Waziri Ngeleja: Serikali imeridhia kuilipa DOWANS Bilioni 95

Waziri Ngeleja: Serikali imeridhia kuilipa DOWANS Bilioni 95

aah wapi!!! ... mnadaganywa

One thing I like about history ni kwamba it is a living moment though then. Ngeleja ansahau kwamba yote haya anayosema yanakuwa documented na historia na nzuri zaidi kunakuwa hata na videos to support it. This thing will haunt all these guyz and especially Muungwana to the rest of their lives.
 
Mtu akiulizwa majina ya wamiliki kumbe anataja majina ya kampuni zinazomiliki. je na hizo kampuni zinazomiliki Dowans zenyewe zinamilikiwa na nani?
 
Alisema wananchi hawana budi kuhakikisha wanasonga mbele na si kuangalia nani aliyeliingizia taifa hasara ili achukuliwe hatua

Du nahisi uzalendo unaanza kunishinda!!!!!!!!
 
Mtu akiulizwa majina ya wamiliki kumbe anataja majina ya kampuni zinazomiliki. je na hizo kampuni zinazomiliki Dowans zenyewe zinamilikiwa na nani?

je na hao wanaomiliki DOWANS wanawawakilsha kina nani?
 
Samahani wakuu naomba kuuliza maana sijapata muda wa kusoma hiyo hukumu ya ICC kuhusu Dowans, Je, tukilipa hiyo fedha mitambo inakuwa ya TZ au bado ni mali yao?
 
Mtu akiulizwa majina ya wamiliki kumbe anataja majina ya kampuni zinazomiliki. je na hizo kampuni zinazomiliki Dowans zenyewe zinamilikiwa na nani?

mkuu... hukumu ni ya kuvunja mkataba na DOWANS ... period...... ukivunja ndoa na mkeo kwani hiyo K unabaki nayo
 
Samahani wakuu naomba kuuliza maana sijapata muda wa kusoma hiyo hukumu ya ICC kuhusu Dowans, Je, tukilipa hiyo fedha mitambo inakuwa ya TZ au bado ni mali yao?

Mkuu tumeliwa! walitaka kutuuzia tukakataa sasa wanazichukua kwa mlango wa nyuma na Mitambo bado ni ya kwao...
 
Think it this way; majenereta hamna, na pesa mnawalipa! Lakini kama wangeyataifisha yale majenereta hata hii adhabu isingeuma sana kwani tungekuwa nayo. Now, watch this (and mark these words). Kwa vile Dowans ilishauza hayo majenereta kwa kampuni nyingine na kwa vile Tanzania bado inahitaji hayo majenereta guess what is going to happen? Kina Ngeleja watawalipa Dowans; halafu wataanza mazungumzo na hiyo kampuni nyingine ili kuyakodisha au kuyanunua hayo majenereta (nafikiri watanunua) kwa milioni nyingine kama 60 USD.
 
Ngeleja kabla hajawa mbunge na waziri,alikua anafanya kazi wapi???
 
waziri wa nishati na madini william ngeleja amesema serikali imeridhia kuilipa kampuni ya kuzalisha umeme wa gesi dowans tanzania tsh 95 bilion baada ya kufanya marekebisho ya madai tofauti na pesa walizokua wanadai... Pia amewataja wamiliki wa dowans kama ni dowans costarica and spartek ya singapore....

Source: Capital redio news saa 12:00 jioni

ivi raisi kikwete anaona. Au naye anachungulia kwa tv kama sie.
 
  1. Kwa nini wameamua kuwalipa kabla hiyo hukumu haijasajiliwa kwenye mahakama kuu nchini?
  2. Tanesco walionyesha nia ya kukata Rufaa, kwa nini wameingiliwa katika suala hilo?
  3. Mwanasheria Mkuu anasema Tanesco walienda kwenye mahakama ya usuluhishi na hoja moja tu, yeye na ofisi yake walikuwa wapi kusaidia badala yake wanakuja kubariki hukumu?
Hii inafanya tufikiri kuna ukweli katika Hoja ya Dr. Slaa, Yaani kuhusika kwa mheshimiwa JK, na ndo maana tunapewa majina ya kampuni zinazomiliki Dowans badala ya wahusika wakuu watakao pokea hizo hela kwa niaba ya Dowans
 
Waziri Ngeleja amemtaja Stanley Munai, raia wa Kenya kama moja wa wakurugenzi wa Dowans hapa nchini, moja ya kampuni mbili zinazoimiliki Dowans Tanzania Ltd. Je, huyu Stanley Munai ni nani ?

