Waziri Ngeleja: Serikali imeridhia kuilipa DOWANS Bilioni 95

Waziri Ngeleja: Serikali imeridhia kuilipa DOWANS Bilioni 95

Mlikuwa mnalia humu, mnataka kujuwa Dowans ni ya nani, leo mmewekewa wazi, bado mnalia! hata haya hamuoni? mnawaita wawekezaji mkishaingia nao mkataba mnataka muwazike? hivyo ni viwekezaji vidogo vya mitaani, miwekezaji kama hiyo iliyotajwa, inawekeza kimataifa huwezi ukaiingiza mjini. Utajuta.
 
Mlikuwa mnalia humu, mnataka kujuwa Dowans ni ya nani, leo mmewekewa wazi, bado mnalia! hata haya hamuoni? mnawaita wawekezaji mkishaingia nao mkataba mnataka muwazike? hivyo ni viwekezaji vidogo vya mitaani, miwekezaji kama hiyo iliyotajwa, inawekeza kimataifa huwezi ukaiingiza mjini. Utajuta.

Wewe umechanganyikiwa na hujui kwa nini hii topiki imeanzishwa, hii ligi si ya kichangani. Wengi wa waliotajwa mwanzoni waliikana hii Dowans na hawakutaka kabisa kuhusishwa nayo. Ukienda kwenye profiles zao hata harufu ya Dowans hutaisikia na ni huyu Stanley peke yake ambaye yupo Tanzania na kuna ushahidi wa wazi kuwa anahusika kwani ndiye Mkurugenzi wa Fedha.

Kuna siri kubwa nyuma ya hizi kampuni za Richmond/Dowans kama ilivyo kwa dada yao mkubwa Kagoda na kigugumizi katika kutaja wamiliki wake kinatokana na Mkuu wa Kaya kuhusika. Baada ya bunge kuistukia Richmond, wahusika wakuu wakiongozwa na Jakaya Kikwete walisuka mpango wa zima moto wa kufuta nyayo zao wahusika na haraka haraka ikaingia Dowans.

Hukumu ya ICC juzi imemtaja aliyepewa nguvu za kisheria kuisimamia Dowans Tanzania, hii iliwezekanaje kama moja wa wakurugenzi wake alikuwa hapa hapa Tanzania kwa jina la Stanley Munai ? Kama ilivyo kawaida yao mafisadi ya wizi hadi kura, stakabadhi muhimu ziliporwa Brela na kuchakachuliwa na sasa tunaletewa majina haya baada ya kuyadai toka mwaka 2007.

Wenye majina hayo kama wapo tutawafuatilia kwani ukweli una tabia moja ya kukataa kuzikwa hata kama inachukua miezi. Wizi wa kura kubaki madarakani, utumiaji wa polisi kuua wazalendo wanaotafuta haki na udikteta, vyote havitaweza kuzima kiu ya wananchi kuufahamu ukweli - Andrew James Tice wa Canada, Gopalakrishnan Balachandran wa India na Mr Hon Sung Woo wa Singapore na Mr Sulaiman Mohamed Yahya Al Adawi wa Oman, tutawachimba hadi kieleweke.
 
Hivi kweli sheria za kufungua na kuendesha kampuni ya kigeni inawezekana bila ya kuwa na hisa japo kidogo na mzawa MTz? Naomba kuuliza?

Waziri Ngeleja amemtaja Stanley Munai, raia wa Kenya kama moja wa wakurugenzi wa Dowans hapa nchini, moja ya kampuni mbili zinazoimiliki Dowans Tanzania Ltd. Je, huyu Stanley Munai ni nani ?

  • Yasemekana alimaliza University of Nairobi mwaka 1997.
  • Alifanya kazi kwenye kampuni ya Deloitte kwa miaka kumi 1997 - 2007 nchini Tanzania.
  • Kwa sasa anaelezwa kama Independent Accounting Professional na ndiye Mkurugenzi wa Fedha wa Dowans.
  • Je, katika kipindi chote kwa nini hakuweza kutajwa wala kuhojiwa kuhusiana na kampuni hii ?
 
Swali la kujiuliza ni kwamba: ICC imetengua lini hukumu ya Bilioni 185TShs hadi Bilioni 95TShs?

