Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 2,557
- 3,001
wizi na ufisadi mwengne huo.
Nilisha sema huu mradi wa SGR, lazima utakuja hujumiwa na wahuni hasa wenye makampuni ya malori na mabasi, ni swala lq mda na mikakati inaanza,Mwigulu Nchemba amependekeza kwenye sheria mpya ya manunuzi serikali inunue ndege, vichwa vya treni, mabehewa ya treni, meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya, na wabunge wanasherehekea bungeni kwa nguvu sana.
Yani baada ya vichwa vya treni mitumba kukosolewa na wananchi kwa nguvu sana, ubunifu wa Mwigulu Nchemba ni kutunga sheria ya mitumba ili muache kukosoa!!!
Wanashangilia kwa sababu hiyo sheria itawaumiza watu wa kawaida. Wao si wataendelea kununua zile V8 VXR zao zenye 0 km!!, suti zao brand new from Italy!
Au hiyo sheria pia itaruhusu na wenyewe kununua magari mikweche kama haya ya kwetu? Maana hao watu hawajawahi kuwa na faida kwa taifa. Ubinafsi ndiyo umewajaa.
Inasikitisha sana taifa lenye utajiri wa kutisha kutunga sheria ya kulazimisha kununua mitumba.
Waaligiza bure ww masihi dajaal ,halafu ukome kuniqoute, ww mtetezi wa deni hatakama nchi inaelekea shimoniHapana, semeni kweli.
Yale mabehewa yaliagizwa na kampuni ya kihindi Iliyopewa kuendesha reli ya kati, kikwete kuwastukia na kuwatema, mabehewa yalipofika bandarini wao hawapo yakakosa mwenyewe.
Ndo mwislaam mwenzetu shekhati saa100 ndo amebariki ,tabia ya kumpinga mwislamu mwenzako umeianza liniBaada ya kusikiliza mswada na uchangiaji wa wabunge, binafsi siafiki kabisa ununuwaji wa mitumba. Tunajidharaulisha sana kama nchi.
Bogus kifungu kabisa, hicho cha mitumba. Ujinga wa hali ya juu.
Hapo ndo ujue tuna serikali ya ajabu ,halafu wanajifanya wazalendoSheria ya upigaji, ni jinsi Gani uta thaminisha kilicho tumika na kitu kingine maana kutumika kuna weza kuwa miaka mitatu lakini kilometa zikatofautiana. N.k na kina Maisha miaka mingapi baada ya hapo
Hakuna namna nchi ya kipuuzi snInasikitisha sana
Unadhani Mama hauhusiki na haya mapendekezo?Niliwahi kuandika hivi kuhusu Mwigulu:
Mwigulu ni kati ya Mawaziri wa Fedha wabovu kuwahi kutokea Tanzania
Kwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha. Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake. Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri. Hata jinsi alivyowakilisha...www.jamiiforums.com
Na kwa sababu ni mwislam ndo maana huwa anajizima data ,mwigukiwa angeitwa hamza mwiguili ally kwa kusingekuwa na kasoroUnadhani Mama hauhusiki na haya mapendekezo?
Unadhani Baraza la Mawaziri halijajadili na kuridhia mapendekezo haya kabla ya kupelekwa Bungeni?
Salam comrades,Mwigulu Nchemba amependekeza kwenye sheria mpya ya manunuzi serikali inunue ndege, vichwa vya treni, mabehewa ya treni, meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya, na wabunge wanasherehekea bungeni kwa nguvu sana.
Yani baada ya vichwa vya treni mitumba kukosolewa na wananchi kwa nguvu sana, ubunifu wa Mwigulu Nchemba ni kutunga sheria ya mitumba ili muache kukosoa!!!
Wanashangilia kwa sababu hiyo sheria itawaumiza watu wa kawaida. Wao si wataendelea kununua zile V8 VXR zao zenye 0 km!!, suti zao brand new from Italy!
Au hiyo sheria pia itaruhusu na wenyewe kununua magari mikweche kama haya ya kwetu? Maana hao watu hawajawahi kuwa na faida kwa taifa. Ubinafsi ndiyo umewajaa.
Inasikitisha sana taifa lenye utajiri wa kutisha kutunga sheria ya kulazimisha kununua mitumba.
Salam comrades,
Asanten kwa mijadala critical na yenye tija kwa Nchi yetu.
Naomba kutoa ufafanuzi moja hata kama ni kwenye kichwa cha Thread.
SIJAPENDEKEZA SHERIA MPYA YA SERIKALI KUNUNUA VITU VILIVYOTUMIKA. Hii ilikwepo kwenye Sheria ya Zaman ambayo tumeiandika upya someni kifungu cha 65B na 66 cha Sheria iliyomaliza muda.
Kwenye Sheria mpya pia Sikupendekeza kuifuta, NILIPENDEKEZA KIFUNGU KIDOGO CHA KUNIWEZESHA KUTUNGA KANUNI ZA KUWEKA UTARATIBU MZURI WA KUTOKUINGIZA BIDHAA ZILIZOTUMIKA BILA KUUNDA KAMATI AU NODI YA WATAALAM KUVIANGALIA KITAALAM VITU HIVYO.
Labda ningelaumiwa kuwa nyongeza hii haitoshi au ningelaumiwa kwa kuiacha bila kuifuta 😂