OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,344
kama mimi ni muongo nifungiwe maisha jf..ninavideo nilijua kunawapuuzi kama wewe, watakao kanusha..
idondeshe kabisa mkuu kuwakata maneno!!
kama mimi ni muongo nifungiwe maisha jf..ninavideo nilijua kunawapuuzi kama wewe, watakao kanusha..
polisi wanahangaika na bomu tangu jana kama wameshindwa basi wamuulize lameck nchemba serial no...katika kuzimewa alikuwepo pia igp ambae nishemeji yake kikwete...[/Q
Nchimbi naye ni miongoni mwa majanga makubwa tuliyonayo kama Taifa, Hafai hata kuwa Baba wa Familia, i wonder walioamua kumtunuku Uwaziri wa wizara nyeti kama hii... sad to say!
Kwa bahati mbaya sana mnareport hizi habari kiushabiki mno.
JF ni jukwaa huru na wewe unaweza kuripoti bila ushabiki
Wambieni wajitahidi sana kuzomea make wameona hiyo ndiyo tiba tena ikibidi wajitahidi kila mtu wamzomee tu wasimzomee lema tu.yaani mtu mzima unatuambia eti nchimbi kazomewa kwa hiyo nchimbi alivyozomewa marehemu wamepona au mrusha bomu kapatikana halafu eti unafurahia nchimbi kazomewa,nyie vijana wa bavicha lema kawaambukiza tabia za ajabu haya hongereni kwa tabia mliyochagua.
Nchimbi naye ni miongoni mwa majanga makubwa tuliyonayo kama Taifa, Hafai hata kuwa Baba wa Familia, i wonder walioamua kumtunuku Uwaziri wa wizara nyeti kama hii... sad to say!
polisi wanahangaika na bomu tangu jana kama wameshindwa basi wamuulize lameck nchemba serial no...katika kuzimewa alikuwepo pia igp ambae nishemeji yake kikwete...
kama mimi ni muongo nifungiwe maisha jf..ninavideo nilijua kunawapuuzi kama wewe, watakao kanusha..
"Unawashwa unatafuta wa kukukuna" by mabumba!!Wambieni wajitahidi sana kuzomea make wameona hiyo ndiyo tiba tena ikibidi wajitahidi kila mtu wamzomee tu wasimzomee lema tu.yaani mtu mzima unatuambia eti nchimbi kazomewa kwa hiyo nchimbi alivyozomewa marehemu wamepona au mrusha bomu kapatikana halafu eti unafurahia nchimbi kazomewa,nyie vijana wa bavicha lema kawaambukiza
tabia za ajabu haya hongereni kwa tabia mliyochagua.
maana limetkea sehemu yenye ushabikiKwa bahati mbaya sana mnareport hizi habari kiushabiki mno.
Kati ya Mawaziri wa Kikwete ambao hawana la kufanya kuhusiana na majanga tunayoyapata ni hawa waziri wa kufika katika maeneno ya tukio na waziri wa kuunda tume kwa sana haya wazee wa Intelegensia
Kuna namna tofauti za kufikisha ujumbe... Hiyo ni mojawapoWambieni wajitahidi sana kuzomea make wameona hiyo ndiyo tiba tena ikibidi wajitahidi kila mtu wamzomee tu wasimzomee lema tu.yaani mtu mzima unatuambia eti nchimbi kazomewa kwa hiyo nchimbi alivyozomewa marehemu wamepona au mrusha bomu kapatikana halafu eti unafurahia nchimbi kazomewa,nyie vijana wa bavicha lema kawaambukiza tabia za ajabu haya hongereni kwa tabia mliyochagua.