Naomba kujua je upo uwezekano wa kulipa kupitia control number ya serikali na pesa zisifike hazina?
Mwezi wa pili nilifanya malipo kupitia control number ya serikali lakini bahati mbaya pesa ilikatwa benki na ilionekana bado haijaingia hazina.
Niliamua kulipa tena kwa njia nyingine sio benki, ndipo ujumbe ukaja kwamba nimefanikiwa kulipia.
Kwa changamoto hii,je ni nani alichukua pesa yangu serikali ama benki?
Benki nimeandika barua kuomba pesa irudi lakini ni miezi miwili pesa hiyo bado haijarudi.
Ni nani hasa hapa anashikilia pesa yangu? Inaonesha ikiwa watumishi wasio waaminifu wataamua kuiba kielectronic hatuna mahali pa kulalamika.
Nani nimdai pesa yangu
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app