Waziri Mwakyembe akipiga “nyungu” iliyoboreshwa

Hiyo steam treatment (steam yenye dawa kama za majani yaliyochemshwa) inadharauliwa na wenye mawazo ya kukanyagwa. Ingekuwa imetokea Ulaya ungekuta saa hizi inaheshimiwa sana.

Acheni ulimbukeni. Usichukie kitu kutokana tu na inferiority complex uliyojijengea. Jikomboe.
 
Dokta Faustine Ndugulile: ‘kujifukiza kunaunguza njia za hewa’

RIP Ndassa, Dr. Mahiga
 
Duuu.Do not trust anybody nowadays!! Si amini kama mheshimiwa alifanya hivyo ili clip hiyo irushwe mtandaoni.!!where is the privacy?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom