Mkuu Kenya tupende tusipende hatuwezi kuikwepa kibiashara.
Kenha ndio nchi ya pili kwa ukubwa wa biashara na Tanzania.
Hivyo tuyalee mahusiano hayo.
Tuyalee mahusiano kwa kukubali kukanyagwa kichwani na wakenya?!
Mkuu Kenya tupende tusipende hatuwezi kuikwepa kibiashara.
Kenha ndio nchi ya pili kwa ukubwa wa biashara na Tanzania.
Hivyo tuyalee mahusiano hayo.
Mkuu Kenya tupende tusipende hatuwezi kuikwepa kibiashara. Kenya ndio nchi ya pili kwa ukubwa wa biashara na Tanzania.
Hivyo tuyalee mahusiano hayo.
Hii nchi ina endeshwa kama mgahawa wa mama ntilie. Badala viongozi kufuata diplomasia wana fuata hisia binafsi. Kwamba kama huyu kafanya hivi na mimi nafanya hivi. Ndii raha ya maprof wa halalani.Yanayoendelea katika mahusiano kati ya Kenya na Tanzania kwa sasa hivi hanasikitisha. Kenya ni jirani yetu na jirani ni ndugu.
Hivyo basi, matukio matatu ya haraka haraka yaliyotokea yanatushangaza. Kwanza ndege ya ujumbe wa Kenya ili rudi au kurudishwa Nairobi hivi majuzi.
Ndege hii ilikuwa na ujumbe wa viongozi waliokuwa wanakuja kuaga na kuhani msiba wa Mzee Mkapa.
Pili, Kenya iliondoa ukaribisho kwa Watanzania, kati ya nchi nyingi, kwenda Kenya ati kutokana na janga la Korona.
Tatu, leo Tanzania kwa kulipiza kisasi imeondoa ruksa ya ndege za Kenya, KQ kutua Tanzania toka tarehe 1 Agosti, yaani kesho.
Sasa hapa napata wasi wasi juu ya ukaribu na mfululizo wa matukio haya.
Je, hakuna hotline kati ya wizara za nje kati ya Kenya na Tanzania?
Kweli watu wanafanya kazi zao kwa weledi hadi mambo yatokee hadharani na kuzivunjia heshima nchi zote mbili?
Mimi nayachukulia masuala haya kama failure in Diplomacy, na watu inabidi wawajibishwe.
Usichukulie poa sana ,huwajui wakenya wewe ,hivi katika mazingira ya kawaida nani huanza kuchokoza mwenzake?,rejea kwenye upimaji.wa madereva, lilishughulikiwa,ghafla jirani yako anaruhusu ndege za uganda ,Rwanda wewe anakuruka unafikiri ni sawa ?,acheni lawama zisizo na msingi ,mkosefu mkuu hapa ni Kenya tena anafanya makusudi kabisa ,tubembeleze nini?,ikiwa anataka kuharibu biashara yetu ya utalii?Yanayoendelea katika mahusiano kati ya Kenya na Tanzania kwa sasa hivi hanasikitisha. Kenya ni jirani yetu na jirani ni ndugu.
Hivyo basi, matukio matatu ya haraka haraka yaliyotokea yanatushangaza. Kwanza ndege ya ujumbe wa Kenya ili rudi au kurudishwa Nairobi hivi majuzi.
Ndege hii ilikuwa na ujumbe wa viongozi waliokuwa wanakuja kuaga na kuhani msiba wa Mzee Mkapa.
Pili, Kenya iliondoa ukaribisho kwa Watanzania, kati ya nchi nyingi, kwenda Kenya ati kutokana na janga la Korona.
Tatu, leo Tanzania kwa kulipiza kisasi imeondoa ruksa ya ndege za Kenya, KQ kutua Tanzania toka tarehe 1 Agosti, yaani kesho.
Sasa hapa napata wasi wasi juu ya ukaribu na mfululizo wa matukio haya.
Je, hakuna hotline kati ya wizara za nje kati ya Kenya na Tanzania?
Kweli watu wanafanya kazi zao kwa weledi hadi mambo yatokee hadharani na kuzivunjia heshima nchi zote mbili?
Mimi nayachukulia masuala haya kama failure in Diplomacy, na watu inabidi wawajibishwe.
Litakuwa suala la kusikitisha sana kwa majirani kufarakana.Jidu La Mabambasi,
Wakina Mkapa, Museveni na Mzee Moi wali revive East African Community, ila kwa huyu jamaa tuliyenaye ipo siku atatangaza Tz imejitoa kwenye hiyo community.
