On the ownership of Dowans Tanzania Limited, Mr Ngeleja said the company is owned by six people who sit on the board of directors and none of whom are Tanzanians.
He mentioned them as Mr Andrew James Tice from Canada, Mr Gopalakrishnan Balachandran from India and Mr Hon Sung Woo from Singapore. Others are Mr Sulaiman Mohamed Yahya Al Adawi from Oman, Mr Guy Arthur Picard of Canada and Mr Stanley Munai from Kenya.
Source: Govt to pay Dowans Sh91bn
akishamaliza hii atampiga chini... mark my words, wako wapi akina lowassa??Mkwere alirudisha kangeleja kwa misheni hii. Tutajuta kumjua JK
Rostam bana, ile KAGODA alisajili majina ya wengine, but he wasn't smart on the location (plot #) akaandika plot ilipo kampuni yake ya ujenzi Pugu Rd, na mbaya zaidi aliyemmilikisha KAGODA ni mfanyakazi wake. Huo ulikuwa mchemsho na JK akakaa kimya, as if wabongo akili zetu zimejaa upepo tu haziwezi kufikiri.
This time wanaendeleza u**nge uleule, kwa majina ya wahindi, waasia, Canadians + Kenyans, mradi tu kuendelea kutufanya malofa.
Wakati unakuja, haizidi hata 2yrs ahead (mtakumbuka hii statement) ambapo mwisho wa haya utakuwa bayana
Mkiandamana tena kupinga nauli hizi tutaua twice as much, tulia tuliii, nchi itawalike bila mizengwe.
Mnataka kuanzisha chokochoko kwenye Kisiwa cha Amani?