Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
- Thread starter
- #41
Nafikiri ifike wakati tuzomee kwa vitendo hii mijitu imeshazoea kuzomewa, haina aibu wala utu ila anyway Mungu ni mwema atajibu sala za wamwaminiao.
mkuu huu nimwanzo tu kwani kwa namna alivyokuwa anazomewa kwa ncheo chake ni aibu kubwa..na wana arusha walianza kwakuimba wimbo wataifa huku kwebye neno tz wanaweka chadema ikafatiwa na piipooz kisha zomea zomea kikafata..