Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,967
- 11,212
Kila siku tunaonyeshwa wazalishaji wa ndani mikoa ya Mbeya, Singida na jana Jenista Mhagama sijui alikuwa wapi huko kwenye kiwanda ambacho NSSF wamewekeza; wazalishaji wote wanadai shida ni zao la alizeti kuaribika kutokana na mvua nyingi zilizonyesha msimu uliopita na kupelekea upungufu wa mbegu. Kutokana na minimum production cost zao lazima bidhaa ipande it makes sense.
Huyu yeye facts zake kazitoa wapi watu wakisema waangalie trend ya bei ya mafuta ya kupikia ushahidi huo upo kweli. Alipoteuliwa wanaomjua walisema jamaa tia maji tia maji kweli; kama vile anaanza kutudhihirishia na wengine.