Chapter 6
Season 3:Episode 5:To be continued ..................................
Season 3:Episode 5:To be continued ..................................

Hapa sina uhakika nani ni pedi kati ya Lowassa na Sitta. Mtumiaji anaeleweka ni Kikwete. Na mtumiaji hana uchaguzi wa pedi. Akiwa na shida ni lazima atumie pedi iliyo karibu. Wakati ule wa nchi ikiwa kwenye giza, Pedi alikuwa Lowassa. Sasa nchi iko gizani, Pedi ni Sitta. Kuna wakati pedi lilikuwa kundi la Lowassa ndani ya NEC likimsulubu Sitta. Ni makosa makubwa kumwamini Kikwete katika habari ya kutumiwa kama pedi. Kila mtu ana zamu yake ya kutumiwa. Kinachohitajika ni pedi zenyewe kujipanga vema, ili Kikwete akizitumia zimletee mwasho mapajani!

Nawasilisha

Wewe ndo una matatizo. Ilijengwa ofisi ya mbunge, si ya Spika. Na haikutumia mabilioni ya fedha. Come back to your senses...kati ya Samuel Sitta na Edward Lowassa sioni anayefaa...Sitta ana kashfa ya kutumia mabilioni ya fedha kujenga ofisi ya spika jimboni kwake Urambo kana kwamba alitarajia atakuwa spika wa maisha, na mrithi wake atatoka Urambo.
Muhimu uadilifuUnajua vitu vingine mkivitetea inaonyesha aidha hujui unachoongea au unafuata ushabiki tu. Kiongozi hachaguliwi kuombaomba fedha kwa matumizi yasiyo na msingi. Ni jukumu la kiongozi kuona kuwa anaomba pesa ambazo zina manufaa kwa watu anaowaongoza. Kusema mbona nilipoomba sikunyimwa ni dalili ya kutojua maana ya uongozi ni nini. Halafu Sitta na mwenzie Pinda waache kuangalia mtoa hoja, waangalie hoja ni nini. Je si kweli kwamba sasa hivi viongozi wanaogopa kufanya maamuzi magumu? Mfano mzuri ni Sitta na Nape, kama wanaweza kufanya maamuzi magumu walishindwaje kujiunga na CCJ waziwazi wakafanya hivyo chini kwa chini wakati mwenzao Mpendazoe aliweza kutoka waziwazi? Ni Sitta huyo huyo ambaye alimwambia Rais Kikwete kuwa anatakiwa kuwa mkali wakati wa suala la EPA (pale Kikwete alipohutubia bunge), je kumwambia awe mkali maana yake nini kama siyo kumwambia afanye maamuzi magumu?Je si kweli nchi inatakiwa kujenga reli zetu ili tuweze kufungua biashara na nchi zinazotuzunguka? Je kuzipanua bandari za Mtwara na Tanga siyo jambo la msingi badala ya kufikiria kujenga bandari ya Bagamoyo? Lowassa ana matatizo yake, lakini viongozi wanafiki jamii ya akina Sitta kujifanya eti wao wasafi hilo ni lazima lipingwe. Halafu orodha ya mafisadi iliyoongezwa na Sitta yumo vile vile. Ni Sitta huyo huyo aliyezuia hotuba ya Kikwete kuhusu EPA isijadiliwe bungeni, sasa kama huo siyo unafiki ni nini?CCM kama mnaona mvuto kwa wananchi umeisha, ondokeni salama hizo sarakasi zenu za kutaka kuharibu nchi haziwezi kutusaidia.
Ngd naona upo Usingizini!Mh.Lowassa aliongea kingine na Sitta akajibu vingine!Lakini kama yeye ni kiongozi wa serikali na Anakiri serikali anayoongoza ina kaugonjwa ka 10% afu anaishia hapo hapo!Huyu Si tegemeo hata Kidogo!Nakubaliana na Mh. Sitta kweli Lowasa amepotoka kwa kuyaita maamuzi yenye 10% kwamba eti ni Maamuzi magumu. Je ni Maamuzi gani ambayo hayana 10% Magumu sisi serikali ya CCM tumeshawahi kuyachukua! Au ni pale tulipomlazimisha Waziri wa Ulinzi Mwinyi kujiuzuru kwa kashfa ya mabomu Mbagala na Gongolamboto! Au ni pale tulipomwambia Ngereja kaa pembeni kwa kuwa umeshindwa kuondoa tatizo hili la mgao wa Giza! au ni pale tulipomstaafisha Waziri wa Maliasili, Maige pale Wanyama wetu na Magogo yetu yanapoibiwa na akina Kinana na kwenda kukamatwa nje ya nchi! Au ni pale Mkuu wa nchi kwa umri wake anapokuwa na mtoto ambaye bado hajapata sifa kiumri kuanza Kindergateen!
Nimewaza tu kwa sauti!
Watanzania tuache kuwa wajinga kwa hizi poor political tactics za samuel sitta! 1995 nani aliwapeleka edward na jakaya msasani? Muulizeni alimwambia nini mzee julius na mzee alimjibu nini? Alipong'ang'ana hatima yake ilikuwa nini? Joseph butiku anayajua haya niliyoyahoji juu ya samwel sitta. Huyu alikula kiapo na hawa wawili jk na enl kuwa yeyote awaye rais 1995/2005 yeye ndie pm wao. 2005 enl hakutia timu kabisa na hapo ndio mwanzo wa ugomvi wao.>>> ana ugonjwa mkubwa wa kupenda madaraka at any cost.>>>!!!
Huyu ni shetani mzee kamwe hatakuwa malaika kama anavotaka tuamini leo.
Hakuna haki pasipo wajibu, yeye ndie amekosa maadili"mwal. Jkn, , mrema amegombana na rais na siyo ccm, hivyo bado alikuwa na nafasi ya kuishitaki serikali kwa chama kabla ya kukurupuka na kuikimbia ccm!"alimuweka wazi lyatonga mrema kwa umma. Sasa hapa tunalo la kujifunza na kuwa na tahadhari kila six anapotumia audience kuwachafua wenzake in the name of uzalendo, anataka kutufanya tuamini yeye ndie mtiifu wa mwalimu wakati kuna mengi amemwendea kinyume via udsm/tic/ccm/cda/bunge na hata ndani ya serikali alizohudumu.
Ni heri sana tukawa wakweli kuwa maamuzi magumu ndio msingi wa dola sikivu,ya wananchi na yenye dira hata kama kuna dosari za rushwa,uongo na maonevu kwani msingi wake unabaki kuwa serikali ni watu na watu ndio wanaokosea, asiyekosea ni yule asiyefanya jambo kwa anaowaongoza[/QUOTE
binadamu wengi kama so wote wanapenda madaraka, kwa hiyo huyu mzee kutaka upm nk ni haki yake.
kuhusu uwezo wake ndio kitu cha kukizungumzia kama anao sawa au hana, na kizuri cha huyu mzee ni kuongea ukweli au kwa uwazi rejea kauli yake kwa kikwete bungeni alipo kuwa chupika, alipomueleza kuwa awe mkali kidogo.