Mbona Ngeleja hajaelezea hilo? Ina maana JK na kundi lake la mafisadi ndio wanakaa chini na kuangalia ni kiasi gani watuibie.
 
mwanasheria mkuu wa serikali KILAZA ni msiba mwingine wa TAIFA

Good point. Tunataka mwanasheria mkuu aje awaambie wananchi ni lini hiyo hukumu ilitenguliwa na sababu zipi zimetumika kufikia hiyo namba.
 
Can this be the guy they are talking about?


Andrew James Tice's Summary

Award winning senior global banking executive with 25 years' proven success in international markets. I provide personalized financial services to a small number of transnational families.

At Deutsche Bank I oversaw the trust & fiduciary business for the Middle East & Africa. There I managed a wide variety of fiduciary structures in Mauritius, Guernsey, Singapore and Cayman. I also represented DB's private banking business on the UAE executive committee.

Prior to Duetsche Bank, I was Managing Director at Royal Bank of Canada Middle East Region. There I led the complete re-engineering of the banks business around three distinct segments. At RBC we formed distribution alliances with four Gulf-based regional banks.

Together with my colleague Laurence Black, we founded the Society of Trust and Estate Practitioners (STEP) Arabia Chapter. During that period we were recognized as the Best Trust Services Provider by Euromoney Magazine in 2004.

Andrew James Tice's Specialties:
Trusts, Companies & Foundations for Family offices.

Andrew James Tice's Experience

Director, Fiduciary Services Division
Deutsche Bank
(Public Company; DB; Investment Banking industry)
September 2008 - October 2009 (1 year 2 months)
Oversight of trust & fiduciary business for DB's Middle East & Africa business. MEA's local representative on UAE Exco and other committees.

Director
Gulf Capital Group
(Financial Services industry)
December 2005 - February 2008 (2 years 3 months)
Managing Director
RBC Royal Bank
(Public Company; 10,001+ employees; RY; Banking industry)
October 1999 - October 2005 (6 years 1 month)
Reorganizing the business around 3 distinct-previously underdeveloped-segments, including Corporate, Institutional, and HNWI. Generated new business by forming alliances with 4 Gulf-based banks. Founded the Society of Trust and Estate Practitioners (STEP) in Arabia. Recognized as the Best Trust Services Provider by Euromoney Magazine.

Senior Manager, International Services
RBC Royal Bank
(Public Company; 10,001+ employees; RY; Banking industry)
September 1994 - September 1999 (5 years 1 month)
Provided international trust & fiduciary, investment management and custody services to the banks' high net worth international client base.

Senior Advisor, Wealth Management
Royal Trust
(Public Company; Financial Services industry)
January 1991 - August 1994 (3 years 8 months)
Provided fee based wealth management services to Canadian clients. Led in the field of estate planning through helping affleunt Canadians take advantage of corporate executorships, form testamentary trusts and manage thier investment assets.

Account Manager, Portfolio Services
TD Canada Trust
(Public Company; TD; Banking industry)
September 1984 - May 1991 (6 years 9 months)
Account Manager Portfolio Services (1989-1991)/Investment Officer (1987-1989). Portfolio Administrator (1985-1986)/Customer Service Representative (1984-1985)

Andrew James Tice's Education

York University - Glendon College
B.A. , Economics , 1982 - 1985

Canadian Securities Institute
Canadian Securities Course , Investment Management

Licenced in Canada to counsel investors on the selection of appropriate portfolio investments.

Additional Information

Andrew James Tice's Websites:
Trust and Estate Practioners
Andrew James Tice's Groups:
Society of Trust and Estate Practioners, Chairman, Canadian Business Council Dubai and Northern Emirates, 2006-2007

AfricaNews
Society of Trust & Estate Practitioners
Africa - All Things Business
Invest in Africa
Global Emerging Markets Investment Banking Professionals
Africa Media Network
Professional Trust and Fiduciary Services
Asia Family Office
Trusts and Estates Network
AFRICA PRIVATE EQUITY NETWORK
Investment Analysts in Africa
The Africa Business Forum
The Family Business Place
European Family Office Network
Andrew James Tice's Honors:
Best Trust Services Provider Middle East, Euromoney Magazine 2005
Numerous Executive and Chairmans Counsel Awards at RBC

Andrew James Tice's Contact Settings

Interested In:
consulting offers new ventures expertise requests business deals
 
On the ownership of Dowans Tanzania Limited, Mr Ngeleja said the company is owned by six people who sit on the board of directors and none of whom are Tanzanians.

