isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,152
- 6,601
Ahaa! ShukraniMji wa watu milioni moja na nusu mpaka milioni 3 haupaswi juwa na radius ya zaidi ya km 10. Na kuna miji ina radius ya kilomita 14 laven belgium na ina population ya zaidi ya watu milioni 3 haina skyscrapers wala nn.. ni matumizi mazuri ya ardhi tu.
Compact cities ndio future.. ukubwa wa mji sio kilomita square unazojaza.. ila population unayoaccomodate... Hakuna haja ya mji wa watu laki 3 kuwa na eneo la kimji la zaidi kilomita 30/40.
Barabara za lami kila mitaa,umeme wa uhakika na maji tutavisikia tu kwenye bomba kwa kila Mutu mjini
Nimekuwa nikijiuliza Bukoba Municipal na Bukoba Rural, Moshi Municipal na Moshi Rural, Morogoro Municipal na Morogoro Rural ilikiwaje waweke administrative seats mbili na kutenga mipaka ya wilaya moja.
Naona dalili zilizotumika ni wingi wa watu na ukubwa wa eneo. Maana mfano, Bukoba (Municipal x Rural) ni sawa na Mkoa wa Dar es Salaam (Ukubwa wa Eneo), ukiangalia Bukoba Municipality ni radius ya 13.2 huku Municipality ikiingia kwa Rural mara 3 au 4.
Nimejifunza.