Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,333
- 24,224
Mkuu Kenya tupende tusipende hatuwezi kuikwepa kibiashara. Kenya ndio nchi ya pili kwa ukubwa wa biashara na Tanzania.
Hivyo tuyalee mahusiano hayo.
Sasa mkuu ndege imeshindwa kuja bongo kisa hali ya hewa unataka wizara ya mambo ya nje ifanye nini? Kuna diplomasia ya kutuliza hali ya hewa? Au kenya kuzuia watanzania kufika kwao kisa corona ni swala la kiafya hilo na wako sahihi tu, ili tusiambukizane corona yafaa kila mtu abakie nchini kwao. Sasa kuna diplomasia gani hapo inahitajika katika corona na muingiliano wa watu?
Ndege kuzuiwa kufika ni swala la wizara ya uchukuzi hilo. Na hiyo ni hatua kulingana na janga hili la corona. Kenya ipo corona sana sasa waje huku watuletee corona? Au watoke na corona huku? Na pia kwa nini imekataza vibali vya ndege zetu kutua kwao wakati zao zinakuja kwetu? Hili mamlaka za usafiri wa anga wamalizane wenyewe.
Labda ukubwa wa kutuletea mirungi.lkn bidhaa zote zilizokua tunategemea kutoka Kenya kwa sasa tunaviwanda vinazalisha hapa TZ na baadhi zinatoka China.Mkuu Kenya tupende tusipende hatuwezi kuikwepa kibiashara.
Kenha ndio nchi ya pili kwa ukubwa wa biashara na Tanzania.
Hivyo tuyalee mahusiano hayo.
Wakenya huwa wanakuja kununua sna mazao tz, na Bidhaa zingine, tukipigana pini wote tutaumiaLabda ukubwa wa kutuletea mirungi.lkn bidhaa zote zilizokua tunategemea kutoka Kenya kwa sasa tunaviwanda vinazalisha hapa TZ na baadhi zinatoka China.
Tuliokuwepo miaka ya Iddi Amin mambo yalianza na masuala ya kijinga tu.
Mwisho wake tuliona nani waliumia-wananchi pande zote.
Yap,umesema kweli tunategemeana tena sana tu.sema hawa jamaa wanajiona wao ni europe africa bahati mbaya.Wakenya huwa wanakuja kununua sna mazao tz
Na Bidhaa zingine, tukipigana pini wote tutaumia
Ova
Mtema mateWaziri wa hiyo wizara huwa anaongea bila tashwishwi na hatumii tashbihi zilizo na mangwaji.
Mwenda tezi na omo, marejeo ngamani