Mkuu yaani hizi zote ni danganya toto tu, the owner is still the same, the known and untouchable RA.
Samahani kama nitawakwaza lakini what is the way foward badala ya kuendelea kulalamika tunakwenda kutafuta haki yetu mahakamni au wapi kwingine na kwa staili gani?
Maana kupiga kelele pekee hakutasolve chochote!!
Hivi nani asiyejua kuwa Ngeleja analipa fadhila kwa Rostam Aziz kuhusu issue ya Dowans? Kwa wale wasiofahamu, Ngeleja alikuwa mfanyakazi wa Vodacom kama Mwanasheria na alipoamua kwenda kugombea ubunge Sengerema, gharama zote za kampeni zililipwa na Rostam.
Pili,Idris Rashid aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO alihakikisha kuwa mkataba kati ya TANESCO na Dowans lazima uwe ni wa upande mmoja (ie TANESCO ishindwe).Ikumbukwe kuwa Idris Rashid ni mbia kwenye kampuni ya Power Pool East Africa iiyopo Singida itakayozalisha umeme kwa kutumia upepo. Wabia (partners) wengine kwenye kampuni hiyo ni Rostam,Edward Lowassa, Mkuu wa Mkoa wa Singida Bw Parseko Kone, Bw Shamte na Mzungu Mmoja aliyekuwa anafanya kazi ubalozi wa Denmark.Kwa taarifa,Bw Harrison Mwakyembe alikuwa ni mmoja wa wabia katika kapuni hii ya Power Pool lakini aliharibu baada ya kuwamaliza Rostam na Lowassa kwenye issue ya Richmond na akaamu kujitoa.Pia ikumbukwe kuwa Bw Kone aliteuliwa kuwa RC wa Singida na Lowassa ili kusimamia mradi huo wa Power Pool kwa karibu.In short, Bw KOne ni kama Afisa Mradi huo.Kazi ya RC anafanya tu.
Mdau
Karamagi alikuwa ni fundi umeme wa kampuni ya saruji wazo hill. Alipopelekwa nje kusoma akarudi na kupandishwa cheo kuwa meneja wa masoko! Hapo mambo ndo yaliharibika! ALikuwa anamwaga cement, nondo, mabati kwa vigogo (JK et all). Yeye pia Karamagi alinunua magari fulani ya kubebea cement (vumbi) na yalikuwa yanatumiwa na kampuni mbalimbali kusafirishia cement! Watu walipiga sana kelele lakini wapi. Karamagi alizaa na mzungu! Kuna wakati binti wa kike wa karamagi alikuwa na msela na nikasikia kwamba mshua wake alikuwa anambania sna asile urojo na huyo jaa na amtokeo yake demu huyo alikunywa klorokwin (zaidi ya vidonge 30)!! bahati nzuri aliokoloewa na wanandugu na alipelekwa hospitali kwa matibabu! Baada ya hapo ili kulipa fadhira JK alimteua Karamagi kuwa mkuu wa kampeni zake wakati wa awamu yake ya kwanza na kilichotokea baadae mnakijua!!!Mawaziri wote wa Madini na Nishati wa siku za karibuni anateua Rostam:Yona=>Msabaha=>Karamagi=>Ngeleja
Wenye akili zetu tulishajua kuwa hiyo ndo basi tena...!Nimejaribu kusearch(google) kama ninaweza ipata compamy ya dowans siipati,
Mwenye kujua msaada please......