Waziri Sophia Simba aumbuka Channel 10!

Waziri Sophia Simba aumbuka Channel 10!

Mungu wangu JK hawezi hata kutofautisha kati ya $ 300,000 na two hundred thousand as it appears kwenye cheque
Re: Waziri Sohia Simba aumbuka Channel 10!

quote_icon.png
Originally Posted by Yo Yo
carelessness.jpg




Mungu wangu JK hawezi hata kutofautisha kati ya $ 300,000 na two hundred thousand as it appears kwenye cheque​



Huyu mheshimiwa vipi????????????hawezi kusoma au vipi, yeye anaweka tuu bila kusoma tofauti ya maandishi two hundred thousand na USD $300,000 haijui??????? Sasa ni mangapi amefanya NA KUSAINI bila kuchunguza????????? Tanzania isisile!!!
 
Kama kweli CCM wamefanya hivi basi CHADEMA inachukua nchi 2015. Kwa watu wanaojua political strategies hii ni distraction tosha ya kuwafanya CCM waache kutekeleza mambo yatakayowafanya 2015 wapige kampeni kifua mbele. Mtu ukiwa kwenye madaraka hutakiwi kujibu hoja kwa propaganda bali kwa kufanya mambo ya maendeleo, maana ukisema hali ya maisha si ngumu wakati wapiga kura wanaumia na maisha unaonekana upo out of touch. Na kitendo chochote cha kuiongelea CHADEMA ni kuipa umaarufu. Mtu kwenda au kutokwenda kwenye maandamano si kazi ya serikali hiyo ni kazi mwandamanaji mwenyewe kulingana na nafasi yake, Kusema maandamano haya ni kama ya Misri au Libya ni kuhamasisha watu waone kuwa huenda kweli kuwa kuna ukombozi unaweza patikana kwa kuandamana na hivyo kuhamasisha watu wengi zaidi.

CCM walitakiwa kukaa kimya kabisa na wasiongelee CHADEMA hata kidogo, wao wahamasishe maendeleo kwa kuanzisha miradi isiyo ya kifisadi ya kusaidia maeneo mbali mbali na siyo kuonesha hamaki ya kinachoanywa na CHADEMA. Hii inaonesha wazi kwa wananchi kuwa CCM na serikali yake wanaangalia masilahi yao zaidi ya yale ya nchi. Waache demokrasia ifanye kazi, kama wanaogopa watangaze kufuta vyama vingi na kuendesha nchi kidikteta

oooh maskini huyo ss anaongea kama montress wa drs la pili atadharaulika hata na familia yake mackini namuonea huruma
 
SS Mwehu!! Lakini sisiemu inamuona kama vile hakuna jina lipaswalo kuingizwa kwenye baraza la mawaziri isipokuwea jina la SS.
 
Ni kwa sababu wanajua watanzania au wasikilizaji wao ni mambumbumbu. Simple. Kama sio mazuzu mpaka leo umeme ni mgao kwani tumefanya nn? Matokeo fm 4 mabaya hatujafanya chochote, richmond, dowans nani tumemlazimisha ajiuzulu? Fanya ujinga huu nchi zingine uone hata Kenya tu moto. Rais anasema naenda Ulaya kuwatafutia msaada kama chandarua tunapiga makofi.
 
Hivi ccm haina msemaji mbona kila mtu akipewa nafasi anaropoka tu, kweli wemechanganyikiwa!!!

Hii ndio tafsiri mpya ya uwajibikaji wa pomoja iliyotolewa na awamu ya nne ya uongozi wa tz. So they are just practicing it.
 
Ni kwa sababu wanajua watanzania au wasikilizaji wao ni mambumbumbu. Simple. Kama sio mazuzu mpaka leo umeme ni mgao kwani tumefanya nn? Matokeo fm 4 mabaya hatujafanya chochote, richmond, dowans nani tumemlazimisha ajiuzulu? Fanya ujinga huu nchi zingine uone hata Kenya tu moto. Rais anasema naenda Ulaya kuwatafutia msaada kama chandarua tunapiga makofi.

Dawa yao imeshachemka bado kunyweshwa tu usijali sisi sio mambumbumbu
 
Waziri wa Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto Mh.Sophia Simba amejikuta kwny wakati mgumu pale alipowalaumu vikali CHADEMA kwa kuendesha maandamano kanda ya ziwa na kusema kua huko ni kuiga Misri na Libya!! Mama huyo badala ya kuzungumzia kilichompeleka studio kuzungumzia Siku ya wanawake duniani yeye akaanza na kusema wanawake wasiende kwny maandamano ya CDM maana wao wana kazi nyingi za kufanya kuliko wanaume ambao hawana kazi ndio maana wanaenda kwny maandamano hayo!!! Ulipofika muda wa watazamaji kuchangia ndipo huyo mama alipoanza kushambuliwa na kila mchangiaji kwamba afute kauli zake za kwamba "wanaume hawana kazi ndio maana wengi wanaenda kwny maandamano hayo" na "kufananisha maandamano ya CHADEMA na yale ya nchini Misri au Libya" Ninachojiuliza hapa wana JF wenzangu hivi hawa viongozi wetu kwann wanakua mambumbumbu kiasi hiki na ufinyu wa uelewa? Kuhusisha maandamano ya CDM na yale ya Misri au Libya huu si ndio uchochezi wenyewe!!! Halafu napenda kuuliza wana JF wenzangu nini maana ya JINSIA?! Nawakilishaa.

manungaembe ndivyo yalivyo.

anataka bwana huyo mama.

mpeni namba yangu: +3588976578
 
Mkuu nalkupata machungu yako lkn kwa case ya huyu mama Sophia wala usipoteze muda kumjadili maana ni muda mrefu tunajua ni MBUMBUMBU na mwenye kosa hapa ni rais wake maana ndo alimweka hapo kwa sababu wote ni wapenzi wa taarab, usipoteze muda mzee
<br />
<br />
Hamuitendei haki fani ya muziki wa taarabu kuulinganisha na huyu mama!, tukisema huyu mama ni bomu basi tunamaanisha la atomic au nyuklia! Mama hafai
 
huyu mama ni chizi kamwe sipotezi muda wangu kumsikiliza!
 
Huyu mama ana matatizo siku nyingi sana na amekuwa mzigo sana kwa serikali ya Jk na pia anakuwa na kizuzungiu siku nyingi sana katika maisha yake
 
Dah!
Uelewa tu mdogo wa mambo.
Nafikiri wanaingia kwenye siasa hawajajipanga.
Wengine sijui ndio kufata mkumbo, sijui ndio channel ya kutokea.
Dah!
 
Back
Top Bottom