Waziri Ngeleja aingia club na Aunt Ezekiel usiku wa manane Dom

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Ziara ya wasanii wa filamu imeleta gumzo mjini hapa palemabinti wa filamu walipokuwa na muda mwingi kuwaliwaza wenyeji wao wabunge hasa baada ya mpambano mkali wamechi katiya wabunge na wasaanii hao

majira yausiku wa manane waziri wa nishati namadini mh william ngeleja alionekana katika club moja akila bata na msanii wa kimataifa aunt ezekiel huku begalake la kulia likiwa limepewa sapoti na waziri huyo
wawili hao wakiongozana na msanii jack bango ambae inasemekana alikuwa akitafuta mwenza wa kumpa kampani usiku huo
walitinga kiota hiko majira ya saa tisa ya usiku wambapo walijichanganya na wabunge wengine kula raha ya maisha

hata hivyo furaha hiyo za wabunge na wasaanii zimetokana na wenyeji kuwapa kampani ya upendo wa nguvu wageni wao na hivyo kuona kuhitimisha kwa kujivinjari pamoja.. Mbunge wa mvomeloo anos makalla nae alionyesh upendo wa wazi kwa kuwakaribisha baadhi ya mainti waliofika hapo baada ya kupata kilaji ...mmh saa tisa we mbunge wakafanye nini jamani??

Katika hali isiyokuwa ya kawaida wema sepetu amegoma kurudi na wenzake dar akidai atarudi kivyake..akiongea na waandishi wema amesema ammeamua kuendelea kula raha .hilo la kusema nimechanganya wabunge lako alikaririwa mwandishi wa habari hizi..msanii moja alipoulizwa alidai wema ameachwa hotelini kagoma kabisa kutoka ..hiki ni kituko cha pili kututokea kwa huyu wema cha kwanza tulishangaa tunaenda nae uwanjani aisee\

kufika uwanjani kuangalia tusimwone sijui alijificha wapi bana hata mimi sijui...tumekuja kumwona baada ya mechi tena mjini hata hivyo wamesema kwakuwa ni mtu mzima atarudi kwa muda wake ingawa katusaliti sijui nani kamchanganya

nyie wabunge nyie hizi poshio alizosema waziri mkuukugawa kwa wananchi ndio mmeanzia kugawa dodoma jamani

haya
kila lakheri
 
Shame, ndo maana nchi haina umeme, this guy is so relaxed.
I wouldnt expect him to have funny to that exetent while country is in CRISISS.

yaani mtu akonde,anunenune tuu,aache kula mabata eti kwa vile nyie hamna umeme??mweee!
 
Kwenye hiyo club umeme haukukatika? Ningekuwa mm meneja wa hiyo Bar ningezima umeme kwa dakika 5 kuomboleza machungu ya mgao
 
Huwa wanakesha baa/club alafu wanaamkia mjengoni

namkumbuka Mw.Nyerere akisema 'pale Uingereza waziri mmoja mdogo alionekana akipitapita mtaani na mama mmoja mpaka watu wakaanza minongono he ho ho,waziri yule akaamua kumuandikia waziri mkuu kuomba kujiuzulu lakini kwa jinsi alivyochukia wala hata hakumjibu,'kama ni uhuni nenda kafanye huko barabarani,duniani kote serikali zinaongozwa kwa miiko'R.I.P Mwl.Nyerere
 
Huwa wanakesha baa/club alafu wanaamkia mjengoni

namkumbuka Mw.Nyerere akisema 'pale Uingereza waziri mmoja mdogo alionekana akipitapita mtaani na mama mmoja mpaka watu wakaanza minongono he ho ho,waziri yule akaamua kumuandikia waziri mkuu kuomba kujiuzulu lakini kwa jinsi alivyochukia wala hata hakumjibu,'kama ni uhuni nenda kafanye huko barabarani,duniani kote serikali zinaongozwa kwa miiko'R.I.P Mwl.Nyerere
The Quote from Mwalimu says it all and says it very well....We are the witness of moral decay from the very top. It is the team spirit to be "mtu wa totos" in the current government..When people were cheering the so called "Boys to Men" had not known that this is its manifestation. Disgusting!
 
Historia inaonyesha Mawaziri au viongozi wanaopenda sana anasa/kujirusha/starehe/etc hawafanikiwi kiutendaji. Hebu tujaribu kufanya analysis ya viongozi wanaoendekeza haya mambo utaone ukweli wa hii hypothesis....!! Coz hawana muda wa kufikiria maendeleo au ubunifu mmojawapo ni Ngeleja...
 
Yako mengi tu jamani mbona hilo dogo saaana, jambo moja la msingi ni kuwa tunahitaji mawaziri wawajibikaji tena kwa dhati kabisa, na sio hawa wababaishaji. Ndugu yangu ameenukuu kauli ya hayati Mwl Julius K Nyerere kuhusu waziri mpenda totoz huko ughaibuni, mkuu wake wa kazi aliamua kumwajibisha mara moja. Swala ni je ndugu jakaya anaweza kumwajibisha mtu mwenye scandal ya totoz endapo ameshindwa kuwachukulia hatua za kinidhamu watendaji wa serikali ambao imethibitkia kuwa ni wabovu kabisa?
 
Yako mengi tu jamani mbona hilo dogo saaana, jambo moja la msingi ni kuwa tunahitaji mawaziri wawajibikaji tena kwa dhati kabisa, na sio hawa wababaishaji. Ndugu yangu ameenukuu kauli ya hayati Mwl Julius K Nyerere kuhusu waziri mpenda totoz huko ughaibuni, mkuu wake wa kazi aliamua kumwajibisha mara moja. Swala ni je ndugu jakaya anaweza kumwajibisha mtu mwenye scandal ya totoz endapo ameshindwa kuwachukulia hatua za kinidhamu watendaji wa serikali ambao imethibitkia kuwa ni wabovu kabisa?<br>
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom