Salamu za mapinduzi kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

Sep 13, 2016
49
23
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) tunaungana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, na Watanzania wote, kuadhimisha MIAKA 60 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

#tcratz #mapinduzizanzibar #miaka60yamapinduzizanzibar #kaziiendelee

IMG-20240112-WA0044.jpg
 
Back
Top Bottom