EWURA: Soko la Mafuta liko Wazi hivyo Wafanyabiashara hujua Mapema kama Bei itapanda na kuamua kuficha Mafuta

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,120
Msemaji wa EWURA amesema wataendelea kuvifungia Vituo vinavyoficha Mafuta kwa minajili ya kujipatia faida kubwa bei zikibadilika

EWURA wamesema Soko la Mafuta liko Wazi hivyo Wafanyabiashara hujua Mapema kama Bei itapanda japo hawajui itakuwa kiasi gani hadi kwa nukta

EWURA imetoa Onyo kwa yeyote atakayejaribu kuficha Mafuta chamoto atakiona kwani wanajua mbinu zao zote ikiwemo magari ya kusafirisha Mafuta kutumia siku zaidi ya 10 kutoka Dar hadi hapo Morogoro kwa mfano

Kaguo amesema hayo alipozungumza na Waandishi wa Habari
 
Waache ujinga wao wenyewe wana maslahi humo, waorodheshe vituo walivyowahi kuvifungia tuone kama vituo vya wakubwa vimo
 
Msemaji wa EWURA amesema wataendelea kuvifungia Vituo vinavyoficha Mafuta kwa minajili ya kujipatia faida kubwa bei zikibadilika

EWURA wamesema Soko la Mafuta liko Wazi hivyo Wafanyabiashara hujua Mapema kama Bei itapanda japo hawajui itakuwa kiasi gani hadi kwa nukta

EWURA imetoa Onyo kwa yeyote atakayejaribu kuficha Mafuta chamoto atakiona kwani wanajua mbinu zao zote ikiwemo magari ya kusafirisha Mafuta kutumia siku zaidi ya 10 kutoka Dar hadi hapo Morogoro kwa mfano

Kaguo amesema hayo alipozungumza na Waandishi wa Habari
So, who is to blame for not having an electronic monitoring system to monitor fuel reserves in the tanks of fuel dealers?
 
Hii msg inatuandaa kisakolojia,mafuta yatapanda tena!!!!
hatujasema mpaka tuseme.
Huu mwaka mafuta yatazidi panda sanaaaa,
Tazama Saudi na Russia kila siku wanapunguza uzalishaji ili kumaintain price,
Umoja kati ya Russia na Saudi Arabia ni mbaya sana kwa bei ya mafuta, mafuta saizi yanacheza $95 na wanadai wataendelea kupunguza uzalishaji
 
Back
Top Bottom