Waziri Mwakyembe akipiga “nyungu” iliyoboreshwa

Hatuwezi kushangaa maana hata wakti wa Kikombe Cha BABU LOLIONDO most of all Ministers (CCM Government) including Magufuli himself paid a visit to LOLIONDO for a cup....!!!
 
Dokta Faustine Ndugulile: ‘kujifukiza kunaunguza njia za hewa’

RIP Ndassa, Dr. Mahiga

Is Dr Ndungulile an authority on kujifukizia? Kama kuna ambao hii tiba haikuwasaidia, basi hiyo ni uthibitisho kwamba hii tiba sio nzuri? Kesho ukiambiwa kuna mtu katibu malaria kwa chloroquine lakini bado akafa, utaamua kwamba hiyo dawa haitibu malaria?
 
Ni mwaka wa uchaguzi huu tutashuhudia kila Aina ya uganga tena hadharani kama style hiyo ya kupiga nyungu
 
Tiba yoyote kama inaponya itumie. Acha kuwa mtumwa wa hiari wa mabeberu. Kabla ya hizo tiba za wazungu mababu zetu walipona kwa tiba za miti shamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ndivyo uaminivyo kwanini basi wafanye hivi wakati huu tu wa corona?? Mbona kabla ya anga kufungwa kutokana na janga hili walikuwa wakikimbilia India na wengine kwa Mabeberu?? Kwanini wasingeokoa gharama kubwa kwa kujitibia tu hapa nchini kwa tiba asili??

Akili yako haina uwezo wa kuchuja. Kwani umeambiwa kujifukiza kunatibu aina zote za magonjwa?

Elimu elimu elimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom