Waziri Sophia Simba aumbuka Channel 10! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri Sophia Simba aumbuka Channel 10!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Glad, Mar 3, 2011.

 1. G

  Glad Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waziri wa Maendeleo ya jamii, Jinsia na Watoto Mh.Sophia Simba amejikuta kwny wakati mgumu pale alipowalaumu vikali CHADEMA kwa kuendesha maandamano kanda ya ziwa na kusema kua huko ni kuiga Misri na Libya!! Mama huyo badala ya kuzungumzia kilichompeleka studio kuzungumzia Siku ya wanawake duniani yeye akaanza na kusema wanawake wasiende kwny maandamano ya CDM maana wao wana kazi nyingi za kufanya kuliko wanaume ambao hawana kazi ndio maana wanaenda kwny maandamano hayo!!! Ulipofika muda wa watazamaji kuchangia ndipo huyo mama alipoanza kushambuliwa na kila mchangiaji kwamba afute kauli zake za kwamba "wanaume hawana kazi ndio maana wengi wanaenda kwny maandamano hayo" na "kufananisha maandamano ya CHADEMA na yale ya nchini Misri au Libya" Ninachojiuliza hapa wana JF wenzangu hivi hawa viongozi wetu kwann wanakua mambumbumbu kiasi hiki na ufinyu wa uelewa? Kuhusisha maandamano ya CDM na yale ya Misri au Libya huu si ndio uchochezi wenyewe!!! Halafu napenda kuuliza wana JF wenzangu nini maana ya JINSIA?! Nawakilishaa.
   
 2. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Yani moja kati ya maamuma waliopo sisiem huyo mama ni namba moja akifuatiwa na makamba,tambwe hiza,jk,tyson endelezaaaaa................
   
 3. i

  ibange JF-Expert Member

  #3
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nadhani wametuma serikali nzima kuipiga vita CDM maana hata jana nilimwona Wassira nae anajiumauma TBC kuhusu CDM. Ukweli wanapigana na ukuta hawataweza.
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  Mar 3, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  sishangai Sophia kusema hili kwani alishawai kuwataka wanawake wawanyime unyumba waume zao kama watawaunga mkono wapinzani so sofia amaamin kwa nguvu ya ngono anaweza kumwendesha na kupata chochote kutoka kwa mwanaume.
  Akili yake inawaza ngono tu na labda JK kampa hiyo WIZARA kama offa au aweke draft ya ngono kuzima harakati za ukombozi.
  Ni wanawake wajinga tu kama yeye watakaomuelewa.

  My take:WANAWAKE TUNATESEKA ZAIDI YA WANAUME NA HUU UGUMU WA MAISHA sasa sexy slave sofia anamaanisha nini?
   
 5. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #5
  Mar 3, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mama wa taarabu huwa simsikilizi, ndiyo njia pekee niliyoichagua ya kuepukana na BP.
   
 6. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #6
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  du kumbe Sophia Simba bado ni waziri?
   
 7. c

  carefree JF-Expert Member

  #7
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 19, 2010
  Messages: 265
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Huyu msameheni si mnakumbuka mzee walecela aliwahi kumshauri apitie mirembe kucheki afya ya ubongo akagoma cha msingi ni wanawake tuandamane tumshinikize akapimwe afya ya ubongo
   
 8. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #8
  Mar 3, 2011
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 2,897
  Trophy Points: 280
  Kuwa mbumbumbu ndiyo sifa ya kupata uongozi ktk serikali ya sasa!
   
 9. d

  dotto JF-Expert Member

  #9
  Mar 3, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ni kichangia hoja hii lazima nitakamatwa so.... am cryiiiing.
   
 10. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #10
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  SOPHIA Simba ni tahila muache alivyo. Alisema kama mme wako yupo CHADEMA mnyime unyumba sasa kila siku ananuka mdomo mbele ya watu.

  Tutakupeleka kwa Mganga akutibu kama unaumwa chini.
   
 11. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #11
  Mar 3, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Hivi ccm haina msemaji mbona kila mtu akipewa nafasi anaropoka tu, kweli wemechanganyikiwa!!!
   
 12. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #12
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,414
  Likes Received: 1,974
  Trophy Points: 280
  mie alivyoanza kuongea kwenye baragumu nikahamisha siwezi kumsikiliza huyu mama hata kwa dawa mawazo yake ni ya ki ngono ngono
   
 13. k

  kayumba JF-Expert Member

  #13
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nashangaa wanaomshangaa SS, kwani mlidhani amebadilika?
   