He mentioned them as Mr Andrew James Tice from Canada, Mr Gopalakrishnan Balachandran from India and Mr Hon Sung Woo from Singapore. Others are Mr Sulaiman Mohamed Yahya Al Adawi from Oman, Mr Guy Arthur Picard of Canada and Mr Stanley Munai from Kenya.

Source: Govt to pay Dowans Sh91bn
Director wa finance toka lini akakaa kwenye Board, halafu kukaa kwenye board ndio inaonyesha ownership? board members ni wawakilishi wa wamiliki kwenye shughuli za kiutendaji za wamiliki, hivyo mpaka sasa wamiliki hawajatajwa. na hii inaonyesha kabisa kabisa owners wakweli wapo hapo hapo bongo.
halafu kingine kama huyo mkenya ndio owner cum director wa finance kwa nini hela achukue lostam hazizz??/ refer power of attorney ya kuchukua pesa? yaani huyu independent accountant aliyefanyia delloitte ndivyo alivyo fundishwa kwanini asiingize kwenye vitabu vyake na kutoa cheque yeye mwenyewe mpaka amkodishe rostam kuzibeba hizo pesa.
 
Mkurugenzi mwingine wa dowans huyu hapa

G Balachandran


Ads By Google
  • Private luxury trips to India Tailor-made India trips.
www.Enchanting-India.com
  • Address:
  • Flat No. 201, RAM Chintamani, G B Patharli
  • City/Province:
  • India Maharashtra Dombivli East
  • Fax:
  • 91
  • Homepage:
  • http://
  • Zip/Postal:
  • 421201
  • Telephone:
  • 91-251-2437401
  • People:
  • Mr. gopalakrishnan balachandran
G Balachandran Is a company located in India Maharashtra Dombivli East. If you have any needs, please contact Mr. gopalakrishnan balachandran, MobilePhone: , Phone: 91-251-2437401, Fax: 91. In addition, you can try to contact G Balachandran by the fixed contact, Address: Flat No. 201, RAM Chintamani, G B Patharli ZipCode: 421201. Warmly welcome to contact us, to discuss cooperation!
G Balachandran info:

This supplier has not provided a Company Introduction yet. Basic Information
 
Huyu Sulaiman Mohammed Yahya Al Adawi (Oman) kama sikosei alihojiwa na Mwanakijiji na kukataa kata kata kama yeye ni mmiliki wa Dowans.
~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~**~

