Waziri Ngeleja aingia club na Aunt Ezekiel usiku wa manane Dom

Huwa wanakesha baa/club alafu wanaamkia mjengoni

namkumbuka Mw.Nyerere akisema 'pale Uingereza waziri mmoja mdogo alionekana akipitapita mtaani na mama mmoja mpaka watu wakaanza minongono he ho ho,waziri yule akaamua kumuandikia waziri mkuu kuomba kujiuzulu lakini kwa jinsi alivyochukia wala hata hakumjibu,'kama ni uhuni nenda kafanye huko barabarani,duniani kote serikali zinaongozwa kwa miiko'R.I.P Mwl.Nyerere
Ni jana tu huko Sweden wazir kajiuzuru kwa ku over speed huku kwetu mmmmhhh
 
Wadada warembo wanaosoma UDOM wanazijua siri za baadhi ya WABUNGE,,,Kuna dada alisema kwamba aliwahi kuingia hotelin na mheshimiwa fulani,dada kavua kila kitu kumbe mbunge hawez kaz,dada akachukua pesa akasepa aliambulia kushikwashikwa tu.
 
Back
Top Bottom