 14. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #14
  Mar 3, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,137
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Mkuu hata mimi nimemuone asubuhi, huyu ni wa kumsamehe. Kuhusu hapo kwenye red ngoja nikupige shule kidogo.

  JINSI(SEX) - Ni hali ya kuwa Mwanaume(ME) au Mwanamke(KE) - Biological difference

  JINSIA (GENDER) - Ni mahusiano kati ya ME na KE hii sio biological, mahusiano ni man made . wanaweza kuyashep wanavyotaka

  Asante ndugu, nadhani umeelewa, Sasa tueleze ulichotaka kusema baada ya kukupa hiyo maana.
   
 15. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #15
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Sitaki kumlaumu sana huyu mama nina wasiwasi sana na uwezo wake kichwani wakuwalaumu ni wanao mpa hizo fursa.
  Haya ni baadhi ya mazao yanayotoka kichwani mwake.
  1.Bungeni alilopoka hadharani kwamba haoni mwanaume kama lowasa.
  2.Bungeni alishindwa kutoa kirefu cha SADC
   
 16. NAHUJA

  NAHUJA JF-Expert Member

  #16
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 15,076
  Likes Received: 15,730
  Trophy Points: 280
  Halafu napenda kuuliza wana JF wenzangu nini maana ya JINSIA?! Nawakilishaa.[/QUOTE]

  INGIE KWENYE GOOGLE TAIPI NENO JINSIA BASI UTAPATA MAANA YAKE
   
 17. The Analyst

  The Analyst JF-Expert Member

  #17
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 464
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Unajua kwa nini mawaziri wengi wa JK ni vituko? Hawateuliwi kwa uwezo wao wa kazi isipokuwa wanajipendekeza vipi kwa RA, wanachangia vipi fenda ktk kampeni za JK, ni maswahiba kiasi gani na wakuu wa Mtandao nk. Unakumbuka lile baraza la mawaziri sitini? Wizara ya Usalama wa Raia v. Mambo ya ndani? Basi inasemekana JK alipofika madarakani alidhani RA na EL watamwachia ajitawale akiwapa nafasi lakini haikuwa hivyo. Kwanza RA akasema hataki uwaziri ila akaleta majina ya watu wake kama kumi hivi, Mzee wa Monduli kama umjuavyo akaleta wake kama 33 hivi, bila kusahau wazee wa siasa kama kina King Gunge wa Ngombare asingeweza kuwatupa. Yeye mwenyewe JK akawa na watu wake. Pia usisahau mtazamo wa CC emu kuhusu uwakilishi kimikoa katika Baraza la Mawaziri. Hivyo kufikia mwisho unaajikuta una watu kama mia hivi? Huwezi kuamini kirahisi lakini hao sitini (60) walikuwa ndo kiwango cha chini zaidi kilichowezekana kwa wakati huo maana bado kuna wapambe wengi ambao bado hawakupata nafasi

  Kwa hiyo usishangae kumkuta Mama yangu Simba siku zote kuwa mropokaji. Inawezekana yupo hapo kwa sababu alienda kwa RA kuomba uwaziri na RA akampa kimemo ampelekee JK "Apewe nafasi anayopenda. Ni mtu wetu wa karibu!" Kisha JK akainua simu kuripoti kwa bosi wake RA "Tayari Mkuu"

  Hujaipata hiyo? Inasemekana tangu wanamtandao waanze kutafuta madaraka (miaka kama 18 hivi imepita) hakuna siku waliwahi kujadili watatatua vipi tatizo lolote kubwa (umeme, maji, barabara, kilimo duni nk.) hapa nchini. Mazungumzo yao mengi ilikuwa wapi watapata fedha na vipi watamwondoa nani katika mlinganyo nk. Inasemekana hata zile kashfa za Sumayi kuwa fisadi na pesa nyingi (Inawezekana ni kweli. Sipingani na hilo maana CCM sijui utamwamini nani wote hayohayo) ziliwekwa wazi ili Mkapa (fisadi mwingine lakini aliyemudu makashkashi) asipate nafasi ya kumwachia urais.
   
 18. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #18
  Mar 3, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nyamungo mbona swali lako limejibiwa hapo juu na Ta muganyizi??
  Sophia limedoda limelala!!
   
 19. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #19
  Mar 3, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 20. Bless the 12

  Bless the 12 Member

  #20
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu nalkupata machungu yako lkn kwa case ya huyu mama Sophia wala usipoteze muda kumjadili maana ni muda mrefu tunajua ni MBUMBUMBU na mwenye kosa hapa ni rais wake maana ndo alimweka hapo kwa sababu wote ni wapenzi wa taarab, usipoteze muda mzee
   
Loading...