Mpango kununua Dowans waiva


picture-4.jpg

Na Saed Kubenea - Imechapwa 18 March 2009

ngeleja_2.jpg



SERIKALI na Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), bado wanaendelea na mazungumzo ya kununua mitambo ya Dowans, MwanaHALISI limegundua.
"Kwa ushahidi uliopo, madai yote ya kujiondoa katika mjadala wa kununua mitambo ya Dowans ni kiini macho; na mjadala mkubwa juu ya ununuzi ndio hasa umepamba moto," kimeeleza chanzo cha habari.
Taarifa za kuaminika kutoka kwa anayedaiwa kuwa "mmiliki" wa kampuni ya Dowans Holding Tanzania Limited, Jenerali Sulaiman Mohammed Yahya Al Adawi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), zinasema serikali imemhakikishia kununua mitambo yake.
Katika mahojiano na shirika moja la habari nchini Marekani, KLHN International, Jumapili iliyopita, Bregedia Jenerali Al Adawi amesema, "Bado tunaendelea na mazungumzo na serikali, ili waweze kununua mitambo yetu… Tunaendelea kujadiliana nao katika hilo."
Mahojiano na Bregedia Jenerali Al Adawi yalifanywa na mwandishi wa habari Mtanzania, M.M. Mwanakijiji anayeishi Dettroite, Marekani. Mahojiano yalitokana na jina la Jenerali huyo kutajwa katika jarida la Africa, toleo la 7 Machi 2009.
MwanaHALISI limepata nakala ya mazungumzo kati ya Bregedia Jenerali Al Adawi na shirika la KLHN.
Kwa mujibu wa mahojiano hayo, majadiliano kati ya serikali na anayejiita mmiliki wa Dowans, yalizidi kupamba moto baada ya Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Dk. Idris Rashid kutoa kauli ya kujiondoa katika mazungumzo.
Ni kutokana na kauli ya Dk. Rashid na msimamo wa Jenerali Adawi, Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja alipata nguvu za kutamka hadharani kuwa "hakuna sheria inayozuia ununuzi wa mitambo iliyotumika."
Waziri aliwaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wiki iliyopita kuwa ana mamlaka ya kuamua kununua mitambo iliyotumika pale mazingira ya kufanya hivyo yatakaporuhusu.
Tayari mazingira ya kusababisha ununuzi wa mitambo ya Dowans iliyotumika yamejengwa.
Dk. Rashid amesema kwa kuwa umezuka mzozo kuhusu ununuzi wa mitambo ya Dowans, basi Tanesco isilaumiwe iwapo nchi itaingia gizani. Hii imetafsiriwa kuwa uwezekano wa Tanesco kuingiza nchi gizani ili mitambo hiyo inunuliwe.
Aidha, tamko la waziri Ngeleja kuwa ana uwezo wa kuamuru ununuzi wa mitambo iliyotumika, unaongeza nguvu juu ya mpango na makubaliano kinyemela ya kununua mitambo hiyo.
Shirika hilo la habari linasema, "Wenye Dowans hawajakubali kushindwa. Watafanya lolote mpaka mitambo inanunuliwa."
Lakini Waziri Ngeleja alipoulizwa msimamo wa serikali, juzi Jumatatu alisema, "Haiwezekani. Hizo ni fitina. Mimi ndiye msimamizi wa utekelezaji wa sera za serikali. Hakuna kitu kama hicho." Alimwambia mwandishi kuwa yuko kwenye kikao, aitwe baadaye. Hakupatikana.
Hata hivyo, bado utata umeighubika Dowans. Anayeitwa mmiliki, Jenerali Al Adawi, awali alikanusha kuwa mmiliki.
Alipobanwa akamtaka Mwanakijiji kusoma katika tovuti ya makampuni yake yenye anwani: http://www.stcgroups.com ili kujiridhisha kwamba Dowans siyo moja ya makampuni anayomiliki.
Al Adawi alisisitiza kuwa makampuni yake hayajishughulishi na mambo ya nishati bali ujenzi na kwamba Dowans siyo kampuni ya ujenzi.
Alisema iwapo kuna kampuni inatajwa kuwa yake wakati hajawekeza humo hata shilingi, basi angefurahi sana kupewa "kwa dezo" kampuni ya namna hiyo.
Hii ilikuwa na maana kuwa Jenerali Al Adawi haifahamu Dowans na wala hajawekeza katika kampuni hiyo.
Lakini kwa mujibu wa nyaraka mbalimbali za kampuni ya Dowans zilizopo kwa Wakala wa Usajili wa Makampuni (BRELA), zinaonyesha Bregedia Jenerali Al Adawi kuwa mmoja wa wakurugenzi.
Anuani iliyotumika katika fomu hiyo ni P.O.Box 823, PC 112, Sultanate of Oman. Anuani hiyo ndiyo inayotumiwa na kampuni ya Services and Trade ya Oman ambayo Bregedia Jenerali Al Adawi alianzisha na mshirika wake mwingine mwaka 1977.
Al Adawi alipoulizwa uhusiano wake na mfanyabiashara na mbunge wa Igunga, Rostam Aziz, au uhusiano wa Rostam na Dowans, alikiri kumfahamu Rostam na kusema kuwa ni "rafiki" yake.
Alipoulizwa juu ya uhusiano wa Rostam na kampuni yake ya Dowans, na iwapo Rostam alimfuata na kumshawishi amsaidie kuanzisha kampuni ya Dowans, aling'aka, "Muulize mwenyewe; mbona unaniuliza maswali kama vile nahojiwa na polisi?"
Kwa mujibu wa Mwanakijiji, Jenerali Al Adawi ni mzaliwa wa Zanzibar ambaye alimwonya kuwa si vizuri kwa vyombo vya habari "kuandika vitu ambavyo hawana uhakika navyo." Alimtaka Mwanakijiji kuwasiliana na wanasheria kwa taarifa zaidi.
Bali Al Adawi alipogundua kuwa Mwanakijiji ni Mtanzania na anafuatilia mambo ya kashfa za nishati zinazoendelea nchini na jinsi gani kampuni ya Dowans inaonekana katikati ya sakata hilo, alianza kuongea kwa sauti ya kunyong'onyea na kujibu kama vile anajitetea mahakamani.
Huyo ndiye Al Adawi, mwenye sura nyingi: Anajitambulisha kuwa mmiliki wa Dowans; huku anakana kuifahamu Dowans na kusema hajawahi kuwekeza katika kampuni yenye jina hilo.
Al Adawi anakataa kuhusishwa na Dowans na kusema hahusiki na makampuni ya nishati ya umme, huku anaonekana katika nyaraka za kuanzisha Dowans inayofua umeme Dar es Salaam; anakana kumfahamu Rostam Aziz na baadaye anakiri kuwa ni rafiki yake.
Imefahamika kuwa mfanyabiashara huyo anamiliki nyumba kadhaa nchini Tanzania na kwamba huja mara kwa mara kutokana na familia yake kuwapo hapa.
Al Adawi kama Rostam Aziz. Ni Rostam aliyewahi kusema haifahamu Dowans; baadaye akasema walikuwa wakitumia ofisi zake za kampuni ya Caspian; siku zilipopita akasema kampuni yake iliomba kazi kwa Dowans; hatimaye akasema anafahamu wamiliki wa Dowans.
Toleo la Jumatano iliyopita la MwanaHALISI lilimtaja Rostam kuwa mtu muhimu katika uchunguzi wa sakata la Kagoda Agriculture Limited na Dowans lakini serikali ilikuwa haijaonyesha kumtumia.
Wachunguzi wa mambo wanasema kama Al Adawi na Rostam wana ukaribu hata wa tabia, bila shaka kuna uhusiano wa kuaminika miongoni mwa watu hao wawili, Dowans na baadhi ya viongozi serikalini ambao wamekuwa king'ang'anizi kuhusu ununuzi wa mitambo ya Dowans.
Uchunguzi wa gazeti hili umebaini utata ulioghubika uanzishaji wa Dowans. Kwa muda mrefu kumekuwa kukitajwa karibu makampuni manne ya Dowans ambayo yanahusiana na Dowans Tanzania Limited, lakini ukweli ni kuwa kampuni hizo ziko mbili tu.
Awali ilitajwa Dowans Holdings ya Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu. Taarifa zinasema katika falme hizo hakuna kampuni yenye jina hilo.
Taasisi ya Uwekezaji ya Dubai, Wizara ya Uchumi na Biashara ya falme za Kiarabu ambayo hutoa leseni za biashara na Idara ya Kanda Huru za Falme za Kiarabu inayohusika na uwekezaji, vyote vimethibitisha kuwa hakuna rekodi zozote za Dowans.
Vilevile imekuwa ikitajwa kampuni ya Dowans Holdings ya Afrika Kusini. Uchunguzi unaonesha kuwa kuna mtu alichanganya maneno "SA" yanayoonekana kwenye kampuni ya Dowans Holdings SA akifikiri yanamaanisha kuwa ni "South Africa."
Nchini Afrika Kusini hakuna kampuni yenye jina kama hilo ambayo inahusiana na Dowans Tanzania Limited; herufi "SA" zinasimama badala ya maneno ya Kiihispania "Sociedad Anónima" ambayo ni sawa na hadhi ya "shirika" katika Tanzania.
Kampuni pekee ya Dowans ambayo inaonekana kuhusiana na Dowans Tanzania Limited ni ile ya Costa Rica ambayo imethibitika kuwa ni kampuni hewa na huku wamiliki wake wakiwa hawafahamiki.
Sheria za uwekezaji nchini Costa Rica zinaruhusu watu kufungua makampuni feki na zinalinda wawekezaji hao kutokujulikana.
Kwenye orodha ya wanaohusishwa na Dowans ni Kampuni ya Portek International ya Indonesia, kupitia kampuni yake tanzu ya Portek Systems and Equipment Ltd., inayodaiwa kuwa na hisa ya asilimia 39.
Bali gazeti hili limegundua kwa mwaka 2007 na 2008 kampuni hiyo ya Indonesia haikuwa na hisa yoyote kwenye Dowans Tanzania Limited wala haikuonesha kuwa wanaitambua kwa namna yoyote ile.
Kwa upande wa Afrika kampuni hiyo ya Portek Systems and Equipment ilikuwa inafanya kazi nchini Algeria kupitia kampuni ya Bejaia Mediterranean Terminals S.p.a. Portek, na kwamba ina asilimia 15 ya hisa kwenye kampuni moja tu ya kigeni nayo iko Phillipines.
Katika nyaraka za awali zilizowasilishwa bungeni na Kamati Teule ya Bunge, ilibainika kwamba Richmond ilikwenda kutafuta mwekezaji Afrika Kusini ambaye ingemuuzia mkataba wake wa kufua umeme.
Hivyo suala linalotajwa sasa la mkataba kuuzwa kwa kampuni ya Dowans ya Oman limeanza kusikika hivi majuzi baada ya upinzani wa asasi za kijamii, watu mashuhuri nchini, wabunge na wanasheria kupinga serikali kununua mitambo ya Dowans.
 
