Waziri Mwakyembe akipiga “nyungu” iliyoboreshwa

Vyoo vingine unaweza hata kula chakula mkuu usikariri na choo unachotumia ww

Sent using Jamii Forums mobile app
Elewa swali mkuu ,nimeuliza kwanini amefanyia nyungu chooni? Kwanini asingefanyia kwenye special room kwa ajili ya sauna? Mbona kuna vyumba vingine vichafu zaidi ya vyoo vya stand? Hapa tunazungumzia Logic ya kufanyia nyungu pembeni ya choo au kufanyia nyungu chooni hatuzungumzii usafi au uchafu wa choo au chumba.
 
Hiyo steam treatment (steam yenye dawa kama za majani yaliyochemshwa) inadharauliwa na wenye mawazo ya kukanyagwa. Ingekuwa imetokea Ulaya ungekuta saa hizi inaheshimiwa sana.

Acheni ulimbukeni. Usichukie kitu kutokana tu na inferiority complex uliyojijengea. Jikomboe.
Usipaniki sister.

Fikiria dunia bila "WINDOWS" kwa 24hrs itakuaje?

Tumia kiberiti kuwasha moto wewe sio zinja kupekecha mamiti ili yatoe moto.
 
Anaenda Na Midundo Kulinda Kibarua.

Katiba Ya Kimungu Mtu Imetujengea Taifa La Kinafiki Na Kujikombakomba Kwa Mtu Mmoja In The Name Of Teuzi

Wamekaa kinafiki nafiki na kiuoga uoga tu, nimejiuliza sana kwanini hao majamaa wamempigia makofi? Yaani amefanya nini hadi apigiwe makofi!
 
Kaingizia na kionjo cha kumpongeza JP kwa SGRR, Utumwa hautaisha kama inzi flani hivi mpya Bia yetu pale lumumba
 
Back
Top Bottom