajinasibu kwa mbwembwe kuwa ni waziri wa afya wa SUKZ, walaka wenyewe umeandaliwa kwa jazbaaa.. hili ndio ombwe la uongozi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom