Waziri Mulamula: Tanzania kuanza kununua magari Rwanda

Ni kweli mkuu mpaka kibali toka huko na kipate Baraka toka wilaya, mkoa ndiyo huko, kijana kusafiri nje uweke bond ya 30000.00 mshahara 400.00 au 560. 00 BOND YA 30000.00 UTAIWEZA?
 
Huu Sasa usengehh mniwie radhi wakuu! Yaani hako ka kitongoji katuuzie magari na huyu Bibi kakubali badala na yeye atafute wawekezaji?

Ndiyo kufungua nchi Huku?
Huyu mama hakupaswa kuwa hata naibu waziri kabisa!
 
Hivi Dubai Wana madini?

Kwanini Wana mtambo wa kuchenjulia madini?

Wao wanatemeaa kupata madini kutoka wapi kwa ajili ya hizo mitambo yao?
 
NCHI HII IMELAANIWA..!
Wakati Rwanda wako busy wanatengeneza magari, sisi Tanzania viongozi wanawaza jinsi ya kudhibiti Chadema, kukamata na kubambikia wapinzani kesi, na kuvamia vikao vya ndani ya vyama.
Aibu kubwa sana
 
Tanzania shamba la bibi, Rwanda inatushidaje....kwann wao waweze?
Watanganyika wanaishi kwa unafiki mkubwa, Magufuri alinunua ndege tu,kisa kwanini Nchi ndogo kama Rwanda ituzidi, matusi mpaka leo anatukanwa akiwa kabulini,mfn Samia naye ahanzishe kiwanda cha magari,utasikia kiwanda kinamsaidiaje bibi kijijini, mala ho unajengaje kiwanda wakati watoto bado wanakaa chini,mala ho ospitali azina dawa,Kweli kuongoza watu kama unamsimamo wako unaweza maliza hata miaka 5 haujafanya kitu,Kitu ambacho nilikuwa nampendea Magufuri alikuwa asiklizi makelele ya watu.
 
Bange Ni mbaya sana,Rwanda wanaimport bidhaa zenye thamani ya zaidi ya $500mil kutoka Tz kwa mwaka huku nasi tuki import vitu vyenye thamani ya zaidi $250mil kutoka Rwanda.
Unafikiri Wanapenda Muwazidi. Sasa Tutafika Wanakotaka Wao. Subiri uje uone Rwanda wanaExport 700mil Halafu ww upo Kwenye 500 yako
 
Kwani Rwanda kwa Kagame kuna democlasia gani,mbona watu wamewekeza huko? democlasia inachelewesha maendeleo tu, Mwekezaji anaangalia usalama wa mali yake Kwanza,kama sihivo Marekani isingekwenda kuwekeza China, ambapo neno democlasia ni kama matusi kwao
 
Hivi Dubai Wana madini?

Kwanini Wana mtambo wa kuchenjulia madini?

Wao wanatemeaa kupata madini kutoka wapi kwa ajili ya hizo mitambo yao?
Nyie mna Madini lkn hamna Sera nzuri za Madini. Kabla ya Magu kuruhusu masoko ya Madini, kwa wachimbaji na wachuuzi wa Madini hawakuwa na soko la uhakika la Madini hivyo kufanya walanguzi kunufaika zaidi. Unapouza kwa mlanguzi hukatwi Kodi. Unapoenda uza kwenye haya masoko rasmi unakatwa Kodi mpaka unashangaa. Hiyo Sasa ndio inafanya nchi km Dubai kunufaika kwa wafanyabiashara kukwepa kuuza hapa nchini kwa sababu ya Kodi nyingi unazokatwa. Wengi wanatorosha mzigo na kwenda kuuza nchi km Dubai ambako wanapata Bei nzuri na hawakatwi Kodi
 
Tunatoa Pesa Zetu Tunapeleka Nje. Hatujaona Maelezo ya Sisi Kuwapeleka Bidhaa kwao. Sisi Tunapeleka Nn Rwanda Kama Tutaenda Nunua Magari Kwao
Kwa hiyo hivi Sasa haya magari , mashine n.k , tunanunua au tunagaiwa ? Je kuna tofauti ya kununua Japan 🗾 na Rwanda ? Hilo la kwetu kupeleka BIASHARA linazungumzika ! Ila je tunachangamkia soko au tunakalia politiki (tunapiga soga tu)? Soko la Afrika Mashariki lipo, Sadc pia lipo.... Tushindwe Sisi wenyewe tu !!! Kwa ufahamu wangu , kama nimekosea sehemu nijuze zaidi. Ahsante.
 
Rwanda kua na mitambo ya kuchenjulia madini wkt hawana madini Ni kitu Cha ajabu?
 
Sasa wawekezaji wenyewe watakujaje wkt tunatangaza nchi Ina magaidi?
 
Huu Sasa usengehh mniwie radhi wakuu! Yaani hako ka kitongoji katuuzie magari na huyu Bibi kakubali badala na yeye atafute wawekezaji?

Ndiyo kufungua nchi Huku?
Huyu mama hakupaswa kuwa hata naibu waziri kabisa!
Yani kwa kifupi ccm haifai. Ametoka mbovu ameingia mbovu zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…