Waziri Sitta amlipua Lowassa Bungeni

Waziri Sitta amlipua Lowassa Bungeni

siwezi kupanda boti ya 6 hatasiku moja si mzalendo anakisasi tu.ila jamani mwnye namba ya lowasa anipe nimpe moyo mi najitolea kabisa kuwaelimisha watanzania umuhimu wa lowasa kwa nchi yetu kwa wakati wa mabadiliko kama huu
 
lowassa_232.jpg

Kama kawaida yao hawa wapuuzi, wakaja na kiroja kuwa Lowassa amejiuzulu kwa kashfa wenye upeo mkubwa hatukupata tabu kupangua hoja yao hii ya kipuuzi, nasi tukawahoji mbona hata Mwinyi alijiuzulu na baadaye akaja kuwa rais? hawakuwa na la kusema wakauma uma maneno kuwa Lowassa si chochote sasa just week iliyopita mwandishi maarufu Mayage kupitia gazeti la Mapinduzi Raia Mwema amesema waziwazi kuwa Lowassa yuko Km 200 mbele ya hao wenzake wanaoutaka urais kwa tiketi ya CCM!

Naona sasa mjadala umefungwa rasmi baada ya Lowassa kuitikisa nchi na kuwahakikishia wanasiasa uchwara kuwa yeye ni jabali lililojihakikishia tiketi ya kuingia ikulu mwaka 2015. Naam! Huyu ndiye Lowassa rais wa 5 wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!..Anayebisha na abishe tu ila let the truth be said Lowassa ni jabali linalotinga Ikulu ya Magogoni mwaka 2015 kwa ushindi wa kimbunga.
 
Join Date : 8th June 2011
Posts : 12Rep Power : 0

katumwa huyu kuja kuchafua hali ya hewa hapa jamvini!!!! ondoeni vita yenu ya makundi humu
 
lowassa_232.jpg

Kama kawaida yao hawa wapuuzi, wakaja na kiroja kuwa Lowassa amejiuzulu kwa kashfa wenye upeo mkubwa hatukupata tabu kupangua hoja yao hii ya kipuuzi, nasi tukawahoji mbona hata Mwinyi alijiuzulu na baadaye akaja kuwa rais? hawakuwa na la kusema wakauma uma maneno kuwa Lowassa si chochote sasa just week iliyopita mwandishi maarufu Mayage kupitia gazeti la Mapinduzi Raia Mwema amesema waziwazi kuwa Lowassa yuko Km 200 mbele ya hao wenzake wanaoutaka urais kwa tiketi ya CCM!

Naona sasa mjadala umefungwa rasmi baada ya Lowassa kuitikisa nchi na kuwahakikishia wanasiasa uchwara kuwa yeye ni jabali lililojihakikishia tiketi ya kuingia ikulu mwaka 2015. Naam! Huyu ndiye Lowassa rais wa 5 wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!..Anayebisha na abishe tu ila let the truth be said Lowassa ni jabali linalotinga Ikulu ya Magogoni mwaka 2015 kwa ushindi wa kimbunga.

Kujiuzulu kwa Mwinyi na LOWASA vitu mbili tofauti .
Ya EL ni ya tuhuma za kifisadi inanuka wakati ya mwinyi ilikuwa makosa yanayo weza yakaitwa typing error.
La huyu jabali wenu halifanani kabisa na la mwinyi.
Mwinyi hakuwahi kuwa natuhuma za kiufisadi na kulingiza taifa katika hasara
 
Yaani Lowasa sasa hivi anawatumia watu kama hawa kuwapa rushwa ili wamfagilie ndani ya JF? AAaaaaaaaaah!
 
Jamani muhimu sio jabali wala msitu,anaekuja aje na maendeleo yanayo wafaa wananchi .
 
EL ni mtu mwenye sifa na ana haki ya kugombea kama mtu mwingine yeyote, kazi ni kwetu wapiga kura! Nampa ushauri wagombee kupitia cdm atashinda.
 
Eti jabali. Ndio hivyo alivyodanganywa huko Nigeria
 
Kwani atachaguliwa na watu wa Monduli tu ndo apate ushindi wa Kimbunga??
Mijitu mingine bana ah, unaweza ule BAN yan
 
Hakuna anayefaa kuwa raisi huko Magamba! wote ni Fisadis
 
lowassa_232.jpg

Kama kawaida yao hawa wapuuzi, wakaja na kiroja kuwa Lowassa amejiuzulu kwa kashfa wenye upeo mkubwa hatukupata tabu kupangua hoja yao hii ya kipuuzi, nasi tukawahoji mbona hata Mwinyi alijiuzulu na baadaye akaja kuwa rais? hawakuwa na la kusema wakauma uma maneno kuwa Lowassa si chochote sasa just week iliyopita mwandishi maarufu Mayage kupitia gazeti la Mapinduzi Raia Mwema amesema waziwazi kuwa Lowassa yuko Km 200 mbele ya hao wenzake wanaoutaka urais kwa tiketi ya CCM!

Naona sasa mjadala umefungwa rasmi baada ya Lowassa kuitikisa nchi na kuwahakikishia wanasiasa uchwara kuwa yeye ni jabali lililojihakikishia tiketi ya kuingia ikulu mwaka 2015. Naam! Huyu ndiye Lowassa rais wa 5 wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!..Anayebisha na abishe tu ila let the truth be said Lowassa ni jabali linalotinga Ikulu ya Magogoni mwaka 2015 kwa ushindi wa kimbunga.
ndoa za utotoni ni tatizo kubwa sana aisee
 
mi nachongoja ni mpira ukishaanza katiika purukushani za kujivua magamba kwanza hadi kuwa nominated na CCM kama mgombea urais - kazi anayo mtu mzima.

