Waziri Sitta amlipua Lowassa Bungeni

..mimi ctaki kusubiri 2015....mbali sana....kwanza nasubir maamuzi ya siku 90..then mwakani uchaguzi wa ndani wa chama cha magamba...2012..hapo nitajua nani JEMBE...nani KAMANDA....nani KURUTA...kundi lipi limejipangaaa sawa sawa.....2015 mbn mbali sana...DAKIKA 90 mwakani 2012..then DAKIKA 120 ..mwaka 2015 kwenye kura za maoni....penalt tunapiga sisi WANANCHI.
kumbuka hii mechi haina kona eti CDM na CCm wagombee mgombea wa Urais


huu ni wangu tu mtazamo....msikasirike washikaji kwa yangu mawazo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom