Acha unafiki mkuu,Cdm si Kimbilio la Mafisadi jiangalie sana na think twice of what ua sayingWallah akigombea kupitia cdm ataingia ikulu! Cdm mkaribisheni huyu jamaa ni jembe! Akichaguliwa atafanya kazi kwa nguvu zote kuprove kuwa yeye ni mchapakazi afu another advantage ni mzoefu serikalini na ataijenga cdm.
wewe great thinker gani tena? Wakati humu great thinker hatufiki hata wa 3?Wewe umetumwa kuja kupima mawazo ya Great Thinkers,so ukamueleza huyo bwana Richmond kua kule kuna watu waelewa hatutaki kuckia habari ya huyu mwizi mkubwa ambae ana tabasamu la kinafiki machoni mwa waTz,nawewe utalaanika kushadadia UPUUZI kisa umepewa hela ulete hoja hapa Jamvini
Unafiri watu wote unawaona hum ndan mpo kada moja eti! Usimwamshe alie lalawewe great thinker gani tena? Wakati humu great thinker hatufiki hata wa 3?
Mkuu, hapa umakini ni muhimu hivi EL alikuwa waziri mkuu aliyestaafu au kujiuzulu??? kama ndivyo, nani miongoni mwa mawaziri wakuu wastaafu ktk Tanzania amekuwa rais ukitoa mwl???? TZ HAINA UTARATIBU WA ALIYEKUWA WMKUU AWE RAIS, JE UTAMADUNI HUO UTAANZA KWA LOWASSA????? watz si wajinga hivyo labda nchi hii ipate laana ya nabii Joshua!!!! people shuld btn the lines????Kujiuzulu kwa Mwinyi na LOWASA vitu mbili tofauti .
Ya EL ni ya tuhuma za kifisadi inanuka wakati ya mwinyi ilikuwa makosa yanayo weza yakaitwa typing error.
La huyu jabali wenu halifanani kabisa na la mwinyi.
Mwinyi hakuwahi kuwa natuhuma za kiufisadi na kulingiza taifa katika hasara
sababu sio muislam mwenzako naona leo humtetei ,fungua ushungi huko kichwani akili ipate hewa !Kiwalani,Unaandika kama vile Lowassa ana mkataba na Mungu kuwa atakuwepo 2015? unanshangaza!
Ni kweli ni mchapa kazi! Tena mwenye msimamo ktk kazi atakayo. Lkn cha kushangaza taifa ni kusikika aliingiza taifa ktk lile wimbi la Richmond mpk leo 2po gizani na kisa yote bado inamlenga. Mi naona bora ajiunge na CDM ndipo anaweza pata Urais 2015 tofauti na hilo hakika atasikiaga ikulu kwa maneno tu.kwa mimi namfagilia sana mh L.W ni mchapa kazi na mwenye kutoa maamuzi
![]()
Kama kawaida yao hawa wapuuzi, wakaja na kiroja kuwa Lowassa amejiuzulu kwa kashfa wenye upeo mkubwa hatukupata tabu kupangua hoja yao hii ya kipuuzi, nasi tukawahoji mbona hata Mwinyi alijiuzulu na baadaye akaja kuwa rais? hawakuwa na la kusema wakauma uma maneno kuwa Lowassa si chochote sasa just week iliyopita mwandishi maarufu Mayage kupitia gazeti la Mapinduzi Raia Mwema amesema waziwazi kuwa Lowassa yuko Km 200 mbele ya hao wenzake wanaoutaka urais kwa tiketi ya CCM!
Naona sasa mjadala umefungwa rasmi baada ya Lowassa kuitikisa nchi na kuwahakikishia wanasiasa uchwara kuwa yeye ni jabali lililojihakikishia tiketi ya kuingia ikulu mwaka 2015. Naam! Huyu ndiye Lowassa rais wa 5 wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania!..Anayebisha na abishe tu ila let the truth be said Lowassa ni jabali linalotinga Ikulu ya Magogoni mwaka 2015 kwa ushindi wa kimbunga.