Siku hiyo naona NAPE atahamia NCCR - Mageuzi kwa hasira maana hawaivi na mtu mzima. Subira yavuta kheri tunasubiri hizo dk 90, hope hazitaenda extra 120 na hatuombei penalti kwa kweli.
 
lowassa_232.jpg

Kama kawaida yao hawa wapuuzi, wakaja na kiroja kuwa Lowassa amejiuzulu kwa kashfa wenye upeo mkubwa hatukupata tabu kupangua hoja yao hii ya kipuuzi, nasi tukawahoji mbona hata Mwinyi alijiuzulu na baadaye akaja kuwa rais? hawakuwa na la kusema wakauma uma maneno kuwa Lowassa si chochote sasa just week iliyopita mwandishi maarufu Mayage kupitia gazeti la Mapinduzi Raia Mwema amesema waziwazi kuwa Lowassa yuko Km 200 mbele ya hao wenzake wanaoutaka urais kwa tiketi ya CCM!

Naona sasa mjadala umefungwa rasmi baada ya Lowassa kuitikisa nchi na kuwahakikishia wanasiasa uchwara kuwa yeye ni jabali lililojihakikishia tiketi ya kuingia ikulu mwaka 2015. Naam! Huyu ndiye Lowassa rais wa 5 wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!..Anayebisha na abishe tu ila let the truth be said Lowassa ni jabali linalotinga Ikulu ya Magogoni mwaka 2015 kwa ushindi wa kimbunga.
Mwogopeni kama ukoma mtu anayekimbilia Ikulu,” aliasa Mwalimu Julius Nyerere “kwa sababu Ikulu hakuna biashara.”
 
Kampeni mbona bado mazee, huyu jamaa kakurupukia wapi????
 
lowassa_232.jpg

Kama kawaida yao hawa wapuuzi, wakaja na kiroja kuwa Lowassa amejiuzulu kwa kashfa wenye upeo mkubwa hatukupata tabu kupangua hoja yao hii ya kipuuzi, nasi tukawahoji mbona hata Mwinyi alijiuzulu na baadaye akaja kuwa rais? hawakuwa na la kusema wakauma uma maneno kuwa Lowassa si chochote sasa just week iliyopita mwandishi maarufu Mayage kupitia gazeti la Mapinduzi Raia Mwema amesema waziwazi kuwa Lowassa yuko Km 200 mbele ya hao wenzake wanaoutaka urais kwa tiketi ya CCM!

Naona sasa mjadala umefungwa rasmi baada ya Lowassa kuitikisa nchi na kuwahakikishia wanasiasa uchwara kuwa yeye ni jabali lililojihakikishia tiketi ya kuingia ikulu mwaka 2015. Naam! Huyu ndiye Lowassa rais wa 5 wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!..Anayebisha na abishe tu ila let the truth be said Lowassa ni jabali linalotinga Ikulu ya Magogoni mwaka 2015 kwa ushindi wa kimbunga.
Tunapata threads kama hizi kwa sababu kwa magamba huyu ni namba 1 kwa kila kitu. Wenzie wanakula tuuu!! kama kuku wachakura uchafu lakini jamaa ni mjanja angalia: Shule kila kata ( hata kama za vodafasta). Maji mijini na maji ya ziwa victoria kwenda shinyanga na kahama.
CCM bila Lowasa ni MFU.
 
lowassa_232.jpg
Kama kawaida yao hawa wapuuzi, wakaja na kiroja kuwa Lowassa amejiuzulu kwa kashfa wenye upeo mkubwa hatukupata tabu kupangua hoja yao hii ya kipuuzi, nasi tukawahoji mbona hata Mwinyi alijiuzulu na baadaye akaja kuwa rais? hawakuwa na la kusema wakauma uma maneno kuwa Lowassa si chochote sasa just week iliyopita mwandishi maarufu Mayage kupitia gazeti la Mapinduzi Raia Mwema amesema waziwazi kuwa Lowassa yuko Km 200 mbele ya hao wenzake wanaoutaka urais kwa tiketi ya CCM! Naona sasa mjadala umefungwa rasmi baada ya Lowassa kuitikisa nchi na kuwahakikishia wanasiasa uchwara kuwa yeye ni jabali lililojihakikishia tiketi ya kuingia ikulu mwaka 2015. Naam! Huyu ndiye Lowassa rais wa 5 wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!..Anayebisha na abishe tu ila let the truth be said Lowassa ni jabali linalotinga Ikulu ya Magogoni mwaka 2015 kwa ushindi wa kimbunga.
Kazi ipo, yaani Massai ana vibaraka hadi Kiwalani kwa Gude...Kudadeki.
 
Wallah akigombea kupitia cdm ataingia ikulu! Cdm mkaribisheni huyu jamaa ni jembe! Akichaguliwa atafanya kazi kwa nguvu zote kuprove kuwa yeye ni mchapakazi afu another advantage ni mzoefu serikalini na ataijenga cdm.
 
Wewe umetumwa kuja kupima mawazo ya Great Thinkers,so ukamueleza huyo bwana Richmond kua kule kuna watu waelewa hatutaki kuckia habari ya huyu mwizi mkubwa ambae ana tabasamu la kinafiki machoni mwa waTz,nawewe utalaanika kushadadia UPUUZI kisa umepewa hela ulete hoja hapa Jamvini
 
Kiwalani,

Unaandika kama vile Lowassa ana mkataba na Mungu kuwa atakuwepo 2015? unanshangaza!
 
Mungu wangu! ikiwa kweli huyu dogo aliotoa siku 90 ataenda wapi?
 
Back
Top Bottom