Waziri Nchimbi, Mulongo wazomewa viwanja vya Soweto - Arusha

Waziri Nchimbi, Mulongo wazomewa viwanja vya Soweto - Arusha

Mimi Arushaone nikiwa na akili zangu, nimeshuhudia WMN Nchimbi, IGP Mwema, na RC Mulongo mbele ya makamanda Mungi na Crashwise wakizomewa na wananchi!!!

mkuu ukibisha na hawa jamaa utaonekana mwehu.....ni wapuuzi wa kuupuzwa kwa wanabishana na reality...
 
Last edited by a moderator:
nikimwona nchimbi nareflect maisha ya watu wa songea. hiv hamna kabisa mtu mwenye akili kidogo wa kuwaongoza?
 
Wambieni wajitahidi sana kuzomea make wameona hiyo ndiyo tiba tena ikibidi wajitahidi kila mtu wamzomee tu wasimzomee lema tu.yaani mtu mzima unatuambia eti nchimbi kazomewa kwa hiyo nchimbi alivyozomewa marehemu wamepona au mrusha bomu kapatikana halafu eti unafurahia nchimbi kazomewa,nyie vijana wa bavicha lema kawaambukiza tabia za ajabu haya hongereni kwa tabia mliyochagua.

we toa ushamba na ID yako fake,si uweke jina lako tukutambue kama kweli we ni wa SIMIYU
 
tusipoangalia tunaelekea pabayaa,kwann ha2jifunz outcomes za vyama,malumbano,ugomv na vitaa frm others cantrz as congo,nigeria,somalia,sudan,libya,syria,afganstan,hee!,hv maskio tunayo jaman hata kuskia,na macho 2nayo huu upofu umetoka waap,
 
wambieni wajitahidi sana kuzomea make wameona hiyo ndiyo tiba tena ikibidi wajitahidi kila mtu wamzomee tu wasimzomee lema tu.yaani mtu mzima unatuambia eti nchimbi kazomewa kwa hiyo nchimbi alivyozomewa marehemu wamepona au mrusha bomu kapatikana halafu eti unafurahia nchimbi kazomewa,nyie vijana wa bavicha lema kawaambukiza tabia za ajabu haya hongereni kwa tabia mliyochagua.

mnyantuzu mjinga wa kwanza
 
Wambieni wajitahidi sana kuzomea make wameona hiyo ndiyo tiba tena ikibidi wajitahidi kila mtu wamzomee tu wasimzomee lema tu.yaani mtu mzima unatuambia eti nchimbi kazomewa kwa hiyo nchimbi alivyozomewa marehemu wamepona au mrusha bomu kapatikana halafu eti unafurahia nchimbi kazomewa,nyie vijana wa bavicha lema kawaambukiza tabia za ajabu haya hongereni kwa tabia mliyochagua.

Zipo njia nyingi za kufikisha ujumbe kwa viongozi wanaowajibika kwa wananchi ili kuwafikishia ujumbe,jitahidi kufikiri zaidi na ni bora wanao zomea kuliko wanaoua.
 
JK akishiriki haya mazishi nameza mkuki mbele yake. Labda awe na akili kama ya mwendawazimu.
Copy kwa Mwigulu Nchemba, the killer
 
Back
Top Bottom