Waziri Mwakyembe akipiga “nyungu” iliyoboreshwa

Anaenda Na Midundo Kulinda Kibarua.

Katiba Ya Kimungu Mtu Imetujengea Taifa La Kinafiki Na Kujikombakomba Kwa Mtu Mmoja In The Name Of Teuzi
 
hata wanaoponda hapa ndo hao hao wanaoenda kupikwa nyungu kwa sangoma na hawaoni kama zinamadhara... na kwa akili hizi acha waendelee tuita manyani na mashimo ya choo coz hatujielewi, yaani tunahalalisha madhara yapatikanayo kwa vidonge kisa tu wametengeneza wazungu bt nyungu tunazipga vita kisa ni tiba ya kiafrika, nimeamini kuna watu wamejaliwa vipaji vya upumbavu vichwani mwao
 
Jinga linanata tu na biti si mtaalamu Ngungulile kasema hivo haifai mmemfukuza?
 
Back
Top Bottom