  • Yasemekana alimaliza University of Nairobi mwaka 1997.
  • Alifanya kazi kwenye kampuni ya Deloitte kwa miaka kumi 1997 - 2007 nchini Tanzania.
  • Kwa sasa anaelezwa kama Independent Accounting Professional na ndiye Mkurugenzi wa Fedha wa Dowans.
  • Je, katika kipindi chote kwa nini hakuweza kutajwa wala kuhojiwa kuhusiana na kampuni hii ?
 
Mitambo inayoitwa Dowans ni ile tulioona ikiingizwa nchini na kampuni tapeli la Richmond, sivyo?
Jamani nataka nifahamishwe baada ya serikali kuridhia kwamba Richmond ilishindwa kutupa umeme kwa mujibu wa lengo la wakati uliokusudiwa na hivyo kuvunja mkataba. Je Richmond waliilipa serikali fidia ya kiasi gani?
Na wakati hii richmond inaufaulishia mkataba wake kwa Dowans ofisi ya mwanasheria mkuu ilihusishwa? Kama ilihusishwa ni mkataba wa aina gani waliuingia kuhakikisha maslahi ya taifa yanazingatiwa? Na ni kipengele gani walichotumia kutakatifisha mkataba batili Richmond ambao ndiyo dowans inayotutesa sasa? Kuna kiashashirio gani kwa serikali ya awamu ya nne cha kuonyesha kuwajali raia wake hata tuwaamini?
.
Maana kila kukicha ni usanii mpya juu ya ule wa jana yake?
.
 
kuna spichi anaandika makamba,JK ataisoma hiv karibuni itajibu maswali yote ya watanzani.!
 
On the ownership of Dowans Tanzania Limited, Mr Ngeleja said the company is owned by six people who sit on the board of directors and none of whom are Tanzanians.

He mentioned them as Mr Andrew James Tice from Canada, Mr Gopalakrishnan Balachandran from India and Mr Hon Sung Woo from Singapore. Others are Mr Sulaiman Mohamed Yahya Al Adawi from Oman, Mr Guy Arthur Picard of Canada and Mr Stanley Munai from Kenya.

Source: Govt to pay Dowans Sh91bn
 
Waziri Ngeleja amemtaja Stanley Munai, raia wa Kenya kama moja wa wakurugenzi wa Dowans hapa nchini, moja ya kampuni mbili zinazoimiliki Dowans Tanzania Ltd. Je, huyu Stanley Munai ni nani ?

  • Yasemekana alimaliza University of Nairobi mwaka 1997.
  • Alifanya kazi kwenye kampuni ya Deloitte kwa miaka kumi 1997 - 2007 nchini Tanzania.
  • Kwa sasa anaelezwa kama Independent Accounting Professional na ndiye Mkurugenzi wa Fedha wa Dowans.
  • Je, katika kipindi chote kwa nini hakuweza kutajwa wala kuhojiwa kuhusiana na kampuni hii ?

Mkuu yaani hizi zote ni danganya toto tu, the owner is still the same, the known and untouchable RA.
 
Waziri Ngeleja amemtaja Stanley Munai, raia wa Kenya kama moja wa wakurugenzi wa Dowans hapa nchini, moja ya kampuni mbili zinazoimiliki Dowans Tanzania Ltd. Je, huyu Stanley Munai ni nani ?

  • Yasemekana alimaliza University of Nairobi mwaka 1997.
  • Alifanya kazi kwenye kampuni ya Deloitte kwa miaka kumi 1997 - 2007 nchini Tanzania.
  • Kwa sasa anaelezwa kama Independent Accounting Professional na ndiye Mkurugenzi wa Fedha wa Dowans.
  • Je, katika kipindi chote kwa nini hakuweza kutajwa wala kuhojiwa kuhusiana na kampuni hii ?

Ngeleja anapotuambia kwamba hii ni kutokana na documents zilizoko BRELA anaonyesha ni jinsi gani alivyo kilaza kutoka serikali ya vilaza. Kwani Richmond iliyothibitika na bunge kwamba ni kampuni ya kitapeli ilikuwa haina wamiliki walioainishwa BRELA?
 
Duuh,
Hii kali! Yaani ukifika wakati wa kuvuna ndio majina ya wamiliki wa dowans ndio yamejulikana kwa haraka. Hapa ipo namna, wamekusudia kuzichota tu na wanaonekana kuwa "unstoppable".

Sijawahi kusikia, wala kuona serikali inayoyetetea kulipa deni kwa kasi kama hii duniani.
Siku zote serikali hubishia kulipa malipo makubwa yasiyo na tija kwa Jamii, lakini TZ, hata kuzungumzia kukata rufaa hakuna. wanafurahia kuikomoa Jamii. This is too much!

Halafu wanatuimbia maisha bora kwa kila mtanzania!
Enyi viongozi musio na huruma, munatuzidishia umaskini!! Tuko taabani.
 
Back
Top Bottom