Waziri Mwakyembe na BASATA ongezeni umakini. Msanii Young Dee anawazidi akili na anachochea ujinga

Lada hujaskiza wimbo,
Wimbo ni mzuri sana ase.sasa kam unatak,kuwa basata uufungie...
 
Mziki sio lazima uelimishe sometime burudani..mbnaa jayz anasema forever young nawe unaimbaaa c utapta zal la kufa kijanaa..mwach mshkj atafte maisha wasikilizj wajinga ndo watamnsha kinachsem....nb cjkuita mjnga nmnsga hao ulosema
 
Patriotism?Acha aimbe chochote.Kuimba nyimbo za uzarendo hakuwezi kuwageuza vijana kuwa wazarendo kama hawakufundishwa uzalalendo mashuleni.
 
  • Thanks
Reactions: rbt
Ni kweli tupo bongo bahati mbaya. Mpaka sasa kakataa kuajiri. Unafikiri mtu atakuwa mzalendo?
Kiukweli, siwezi kuwa mzalendo kwa nchi inayoitwa Tanzania.
Nimefurahi sana tena sana kwa timu za Tanzania kutolewa kwenye mashindano ya mpira. nimefurahi sana Tanzania kudraw leo. naomba ifungwe tu. Timu ovyo ovyo sana. Wachezaji wale wale kila siku. na sasa hivi timu nzima wanamtegemea Samata. shit! warudi kwanza wajinoe ndiyo waende kushiriki. wachezaji wenyewe walio wengi wanatoka simba na yanga,
 
Infantry Soldier,

Ni ukweli uliowazi kuwa tuko Bongo Kwa bahati mbaya sana
Mani anatamani kuwa ktk taiga ovu kama lile?
Mani anahtaji kuwa chini ya maigizo kama Haya?
Nani anahtaji kuona Yuki chini ya watu wasio haki kama hawa?
 
Ni kweli umenena ndugu.unajua hata moyo wa uzalendo hujengwa kw gharama kubwa.hawa vijana tukiwaruhusu wafanye wanachotaka kw mgongo wa demokrasia!!TUTAKUJA KUJUTA. Unajua kuna vijana wa miaka ya 98 na 2000 hawajui hii nchi imetoka wp.
 
Ndgu wana jamii foram.hebu nipen jibu.hivi tanzania tuna vyama vingi au kuna vurugu nyingi tu.maake mie sioni chochote kinachofanyika.
 
Back
Top Bottom