Huyu Sung Woo ukitafuta mtandaoni utawapata watano wenye jina kama hili, sasa sijui kati ya hawa watano yupi ndiye mmoja wa wamiliki wa Dowans
Sungwoo Hong

  • 5 of 5 profiles
  • <LI class="vcard hover">

    TitleSenior Software Engineer at Bristol-Myers SquibbDemographic infoGreater New York City Area | Information Technology and Services Current:Senior Software Engineer at Bristol-Myers Squibb Past😀irector at BT, VP at Credit Suisse, Senior Software Engineer at Qwest Communications, Development Manager at Hyundai Education:Yonsei University, Yonsei University Summary:&#8226; A senior program director who offers leadership and vision to large global teams &#8226; Strong experience in working with cross functional teams, ve...<LI class=vcard>Sungwoo Hong

    TitleStudent at Dublin Institute of TechnologyDemographic infoIreland | Construction Past:Site Engineer at Michel McNamara com Education:Trinity College, Dublin, Dublin Institute of Technology <LI class=vcard>Sungwoo Hong

    Title--Demographic infoLondon, United Kingdom | Telecommunications <LI class=vcard>Sungwoo Hong

    TitlePrincipal scientist at GSKDemographic infoGreater Philadelphia Area | Pharmaceuticals Current😛rincipal scientist at GSK <LI class=vcard>sungwoo hong

    Titleabc at abcDemographic infoKorea | Financial Services
 
Since when Board of Directors be the owners of the company.. that is a crap..

Jakaya na Ngeleja knows who is the really owner <<< Rostam Aziz>>>

If Brela had that information why didn't they say ever since we start complaining?? about a month now..

And this is very funny Bakari Malima said he doesn't know the owner, Ngeleja said he doesn't know the owner only to get the names from BRELA. Now what does this mean... even the case while it was decided in court in france no body from the government knew about that or wanted to know what is going on.

MY another big suprice why put pravite defencive attonery << Rex Attonery>>> while AG's office can stand for that kind of cases..Is the AG office only advice the Government of defend also the Government??????

What is realy the function on AG's office?
 
Wewe umechanganyikiwa na hujui kwa nini hii topiki imeanzishwa, hii ligi si ya kichangani. Wengi wa waliotajwa mwanzoni waliikana hii Dowans na hawakutaka kabisa kuhusishwa nayo. Ukienda kwenye profiles zao hata harufu ya Dowans hutaisikia na ni huyu Stanley peke yake ambaye yupo Tanzania na kuna ushahidi wa wazi kuwa anahusika kwani ndiye Mkurugenzi wa Fedha.

Kuna siri kubwa nyuma ya hizi kampuni za Richmond/Dowans kama ilivyo kwa dada yao mkubwa Kagoda na kigugumizi katika kutaja wamiliki wake kinatokana na Mkuu wa Kaya kuhusika. Baada ya bunge kuistukia Richmond, wahusika wakuu wakiongozwa na Jakaya Kikwete walisuka mpango wa zima moto wa kufuta nyayo zao wahusika na haraka haraka ikaingia Dowans.

Hukumu ya ICC juzi imemtaja aliyepewa nguvu za kisheria kuisimamia Dowans Tanzania, hii iliwezekanaje kama moja wa wakurugenzi wake alikuwa hapa hapa Tanzania kwa jina la Stanley Munai ? Kama ilivyo kawaida yao mafisadi ya wizi hadi kura, stakabadhi muhimu ziliporwa Brela na kuchakachuliwa na sasa tunaletewa majina haya baada ya kuyadai toka mwaka 2007.

