Wapo watu wanaopinga uwepo wa Mungu na wengine wanakubali uwepo wake, kwa ninyi mnaopinga hebu tuassume Mungu yupo na mnisaidie kuuliza hawa watu wa hizi imani ni reference gani huru kutoka kwa Mungu wanatumia kusema au kuthibitisha pasipo na shaka kuwa vitabu vya Biblia na Quran ni vya Mungu mwenyewe na si kazi ya ubunifu kutoka katika vinywa vya watunzi wenyewe.
Kupitia hizo reference huru tutaweza kujua lipi si neno la Mungu.
Mfano ikitokea waziri na naibu waziri wote wanatoa nyaraka tofauti wakidai ni ujumbe kutoka kwa Rais kwenda kwa wananchi, ili uweze kujua ni yupi kati yao mwenye ujumbe wa Rais lazima utumie reference huru kung'amua ikiwemo Rais mwenyewe kuondoa hiyo sintofahamu.
Sent using Jamii Forums mobile app