Mawazo ya kijima yasiyojenga umoja na ushirikiano kati ya majirani.Mkuu Air Tanzania ina routes z Kenya?Tuanzie hapo.Kama hakuna wanajisemesha nini sasaa.Hawa kuwadharau Tz hatupeleki hata Mgambo,tunafanya Ujirani mwema na Alshabaab kwa wiki moja tu inatosha.Tz tushapigana sana saa hivi tunajenga Nchi.Uhuru wao Kenya wenyewe kuna Voice ya Tanzania.
Unategemea nini kutoka kwa Kabudi? Hana uzoefu wowote wa diplomasia.
Kwa takwimu fekiMkuu Kenya tupende tusipende hatuwezi kuikwepa kibiashara. Kenya ndio nchi ya pili kwa ukubwa wa biashara na Tanzania.
Hivyo tuyalee mahusiano hayo.
Tanzania exports, imports and trade balance By Country. In 2018, Tanzania major trading partner countries for exports were Rwanda, Kenya, Congo, Dem. Rep., Zambia and Uganda and for imports they were China, India, United Arab Emirates, Saudi Arabia and South Africa.Hii ndio naisikia leo! Nina hakika utakuwa unadanganya.
Mkuu 'Jidu La Mabambasi', unao ushahidi wa kuonyesha kwamba "Kenya ndio nchi ya pili kwa ukubwa wa biashara na Tanzania"?
Kenya wakiuza sana hapa kwetu sio zaidi ya $600 kwa mwaka. Biskuti, Icecream, maziwa, na mara moja moja mali za viwandani kama madawa havijawahi kupandisha biashara kuwa kubwa sana toka kwao. Sisi hatununui maua, mbogamboga toka huko.
Sisi hata hiyo $300 milioni haijawahi tokea. Mahindi yetu, vitunguu, maharage - hatuuzi dhahabu huko, na wala hatupati watalii wengi tokea pande hizo.
Sasa sijui ukubwa upi wa uchumi kati ya hizi nchi mbili unaouzungumzia!
Kwa takwimu feki
Main Customers (% of Exports) | 2018 |
Rwanda | 18.7% |
Kenya | 9.2% |
Zambia | 7.3% |
Uganda | 5.3% |
United States | 4.1% |
See More Countries | 55.4% |
Precision air huwa wana route ya Kenya karibu kila siku. Kuzuia ndege haina maana ni ATC pekee; licha ya precision air; kuna chattered airlines (hizi ni ndege za kukodi kama taxi) ambazo husafirisha watu binafsi husan watalii ambao wangependa kuingia +254 tokea Tanzania.Sema hawajui pia anachokitaka boss wao
PointSasa mkuu ndege imeshindwa kuja bongo kisa hali ya hewa unataka wizara ya mambo ya nje ifanye nini? Kuna diplomasia ya kutuliza hali ya hewa? Au kenya kuzuia watanzania kufika kwao kisa corona ni swala la kiafya hilo na wako sahihi tu, ili tusiambukizane corona yafaa kila mtu abakie nchini kwao. Sasa kuna diplomasia gani hapo inahitajika katika corona na muingiliano wa watu?
Ndege kuzuiwa kufika ni swala la wizara ya uchukuzi hilo. Na hiyo ni hatua kulingana na janga hili la corona. Kenya ipo corona sana sasa waje huku watuletee corona? Au watoke na corona huku? Na pia kwa nini imekataza vibali vya ndege zetu kutua kwao wakati zao zinakuja kwetu? Hili mamlaka za usafiri wa anga wamalizane wenyewe.
Jibu hoja a cha story za NduliTuliokuwepo miaka ya Iddi Amin mambo yalianza na masuala ya kijinga tu. Mwisho wake tuliona nani waliumia-wananchi pande zote.
Tuyalee mahusiano kwa kukubali kukanyagwa kichwani na wakenya?!
Jibu hoja a cha story za Nduli
Ukubwa jinga wao usitufanye watupande vichwani mwetu, Tz ni Taifa huru na maendeleo yetu yanawategemea sana watanzania wenyewe na si hao vibaraka,waendelee tu na upuuzi wao tuone nani atakayeloose zaidi.
Yanayoendelea katika mahusiano kati ya Kenya na Tanzania kwa sasa hivi hanasikitisha. Kenya ni jirani yetu na jirani ni ndugu.