Wenye majina hayo kama wapo tutawafuatilia kwani ukweli una tabia moja ya kukataa kuzikwa hata kama inachukua miezi. Wizi wa kura kubaki madarakani, utumiaji wa polisi kuua wazalendo wanaotafuta haki na udikteta, vyote havitaweza kuzima kiu ya wananchi kuufahamu ukweli - Andrew James Tice wa Canada, Gopalakrishnan Balachandran wa India na Mr Hon Sung Woo wa Singapore na Mr Sulaiman Mohamed Yahya Al Adawi wa Oman, tutawachimba hadi kieleweke.

Huyo Andrew James Tice ndo anayepatikana kwenye link hii Andrew James Tice - LinkedIn ama?
 
Mimi nina hakika kama huyo Al Adawi alivyoikana Dowans kama mmiliki wake, hawa wamiliki wengine wote kama wataweza kupatikana na kuhojiwa nao watairuka Dowans kama ni kampuni yao. Hapo ndipo itakuwa patashika nguo kuchanika kuhusiana na sakata hili la Dowans
 
Ama kweli wajinga ndio waliwao...
 
Picard Guy mke wa pembeni wake ni Mtanzania(Tribe Mchaga), anaitwa Picard Bahati Monyo

Kama kuna mtu ana taarifa ya huyu dada???? anaweza kutupa contact za MR Picard
 
Mlikuwa mnalia humu, mnataka kujuwa Dowans ni ya nani, leo mmewekewa wazi, bado mnalia! hata haya hamuoni? mnawaita wawekezaji mkishaingia nao mkataba mnataka muwazike? hivyo ni viwekezaji vidogo vya mitaani, miwekezaji kama hiyo iliyotajwa, inawekeza kimataifa huwezi ukaiingiza mjini. Utajuta.
hivi wewe na akili zako unaamini kwamba mimi siwezi kufungua kampuni nikasajili owners kama acid, zomba, rostam nk??

Hebu kua kidogo bana

kumbuka kuna mmoja alishaikana dowans jamani
 
I am not scared,

Yes I said it loud, NGELEJA can go and F@c& himself and so are those who he goes in bed with!

Can you believe this bull$hit of telling us tha tunawafahamu owners of Dowans?

The whole contract with Richmond was bogus and now unawadanganya Watanzania kwua you are going to pay Dowans half of the amount declared we should pay them by ICC? Really?

Does the Serikali of Tanzania think everyone is as dumb and stupid as most officials are?

Can they tell us when did the so called owners come to Tanzania to incorporate Dowans at Brela? Which country did these people reside and which Tanzanian embassy did they obtain their Visas from?

Can they show us the faces of these people so we can ask Interpol and other organizations to track them down for us?

Does Ngeleja being the spoke person of Serikali realizes that his admission of knowing these guys or true owners of Dowans is putting our Serikali in jeopardy for future lawsuits?

Who in the Ph@&^*g Serikali came to a conclusion that we can give Watanzania Vitumbua and they will have to eat them penda wasipende?

Yes, I am freakin pissed off and if anyone asks why Mchungaji you are cursing out, I will tell them to join mduara with Ngeleja and p@#& themselves.

Najua wengine ni madaboajenti, kawaambieni mabwana zenu of what I have said and I would simply say bring it on. Kama ya Arusha mnayaona ni trela, basi Sinema nzima na steringi watakuja ule mkao wa bwijampola!

Huu ni wizi wa mchana na ni sawa na mtu kuambiwa bon'goa halafu ukachezewa mchezo mbaya.

I can't believe these MOFOs can dare to pull this one, eti hawa ndio wamiliki wa Dowans na tutawalipa hizi shilingi!

I am moving to Mars, where there are no human beings but dust and some funny looking particles and matters that have better mental capacity than Serikali ya Tanzania!
 
since when board of directors be the owners of the company.. That is a crap..

Jakaya na ngeleja knows who is the really owner <<< rostam aziz>>>

if brela had that information why didn't they say ever since we start complaining?? About a month now..

And this is very funny bakari malima said he doesn't know the owner, ngeleja said he doesn't know the owner only to get the names from brela. Now what does this mean... Even the case while it was decided in court in france no body from the government knew about that or wanted to know what is going on.

My another big suprice why put pravite defencive attonery << rex attonery>>> while ag's office can stand for that kind of cases..is the ag office only advice the government of defend also the government??????

What is realy the function on ag's office?

kaka - walikaa hapa hapa na tujiulize, walilipwa na nani bili zao?
 
Wanasheria na ''lifting the veil''....Ngeleja ni mwanasheria kweli au kasoma sheria?
 
Back
Top Bottom