Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,152
Ziara ya wasanii wa filamu imeleta gumzo mjini hapa palemabinti wa filamu walipokuwa na muda mwingi kuwaliwaza wenyeji wao wabunge hasa baada ya mpambano mkali wamechi katiya wabunge na wasaanii hao
majira yausiku wa manane waziri wa nishati namadini mh william ngeleja alionekana katika club moja akila bata na msanii wa kimataifa aunt ezekiel huku begalake la kulia likiwa limepewa sapoti na waziri huyo
wawili hao wakiongozana na msanii jack bango ambae inasemekana alikuwa akitafuta mwenza wa kumpa kampani usiku huo
walitinga kiota hiko majira ya saa tisa ya usiku wambapo walijichanganya na wabunge wengine kula raha ya maisha
hata hivyo furaha hiyo za wabunge na wasaanii zimetokana na wenyeji kuwapa kampani ya upendo wa nguvu wageni wao na hivyo kuona kuhitimisha kwa kujivinjari pamoja.. Mbunge wa mvomeloo anos makalla nae alionyesh upendo wa wazi kwa kuwakaribisha baadhi ya mainti waliofika hapo baada ya kupata kilaji ...mmh saa tisa we mbunge wakafanye nini jamani??
Katika hali isiyokuwa ya kawaida wema sepetu amegoma kurudi na wenzake dar akidai atarudi kivyake..akiongea na waandishi wema amesema ammeamua kuendelea kula raha .hilo la kusema nimechanganya wabunge lako alikaririwa mwandishi wa habari hizi..msanii moja alipoulizwa alidai wema ameachwa hotelini kagoma kabisa kutoka ..hiki ni kituko cha pili kututokea kwa huyu wema cha kwanza tulishangaa tunaenda nae uwanjani aisee\
kufika uwanjani kuangalia tusimwone sijui alijificha wapi bana hata mimi sijui...tumekuja kumwona baada ya mechi tena mjini hata hivyo wamesema kwakuwa ni mtu mzima atarudi kwa muda wake ingawa katusaliti sijui nani kamchanganya
nyie wabunge nyie hizi poshio alizosema waziri mkuukugawa kwa wananchi ndio mmeanzia kugawa dodoma jamani
haya
kila lakheri